Beef ya Kanye West na Jay Z

Emmanuel180

JF-Expert Member
Dec 17, 2019
342
626
Kama ulishawahi kusikiliza ile album ya Kanye kwa jina Graduation bila shaka unaujua wimbo unaitwa 'Big Brother'

Ule ni wimbo spesho kabsa ambao mwana alimuimbia mshkaji wake wa faida (yaani km ile tattoo ya Mondi kwa mmakonde)

Ndani ya ule wimbo kuna line inasema 'But he got me out my mama crib'

Kanye hajapiga hustle sana mtaani km wenzake waliotusua kupitia game ya rap

Jamaa ni wa kishua tu, mama'ake (Donda West) alikuwa professor wa chuo kikuu cha Chicago akiwa mkuu wa idara kabisa, lakini pia Kanye ni mtoto wa pekee kwa mama'ake, ko tunaweza kusema jamaa ni 'mtoto wa mama' dizaini km @mchachu_ hivi

Japo mama'ake alikuwa prof., Kanye na shule ni km Zambarau na #KatibaMpya .. hawakupatana kbs. Jamaa ali-drop college ili afukuzie ndoto zake kwa game

Jay-Z ni mmoja wa waanzilishi wa Roc-A-Fela Records

Pale Roc-A-Fela kulikuwa na msanii anaitwa Beanie Sigel

Mwaka 2000 Kanye (akiwa na miaka 23) tu, alimtengenezea huyu mwamba (Beanie Sigel) beat ya wimbo 'The Truth', hii ngoma ilipotoka Jay akaisikia na akavutiwa na Kanye

Akaonana naye kwa mara ya kwanza mwaka huo huo na akampeleka pale Roc-A-Fela Records.

Dogo (Kanye) akawa pale anagonga gonga beats lkn hamna aliyemchukulia kwa uzito.. walimuona wa kawaida sana..

Mwaka 2002 boss wa Roc-A-Fela Damon Dash akapata taarifa kwamba Kanye anafanya mazungumzo na watu wa Capitol Records ili wamsaini.. Damon Dash alikuwa ameshaona kwamba dogo ana kitu, kikubwa sana

Damon bila kushauriana na mtu akamsaini Kanye pale Roc-A-Fela na akampa task ya kugonga beats kali kwa ajili ya album ya Jay, The Blueprint

Wanene pale Roc-A-Fela wakam-maindi boss wao kwa sababu waliona kapoteza pesa kwa huyu dogo mweupe kabisa kichwani (hawakuona km Kanye ana chochote cha ku-offer pale Roc-A-Fela)

Basi Kanye akaanza kuingia studio rasmi na mnyama 'Hov'

Kila Kanye akigusa mashine Jay a-nakubali

Wakaanza kukesha wote, hadi usiku mnene huko wanatengeneza The Blueprint

Kila Kanye akigusa, IMO

Jay akamwelewa sana dogo, The Blueprint ikatoka..

Kati ya nyimbo 15 za album, Kanye alikuwa amehusika kwenye production ya nyimbo 5..

Nyimbo km 'Heart of the City (Ain't No Love)' na 'Never Change' zilikuwa kali kinoma na ziliibeba sana ile album ambayo ni one of the classics za Jay-Z

Baada ya ile project Kanye akaanza kupata heshima yake pale Roc-A-Fela, japo yeye hakuridhika kwa sababu kuna kitu alitaka

Kanye alitaka kuwa rapper, sio kuishia nyuma ya vyombo. Alitaka apige ngoma zake mwenyewe ziingie sokoni

Jamaa akaendelea kuandika mistari huku anagonga beats kali kali pale Roc-A-Fela Records

Mwaka 2004 Kanye aka-update mkataba wake pale Roc-A-Fela
Sasa Kanye akatambulika km rapper na producer pale Roc-A-Fela...

Mwaka huo huo akaachia album yake ya kwanza kwa jina College drop out, ngoma ya 'Jesus Walks' ikapeperusha bendera kinoma.

Album ikaenda number two kwenye Chati za Billboards top 200
Mwaka 2005 Kanye akaachia album yake ya pili kwa jina 'Late Registration'

Ndani yake kulikuwa na ngoma kali kali km 'Gold Digger'na 'Diamonds from Sierra Leone'

Hii ilienda number 1 kwenye Billboards top 200. Ikauza na kushika nafasi ya sita kwenye mauzo kwa mwaka 2005 USA
Pamoja na hizo album 2 kufanya vizuri bado Kanye hakuonekana km threat sana kwenye game mpaka mwaka 2007 alipotoa album ya tatu kwa jina Graduation

Hii album ilikuwa na ngoma kali sana km Goodmorning, Good life, Can't tell me nothing, Stronger na Big Brother alomuimbia Jay
Kumbuka Kanye ni wa kishua, hakufanya gangster rap km mentor wake Jay.. alikuja na style yake iliyochanganya conscious Hip Hop na chipmunk soul na kutoa kitu amaizing

Graduation ikafanya ligi ya mauzo na Curtis ya 50 Cent, Curtis ikapigwa gap kali sana wiki ya kwanza tu
Hii ilikuwa mafanikio makubwa sana kwa style ya rap ya Kanye dhidi ya Gangsta rap ya 50, jamaa aliiua gangsta rap yaani

Baada ya hii album sasa Kanye akaanza kupewa heshima anayostahili ndani na nje ya Roc-A-Fela. Jamaa akaendelea kupiga kazi ktk kipindi ambacho Jay ni km alikuwa amestaafu akawa mkali kuliko masta wake.

Ndipo ktk kipindi hicho Kanye alifanikiwa kumshawishi Jay afanye muziki utakaomuingizia pesa zaidi badala ya kubaki na legacy isiyo na maana
Basi kwa pamoja wakaanza maandalizi ya album yao kwa jina Watch the Throne..

Ikatoka 2011, ndani yake ngoma kali km No church in Wild, Otis na Niggas in Paris iliyochukua Grammy..

Album kali sana, wana wakapiga tour kubwa sana Marekani na Ulaya.
Watch the Throne tour ilipiga jumla ya show 29 USA, show 5 Canada na show 23 Ulaya. Tour ilianza October 2011 mpaka June 2012

Baada ya ile tour wana wakarudi kupumzika sasa na kula matunda ya kazi yao

Kipindi hiki kwa upande wa Jay hakikuwa kizuri sana..
Jay alikuwa na issues na mkewe Beyonce ambaye alimtuhumu mwamba kuwa anachepuka

Si mnakumbuka story ya Becky with the good hair?

Sasa 2014 Kanye akatangaza kumuoa Kim Kardashian na akataka Jay awe best man wake. Mipango ikaenda fresh lkn siku ya harusi Jay na Be hawakutokea huko Florence Italy sehemu ilikofanyikia harusi. Inaonekana Kanye alimaindi sana, lkn kumbe Jay alikuwa anapambania ndoa yake.

Baadaye Kanye alipohojiwa na Charlamagne tha God wa the Breakfast club akasema 'niliumia sana, hata km kuna mambo walikuwa wanapitia lkn sisi km familia huwezi kukosa harusi'

Mambo yakazidi kuwa mabaya zaidi 2016 wakati mke wa Kanye Kim alipovamiwa hotelini jijini Paris na kuibiwa vito vyenye thamani ya zaidi ya $10M. Baada ya uvamizi ule Jay akampigia simu Kanye kumjulia hali. Kanye akaumia zaidi

Oktoba 2016 Kanye alikuwa na concert maeneo ya Seattle huko USA, akaropoka jukwaani 'unanipigia simu kuniuliza najisikiaje? Unataka kujua najisikiaje? Njoo nyumbani, lete watoto, sisi ni familia'

Katika kipindi chote hicho Jay-Z kila alipohojiwa alisema 'yule ni mdogo wangu, nampenda na namheshimu. Chochote kinachoweza kutokea ni kati ya mtu na kaka yake, hamna zaidi'

Good ni thing ni kwamba mwaka 2019 walionekana kwenye birthday ya Diddy wakisalimiana na kupiga picha mwaka 2021 Kanye alitoa album yake ya DONDA, ndani yake kuna lines kadhaa za Jay-Z kwenye wimbo uliobeba jina la album-DONDA

20220118_095916.jpg
 
Picha ya katikati hiyo ina husiana vipi na ulichokiandika?

Au ni kanye kabla hajasainiwa kwenye lebel ya jaya?
 
Paragraph ya mwisho umepuyanga.

Jay Z yupo kwenye Album ya Donda ya 2021 ya Kanye west na yupo kwenye ngoma ya Jail tena kaimba verse nzima kitu ambacho kinaweka wazi kuwa watu hawa wamemalizana beef yao.

"Hoover and Yeez is like Moses and Jesus " huu ni moja wa mstari aliyoimba Jay Z kwenye nyimbo hiyo ya Jail.
 
Kama ulishawahi kusikiliza ile album ya Kanye kwa jina Graduation bila shaka unaujua wimbo unaitwa 'Big Brother'

Ule ni wimbo spesho kabsa ambao mwana alimuimbia mshkaji wake wa faida (yaani km ile tattoo ya Mondi kwa mmakonde)

Ndani ya ule wimbo kuna line inasema 'But he got me out my mama crib'

Kanye hajapiga hustle sana mtaani km wenzake waliotusua kupitia game ya rap

Jamaa ni wa kishua tu, mama'ake (Donda West) alikuwa professor wa chuo kikuu cha Chicago akiwa mkuu wa idara kabisa, lakini pia Kanye ni mtoto wa pekee kwa mama'ake, ko tunaweza kusema jamaa ni 'mtoto wa mama' dizaini km @mchachu_ hivi

Japo mama'ake alikuwa prof., Kanye na shule ni km Zambarau na #KatibaMpya .. hawakupatana kbs. Jamaa ali-drop college ili afukuzie ndoto zake kwa game

Jay-Z ni mmoja wa waanzilishi wa Roc-A-Fela Records

Pale Roc-A-Fela kulikuwa na msanii anaitwa Beanie Sigel

Mwaka 2000 Kanye (akiwa na miaka 23) tu, alimtengenezea huyu mwamba (Beanie Sigel) beat ya wimbo 'The Truth', hii ngoma ilipotoka Jay akaisikia na akavutiwa na Kanye

Akaonana naye kwa mara ya kwanza mwaka huo huo na akampeleka pale Roc-A-Fela Records.

Dogo (Kanye) akawa pale anagonga gonga beats lkn hamna aliyemchukulia kwa uzito.. walimuona wa kawaida sana..

Mwaka 2002 boss wa Roc-A-Fela Damon Dash akapata taarifa kwamba Kanye anafanya mazungumzo na watu wa Capitol Records ili wamsaini.. Damon Dash alikuwa ameshaona kwamba dogo ana kitu, kikubwa sana

Damon bila kushauriana na mtu akamsaini Kanye pale Roc-A-Fela na akampa task ya kugonga beats kali kwa ajili ya album ya Jay, The Blueprint

Wanene pale Roc-A-Fela wakam-maindi boss wao kwa sababu waliona kapoteza pesa kwa huyu dogo mweupe kabisa kichwani (hawakuona km Kanye ana chochote cha ku-offer pale Roc-A-Fela)

Basi Kanye akaanza kuingia studio rasmi na mnyama 'Hov'

Kila Kanye akigusa mashine Jay a-nakubali

Wakaanza kukesha wote, hadi usiku mnene huko wanatengeneza The Blueprint

Kila Kanye akigusa, IMO

Jay akamwelewa sana dogo, The Blueprint ikatoka..

Kati ya nyimbo 15 za album, Kanye alikuwa amehusika kwenye production ya nyimbo 5..

Nyimbo km 'Heart of the City (Ain't No Love)' na 'Never Change' zilikuwa kali kinoma na ziliibeba sana ile album ambayo ni one of the classics za Jay-Z

Baada ya ile project Kanye akaanza kupata heshima yake pale Roc-A-Fela, japo yeye hakuridhika kwa sababu kuna kitu alitaka

Kanye alitaka kuwa rapper, sio kuishia nyuma ya vyombo. Alitaka apige ngoma zake mwenyewe ziingie sokoni

Jamaa akaendelea kuandika mistari huku anagonga beats kali kali pale Roc-A-Fela Records

Mwaka 2004 Kanye aka-update mkataba wake pale Roc-A-Fela
Sasa Kanye akatambulika km rapper na producer pale Roc-A-Fela...

Mwaka huo huo akaachia album yake ya kwanza kwa jina College drop out, ngoma ya 'Jesus Walks' ikapeperusha bendera kinoma.
Nimeishia kusoma ulipo andika album ya graduation Imetoka mwaka 2004/05.

Screenshot_20220118-115903.png
 
Mwamba unajua kuandika hongera sana.
 
Kanye na Jay ugomvi wao ulichochewa na wake zao hasa bey hampendi kim aliona kama atabembea kwa umaarufu wake
 
Anaitwa Demon Dash mzee wa fitna,katika beef ya Jay na msanii yoyote Dash Yuko nyuma
 
shida kwa kanye na jayz ilianza alipoanza kutoka na Kim Kardashian. Beyonce hakutaka kujihusisha nao sababu wana sifa mbaya marekani. sasa jay akabaki mtegoni...utachagua mke au rafiki?
 
Yee namkubali sanà,yuko very serious na kazi yake,napenda anavyoimba akiwa serious.Ile ngoma aloshirikishwa yeye na Neyo...,inaitwa Knock you down.... Daaah! kachana hatari.
 
Back
Top Bottom