jenista mhagama

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Mawaziri wa Afya wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Afrika Kusini, na Misri

    Rejea kichwa cha habari. Harafu baadae tutaenda kutengua na kubadilisha Waziri tena. Ndiyo maana hakuna ufanisi. Sijui vetting huwa inafanyikaje huko jikoni? Pia soma: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika ==== Dr. Liduine Baradahana -...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania Washiriki 'Walk the Talk' Jijini Brazzaville

    Ujumbe wa Tanzania washiriki Mazoezi ya ‘Walk the Talk’ Brazzaville, Congo 25 Agosti 2024 Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, wameungana na mgombea wa Tanzania kwa nafasi ya Mkurugenzi wa...
  3. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Jenista Karibu Afya:; Fanya Haya Kwa NHIF

    Ninaamini una uwezo na msikivu. Mtego wako mkubwa katika sekta ya afya uko kwenye kusimamia MTBA (NHIF). Fanya haya utakuja nishukuru baadaye:- 1. Tehama haijawekwa vizuri - ili ku-control madai, collusion kati ya watoa huduma na NHIF staff; madai yalitakiwa yawe processed 80% electronically na...
  4. Robot la Matope

    JamiiForums Tanzania Siku yenu yaja, Picha ya mdogo wangu

    Hawa ndo wametufanya masikini ndo tunawapigia magoti.. Let our oppressors apprehend that their days are dwindling, for the tempest of justice inexorably advances towards their doorsteps.
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama aongoza Kamati ya Kitaifa ya Maafa kutembelea maeneo yenye maafa ya mafuriko Mlimba, Kilombero Mkoani Morogoro

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAFURIKO YA MLIMBA MKOANI MOROGORO Mobhare Matinyi, Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali. Mlimba, Morogoro, Alhamisi, Aprili 11, 2024: Saa 10:30 jioni. 1. Leo Alhamisi ya tarehe 11 Aprili, 2024, Kamati ya Kitaifa ya...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mhagama: Wanambinga Mhalule Chagueni Viongozi Wawajibikaji

    Waziri Mhagama: Wanambinga Mhalule Chagueni Viongozi Wawajibikaji Serikali kupitia Halmashauri ya wilaya ya Songea Vijijini yaahidi kushughulikia na kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ardhi katika kitongoji cha Msiri na Hifadhi ya Maliasili kilichopo katika kijiji cha Nakahengwa. Kauli hiyo ameitoa...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Jenista Mhagama: Tuhamasishe wananchi waipigie kura CCM, tutengeneze wapiga kura kwa kuhakikisha wanasajiliwa

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama ametoa wito viongozi kuhakikisha wanawapatia wenyeviti wa Mashina wa Chama cha Mapinduzi taarifa muhimu za utekelezaji wa Miradi ya maendeleo ili waweze kuzielezea vyema kwa Wananchi. Waziri Mhagama ametoa kauli hiyo...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Waziri Mhagama: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hatuna mashaka kwa sababu Viongozi wa mashina wameshaamua Peramiho ni ya CCM

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jensita Mhagama (Mb) Peramiho, amewapongeza Wenyeviti wa Mashina na Kata kwa kazi nzuri wanayofanya ya kulinda na kukipigania Chama Cha Mapinduzi. Pongezi hizo amezitoa wakati alipokutana na kufanya vikao na Wenyeviti wa Mashina...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mhagama ampa Big Up Rais Mwinyi ujenzi wa Skuli za Ghorofa Zanzibar

    Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu Bunge Sera na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama amepongeza juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya nane ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuboresha mazingira ya elimu yanayoendana na adhma ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964. Waziri Mhagama ameeleza hayo...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama Awashukuru PPRA kwa Misaada ya Washiriki wa Maafa Hanang'

    WAZIRI Jenista Mhagama AWASHUKURU PPRA KWA MISAADA YA WASHIRIKI WA MAAFA HANANG' Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama ameupongeza Uongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Mamlaka ya Ununuzi na Udhubuti wa Umma (PPRA) kwa kutambua na kuungana na Serikali...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama: Vijana Kati ya Miaka 15-24 Waongoza Maambukizi ya VVU - UKIMWI

    Imeelezwa kuwa kundi la vijana kati ya umri wa miaka 15 mpaka 24 wanaongoza kwa kuchangia maambikizi mapya ya VVU – UKIMWI ambayo ni sawa na Asilimia 40 (40%). Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ameyasema hayo mapema...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Awapa Kongole Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu

    WAZIRI MHAGAMA AWAPA KONGOLE BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU SERA, BUNGE NA URATIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama afurahishwa na ushiriki wa ofisi yake katika uzinduzi wa Wiki ya Vijana pamoja na maadhimisho ya kuelekea...
  13. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya watumishi wa Umma Mwigulu, Jenista Mhagama na Ndalichako watoke kwenye Baraza la Mawaziri

    Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja. Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana. Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama Akabidhi Msaada wa Serikali wa Kibinadamu Nanyamba na Tandahimba

    Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) imetoa misaada ya kibinadamu kwa kaya 184 za kata ya Kitaya Halmashauri ya wilaya ya Nanyamba na kaya 160 kwa kata ya Michenjele Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba. Zoezi hilo limeongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama akabidhi vifaa vya TEHAMA, Michezo, Afya na Elimu

    Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. JENISTA J. MHAGAMA Amefanya Ziara Katika Kata ya Kilagano Kijiji cha Mgazini na Kijiji cha Kilagano. Katika Ziara hiyo Mhe. Jenista Mhagama ameambatana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi ya...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama, amewataka wakandarasi wanaondelea ya shughuli ya ujenzi wa majengo ya Mji wa Serikali Mtumba Dodoma kuongeza kasi

    WAZIRI MHAGAMA AWATAKA WAKANDARASI UJENZI WA MJI WA SERIKALI MTUMBA KUONGEZA KASI Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, amewataka wakandarasi wanaondelea ya shughuli ya ujenzi wa majengo ya Mji wa Serikali Mtumba Dodoma...
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Huyu Jenista Mhagama kuondoka Utumishi ilikuwa suala la muda tu!

    Huyu mama amakuwa katika Cabinet muda sasa. Lakini wizara ambazo ameziongoza ni zile ambazo haziko mainstream, yaani hazitajwi siku hadi siku. Lakini nilipoona uteuzi wa ma DC unakataliwa na wateule, na hivyo kumuaibisha sana mheshimiwa Rais Samia, nikajua kuna tatizo na mchakato na mamlaka za...
  18. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene ahamishiwa Utumishi na Utawala Bora, Jenista arejeshwa Sera, Bunge na Uratibu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kama ifuatavyo: Amemteua Mhe. Jenista Joakim Mhagama (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu). Mhe. Mhagama anachukua nafasi ya Mhe. George Boniface...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama Apongeza Miaka Miwili ya Rais Samia Madarakani

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Songea Vijijini Mhe. Jenista Mhagama amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani 19 Machi, 2021 - 19 Machi, 2023 Mhe...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Jenista Mhagama unatia mashaka

    Kuna mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa wilaya yanayofabyika Dodoma leo ambapo mgeni rasmi ni Mh. Makamu wa Rais Philip Mpango. Mafunzo hayo yatatolewa kwa siku sita ambapo yanajumuisha wakuu wa wilaya wapya na wale wa zamani. Akitoa salam za ofisi yake Mhagama amewaagiza wakuu wa wilaya...
Back
Top Bottom