jenista mhagama

  1. Stephano Mgendanyi

    Jenista Mhagama & NHS ya Uingereza Wajadili Namna Bora ya Utoaji Bima ya Afya kwa Wote Nchini

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akiambatana na ujumbe wake kutoka Tanzania akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam wengine wamekutana na uongozi wa 'National Health Services' (NHS) ikiwa ni muendelezo wa...
  2. Stephano Mgendanyi

    Jenista Mhagama Aiomba Hospitali ya Queens London Kutoa Ushirikiano Huduma za Afya Tanzania

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameiomba Hospitali ya Queens iliyopo jiji la London nchini Uingereza kutoa ushirikiano kwa Tanzania ili msukumo wa kuimarisha huduma za Afya uzidi kuimarika. Waziri Mhagama amewasilisha ombi hilo Desemba 11, 2024 wakati akihutubia mkutano wa uongozi wa...
  3. Stephano Mgendanyi

    Jenista Mhagama afika Mji wa London, azungumza na Watanzania waishio Uingereza

    Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama amekutana na wana-jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Uingereza (Diaspora) katika mji wa London baada ya kuwasili Disemba 08, 2024 na kujadiliana mambo mbalimbali yanayohusu sekta ya afya nchini Tanzania. Miongoni mwa mambo waliyojadiliana katika kikao...
  4. Suley2019

    Waziri Jenista Mhagama kuzindua Mifumo na Kifurushi cha Toto Afya Kadi (TAK)

    TAARIFA KWA UMMA UZINDUZI WA MIFUMO NA KIFURUSHI CHA TOTO AFYA KADI (TAK) Desemba 06, 2024, Dodoma 1. Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama (Mb) anatarajia kuzindua Mfumo wa uandikishaji Wanachama, Mfumo wa Uchakataji Madai na Kifurushi cha Toto Afya Kadi Desemba 17, 2024. Uzinduzi wa Mifumo...
  5. Cute Wife

    LGE2024 Ruvuma: Jenista Mhagama apiga kura. Wanatembelea V8 wanapiga kura kwenye mapagala!

    Wakuu, Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mkoa wa Ruvuma Mhe. Jenista...
  6. L

    Balozi wa Marekani Nchini Akutana na Kufanya Mazungumzo na Waziri wa Afya Jenista Mhagama.

    Ndugu zangu Watanzania, Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
  7. Stephano Mgendanyi

    Jenista Mhagama: Miundombinu Sekta ya Afya Peramiho Yazidi Kuimarika

    JENISTA MHAGAMA: MIUNDOMBINU SEKTA YA AFYA PERAMIHO YAZIDI KUIMARIKA Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa shilingi Bilioni 40 kwa mwaka wa fedha 2023/24 ili kuendelea kuimarisha miundombinu ya miradi mbalimbali ikiwemo ya Sekta ya Afya kwa kujenga Hospitali pamoja na vituo vya Afya katika...
  8. L

    Jenista Mhagama ana heshima na unyenyekevu sana. Embu angalia hapa ujue kwanini anapendwa na kila Rais anayeingia Madarakani

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiachana na uchapakazi , uzalendo na kubadilika kulingana na Mazingira kwa Mheshimiwa Jenista Mhagama. Lakini ukweli unabakia kuwa heshima na unyenyekevu wake ni miongoni Mwa vitu vinavyomfanya kujenga ushawishi kwa kila Rais anayeingia Madarakani kumuweka katika...
  9. GENTAMYCINE

    Rais Samia amemsifu waziri Jenista Mhagama kwa kazi anayoifanya ndani ya Serikali. Hata Ummy nae alisifiwa hivi hivi na Kuvimba Kichwa

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Jimbo la Peramiho, Mkoa wa Ruvuma linaloongozwa na Jenista Mhagama, amemsifu mbunge ambaye ni Waziri wa Afya kwa kazi anayoifanya ndani ya Serikali. "Nalishukuru tumbo lililomleta Jenista Mhagama, mimi pamoja na kwamba ni Rais, lakini namwita kiraka changu...
  10. Stephano Mgendanyi

    Waziri Jenista Mhagama: Serikali Kuendelea Kuboresha Huduma za Afya Ruvuma

    Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mhe. Jenista Mhagama ameuhakikishia umma wa wanaruvuma kuwa Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendele na uboreshaji wa huduma za Afya ikiwemo upatikanji wa vifaa, vifaa tiba pamoja na dawa. Waziri Mhagama amesema hayo Septemba 20, 2024 baada ya...
  11. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama: Ubora wa Huduma uendane na lugha za staha kwa wagonjwa

    Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendelea kuhakikisha tija na ustawi wa wauguzi, madaktari na watumishi wote wa Sekta ya Afya kupata stahiki zao pamoja na kuwasimamia na kufuatilia wajibu wao katika kutekeleza majukumu yao ikiwemo kuwa na lugha zenye staha kwa wagonjwa (Customer Care). WAZIRI...
  12. Roving Journalist

    Waziri wa Afya, Mhagama atembelea JKCI, asisitiza Ubora wa Huduma uendane na lugha za staha kwa wagonjwa

    Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendelea kuhakikisha tija na ustawi wa wauguzi, madaktari na watumishi wote wa Sekta ya Afya kupata stahiki zao pamoja na kuwasimamia na kufuatilia wajibu wao katika kutekeleza majukumu yao ikiwemo kuwa na lugha zenye staha kwa wagonjwa (customer care). WAZIRI...
  13. Stephano Mgendanyi

    Jenista Mhagama: Huduma Zaidi ya 35 za Kibobezi Zinapatikana Muhimbili

    JENISTA MHAGAMA: HUDUMA ZAIDI YA 35 ZA KIBOBEZI ZINAPATIKANA MUHIMBILI Na WAF - Dar Es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amewezesha upatikanaji wa huduma za Ubingwa Bobezi zaidi ya 35 katika Hospitali ya Taifa Muhimbilli (Mloganzira na Upanga)...
  14. Stephano Mgendanyi

    Waziri Jenista Mhagama: Hadi Novemba 10 Mifumo Yote ya Afya Isomane Kurahisisha Huduma za Tiba kwa Wagonjwa

    WAZIRI JENISTA MHAGAMA: HADI NOVEMBA 10 MIFUMO YOTE YA AFYA ISOMANE KURAHISISHA HUDUMA ZA TIBA KWA WAGONJWA Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ametoa maelekezo kwa Idara ya Tiba Wizara ya Afya kuhakikisha wanasimamia mifumo yote ya Afya isomana ili kurahisisha huduma za Tiba kwa wagonjwa...
  15. Stephano Mgendanyi

    Waziri Jenista Mhagama akabidhi vifaa kuimarisha kitengo cha mawasiliano na elimu ya afya kwa Umma

    Jenista Mhagama akabidhi vifaa kuimarisha kitengo cha mawasiliano na elimu ya afya kwa umma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama Septemba 3, 2024 amekabidhi vifaa vya studio vitakavyosaidia Kitengo cha Mawasiliano na Elimu ya Afya kwa Umma kufanya kazi kwa ufanisi zaidi katika kuhabarisha umma...
  16. PMWAKA

    Waziri Mhagama na uongozi wa Wizara ya Afya, anzisheni haraka Health Information Call Center kuokoa wananchi maskini

    Kwa niaba ya watanzania, Mhe. Mhagama naomba pitia huu ushauri kuhusu wizara ya Afya na msaada kwa wananchi. Serikali chini ya Rais wetu mama Samia naomba muanzishe HEALTH INFORMATION CALL CENTER. Kuna wananchi hua wanahangaika sana wakati wamepatwa either na magonjwa au ajali wameumia nk...
  17. Jaji Mfawidhi

    Jenista Mhagama ana CV tosha, uongozi ni kipawa si elimu!

    Uongozi ni kipawa na si elimu, Jenista ana kipawa cha ajabu haijawahi kutokea hivyo anatoshea kwenye nafasi hiyo.
  18. Lusungo

    Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

    Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje. Jionee.. PIA SOMA Jenista Mhagama ana CV tosha, uongozi...
  19. M

    Wasifu wa Mawaziri wa Afya wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Afrika Kusini, na Misri

    Rejea kichwa cha habari. Harafu baadae tutaenda kutengua na kubadilisha Waziri tena. Ndiyo maana hakuna ufanisi. Sijui vetting huwa inafanyikaje huko jikoni? Pia soma: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika ==== Dr. Liduine Baradahana -...
  20. Ojuolegbha

    Viongozi wa Tanzania Washiriki 'Walk the Talk' Jijini Brazzaville

    Ujumbe wa Tanzania washiriki Mazoezi ya ‘Walk the Talk’ Brazzaville, Congo 25 Agosti 2024 Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, wameungana na mgombea wa Tanzania kwa nafasi ya Mkurugenzi wa...
Back
Top Bottom