jenista mhagama

  1. R

    GE2025 Jenista Mhagama: Ruvuma hatuna mba mba mba, tutampa Samia Kura kwa Kishindo

    Akizungumza na waandishi wa habari katika Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Septemba 22, 2025 Mgombea ubunge Jimbo la Peramiho kupitia CCM, Jenista Mhagama, amewataka wananchi wa Ruvuma kuendelea kumuunga mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kile alichokiita kasi ya...
  2. R

    GE2025 Kwaiyo Waziri Jenista Mhagama na kundi lake walipiga Magoti hadi Rais Samia alipomaliza kuhutubia? kweli Tonge tamu

    Nikiwa mwanafunzi Shule ya Msingi adhabu kubwa tuliyokuwa tukipewa kama wapiga kelele ilikuwa kupiga magoti kwenye kokoto alafu ni kwenye jua, nilidhani ni kwa sababu sisi ni watoto ndo maana tunapewa adhabu hiyo ila leo katika umri huu wa utu uzima naona ndugu zake Lucas Mwashambwa wanasujudu...
  3. R

    PreGE2025 Billioni 19.8 Zawekezwa Hospitali ya Rufaa Simiyu

    Waziri wa Afya Jenista Mhagama amezitaka hospitali zote nchini kusimamia na kulinda miundombinu iliyopo, kwa kuwa Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya kwa kuboresha miundombinu na vifaa tiba. Waziri Mhagama amesema hayo alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simuyu kwa...
  4. K

    PreGE2025 Waziri Jenista Mhagama ampa heko Dkt. Mollel awaambia Wananchi wa Siha wasimuache katika wakati ujao

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Afya ya mwaka wa fedha 2025/26, leo Juni 2, 2025, Bungeni Jijini Dodoma amempa heko Naibu wake, Dkt. Godwin Mollel kwa uchapakazi na kumsaidia katika majukumu yake. Waziri Mhagama ametoa wito kwa Wananchi wa Siha kutomuacha...
  5. L

    PICHA: Jenista Mhagama Akimfanyia Sala na Maombi Mazito Profesa Janabi Muda mfupi kabla ya kuingia katika Uchaguzi Wa Mkurugenzi Mkuu wa WHO Afrika

    Ndugu zangu Watanzania, Taifa letu siku zote limekuwa la Kumtanguliza,kumtegemea na kumtumainia Mwenyezi Mungu kwa kila kitu. Ni Taifa ambalo limekuwa likijiweka mikononi mwake Mungu kwa kila jambo. Limekuwa ni Taifa la kujinyenyekeza na kuutafuta uso wake Mungu wakati wote,limekuwa ni Taifa...
  6. L

    Jenista Mhagama Atua Geneva Uswisi Kufanya Kampeni Nzito Za Kumnadi Profesa Janabi. Afanya vikao Vizito kwelikweli

    Ndugu zangu Watanzania, Mambo yanaendelea kunoga ,mambo yanaendelea kuiva. Tanzania inaendelea kugonga vichwa vya habari, Tanzania inaendelea kutikisa Huko Duniani, Tanzania inaendelea kuteka mioyo ya watu, Tanzania inaendelea kuchanja mbuga mioyoni mwa watu. Tanzania inaendelea kuonyesha...
  7. W

    Jenista Mhagama: Taifa lina dawa za kujitosheleza za kufubaza virusi vya ugonjwa wa ukimwi

    Waziri wa Afya Jenista Mhagama amesema kuwa kutokana na madiliko ya kisera ya Nchi ya Marekani baada ya kuingia madarakaini Serikali mpya ya Rais Trump kuathiri Sekta ya Afya Serikali imefanya Tathimini ya kina ambapo wamepata majibu kuwa Taifa lina dawa za kujitosheleza za kufubaza virusi vya...
  8. DodomaTZ

    Jenista Mhagama: Dkt Mollel ni msaada mkubwa kwangu, anaitendea haki Sekta ya Afya

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amempongeza Naibu Waziri wake, Dkt. Godwin Mollel na kueleza kuwa anaitendea haki nafasi yake hiyo na amekuwa msaada mkubwa kwake. Amesema hayo Aprili 8, 2025 ambapo amekabidhi zawadi kwa mikoa, wilaya, vijiji na shule za msingi, sekondari na vyuo vikuu katika...
  9. C

    Jenista Mhagama jitokeze kumnadi Prof Janabi ashinde WHO

    1. Waziri mwenye dhamana jitokeze kumnadi Mgombea wetu huko WHO. Akishinda Prof tumeshinda Tanzania nzima (bila kujali kabila wala Dini) 2. Nenda G20, AU, ECOWAS , COMESA, IGAD, EAC, Vatican na tumia network yako mliosoma nao Harvard University. 3. Mwijaku, Babalevo na Steve Nyenyere...
  10. Mindyou

    Serikali yatangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa Marburg nchini

    Wakuu, Serikali kupitia Waziri wa Afya nchini imetangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Marburg katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera. Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Jenista Mhagama leo Machi 13, 2025 akisema mgonjwa wa mwisho aliyethibitika kuwa na virusi hivyo...
  11. Stephano Mgendanyi

    Jenista Mhagama aagiza Kikao cha Baraza Kitoke na Maamuzi Yenye Tija kwa Sekta ya Afya

    Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama alitaka Baraza la watumishi wa Wizara ya Afya na Taasisi zake mijadala yao ilenge kuleta tija na ufanisi ili kuendelea kuinua sekta ya afya nchini. Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama amesema hayo leo Machi 12, 2025 wakati akifungua kikao cha Baraza la...
  12. Doctor Mama Amon

    Waziri Jenista Mhagama bado kuna changamoto za kiutendaji hapo makao makuu ya NHIF. Shirikiana na TIRA kuokoa jahazi

    Mheshimiwa Waziri, Napenda kukuandikia tena kuhusu changamoto za utendaji wa kazi katika Makao Makuu ya NHIF, Dodoma. Bado Ombwe la Kanuni Zinazotabirika Linasumbua Makao Makuu ya NHIF. Hivyo, nakuandikia kukuomba ushirikiane na TIRA kuokoa jahazi Utangulizi Tarehe 20 Oktoba 2024 niliandika...
  13. Stephano Mgendanyi

    Jenista Mhagama: Ujenzi wa Ghala la MSD Dodoma Wakamilika kwa 95%

    JENISTA MHAGAMA: UJENZI WA GHALA LA MSD DODOMA LAKAMILIKA KWA ASILIMIA 95 Ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za afya la Bohari ya Dawa Kanda ya Dodoma lenye ukubwa wa mita za mraba 7,200, litakalogharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 23.7 umefikia asilimia 95. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya...
  14. Just Pray

    Jenista Mhagama: Ujenzi wa bohari ya dawa Dododma umefikia asilimia 95%

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, amesema ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za afya la Bohari ya Dawa Kanda ya Dodoma lenye ukubwa wa mita za mraba 7,200, litakalogharimu zaidi ya Tsh. bilioni 23.7 umefikia 95%. Mhagama amesema hayo leo February 6, 2025 wakati akikagua ujenzi wa ghala hilo...
  15. N

    Rais Samia ni lazima Jenista Mhagama awe waziri wa Afya?, Unataka aaibishe nchi mpaka lini?

    Mapenzi haya ya Samia kwa Jenista ni sawa na uwehu, huyu waziri wa Afya wa sasa Jenista Mahagama ni kilaza kiasi kwamba hata kusoma hotuba aliyoandikiwa hawezi kusoma. Km anampenda sana kwanini asimpatie kazi itakayomfanya asionekana mbele ya hadhara? Nia ya Samia ni kuiaibisha nchi yetu? Miaka...
  16. Stephano Mgendanyi

    Waziri Jenista Mhagama Kwenye Mkutano wa Nishati

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akikagua mabanda ya hospitali maalum zilizotengwa kwa ajili ya kuhudumia wageni wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) unaofanyika kwa siku mbili katika Kituo cha Mikutano ya Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere, Jijini Dar...
  17. Stephano Mgendanyi

    Jenista Mhagama: Fanyeni Kazi kwa Haraka Kuendana na Kasi ya Maendeleo

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameitaka bodi mpya ya Hospitali Maalum ya Taifa ya Magonjwa ambukizi Kibong'oto kufanya kazi kwa haraka ili kuendana na kasi ya maendeleo ya sekta ya afya katika kuwahudumia wananchi. Waziri Mhagama amesema hayo Januari 10, 2025 baada ya kuzindua Bodi mpya ya...
  18. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama akabidhi vitendea kazi vya TZS Milioni 674.3 kwa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii

    Na WAF - Bukoba, Kagera Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amekabidhi vitendea kazi kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii vyenye thamani ya Shilingi Milioni 674.3 kwa mikoa Saba ambayo ni Njombe, Pwani, Kigoma, Ruvuma, Songwe, Lindi pamoja na Kagera. Waziri Mhagama amekabidhi vitendea kazi...
  19. I

    Waziri Afya, Jenista Mhagama: Ugonjwa wa kipindupindu umekuwa ukiwachukua Watu kutokana uchafu

    Waziri wa Afya,Jenista Mhagama amezitaka jamii kuendelea kuchukua tahadhari ya magonjwa ya msimu ambayo yamekuwa yakiibuka kwa nyakati tofauti hususani ugonjwa wa kipindupindu ambao amedai umekuwa ukipelekea vifo. Amesema kuwa ugonjwa wa Kipindupindu umekuwa ukiwachukuwa watu. Lakini ameeleza...
  20. Suley2019

    Waziri Jenista Mhagama: Kurejeshwa kwa Toto Afya Kadi kutaleta matumaini mapya na uelekeo thabiti wa Bima ya Afya kwa kundi la watoto

    KUREJEA KWA TOTO AFYA KADI MWANGA MPYA BIMA YA AFYA Na WAF, DODOMA Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema kurejeshwa kwa Toto Afya Kadi kutaleta matumaini mapya na uelekeo thabiti wa Bima ya Afya hususan kwa kundi la watoto ambalo linahitaji uangalizi wa pekee. Mhe. Mhagama ameyasema...
Back
Top Bottom