• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

jay z

  1. S

    Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa Hillary Clinton amsifu Jay z kuwa Icon

    Mgombea Urais katika awamu iliyopita Mama , Hillary Clinton, ametoa sifa kwa rapper Jay Z wakati akimtakia heri ya siku ya kuzaliwa. Mwanamuziki huyo wa Mitindo ya kufoka alisherehekea kutimiza miaka 50 siku ya jumatano Desemba 4. Clinton kupitia mtandao wake wa kijamii alimtumia salamu za...
Top