Nimefatilia maisha ya Jay Z, nimegundua kuoa sio jambo la haraka

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,064
45,675
Nipo nasoma Biography ya Jay z nimeona kazaliwa 1969 na kaoa Mwaka 2008 na kapata mtoto wake wa kwanza na Beyonce Mwaka 2012
Na watoto wake mapacha kawapata Mwaka 2017

Maana yake Jay z kaoa akiwa na miaka 38

Nilichogundua Mambo ya kuoa yanahitaji kujipanga yaani kutafata Direction na sio speed

Jay z analingana umri sawa na Mama yangu mzazi

Sasa nashangaa huku TANZANIA au bongo unaambiwa kuoa wakati ndo kwanza una 26 hata 30 hujafika huku unaingiza laki tano maajabu Sana.

Kiufupi Mimi nikifika 40 ndo ntawaza kuoa tuache mihemko kuoa kupo tu.

NB: Mimi Jay z ni moja ya role model wangu akifatiwa kwa ukaribu na Mshana Jr na Dr Issack Maro wa clouds fm radio na mwisho Sugu Deiwaka Jongwe
 
Attachments

  • Screenshot_20230420-101958.png
    Screenshot_20230420-101958.png
    22.8 KB · Views: 24
Nipo nasoma Biography ya Jay z nimeona kazaliwa 1969 na kao Mwaka 2008 na kapata mtoto wake wa kwanza na Beyonce Mwaka 2012
Na watoto wake mapacha kawapata Mwaka 2017

Maana yake Jay z kaoa akiwa na miaka 38

Nilichogundua Mambo ya kuoa yanahitaji kujipanga yaani kutafata Direction na sio speed

Jay z analingana umri sawa na Mama yangu mzazi

Sasa nashangaa huku TANZANIA au bongo unaambiwa kuoa wakati ndo kwanza una 26 hata 30 hujafika huku unaingiza laki tano maajabu Sana.

Kiufupi Mimi nikifika 40 ndo ntawaza kuoa tuache mihemko kuoa kupo tu.

Tofauti ya Jay z, na wewe na wa Tanzania ni hela, tafuta kujua wakati yeye ana umri wako alikuwa na kiasi gani?

Wewe kazi yako ni kukata kuni, ukifika 40 ndo unaoa, jiulize, hivi mtoto akiwa na miaka 10 una 50, je bado utaweza kukata kuni uwasomeshe?

Kwa kifupi, Jay z yeye mpaka anakufa ana hela, wewe kipato chako ni direct proportional na uwezo wako wa kufanya kazi ambao unapunguzwa na umri.
 
Wewe kazi yako ni kukata kuni, ukifika 40 ndo unaoa, jiulize, hivi mtoto akiwa na miaka 10 una 50, je bado utaweza kukata kuni uwomeshe?

Kwa kifupi, Jay z yeye mpaka anakufa ana hela, wewe kipato chako ni direct proportional na uwezo wako wa kufanya kazi ambao unapunguzwa na umri.
Mimi mwalimu wa kingereza Mkuu Sasa hizo kuni nakatia wapi wakati nakaa Temeke vetinary?
 
Tofauti ya Jay z, na wewe na wa Tanzania ni hela, tafuta kujua wakati yeye ana umri wako alikuwa na kiasi gani?

Wewe kazi yako ni kukata kuni, ukifika 40 ndo unaoa, jiulize, hivi mtoto akiwa na miaka 10 una 50, je bado utaweza kukata kuni uwasomeshe?

Kwa kifupi, Jay z yeye mpaka anakufa ana hela, wewe kipato chako ni direct proportional na uwezo wako wa kufanya kazi ambao unapunguzwa na umri.
Kuna mda nataka kupuyanga kuwaona kataa ndoa wanahoja ila kwa hii nyundo wallah kataa ndoa ni boyaa
 
Kila Jambo na wakati wake Mkuu ,Jay z kabla hata hajaoa alikuwa na uhusiano wa chini kwa chini na Beyonce!! Unajua kwanini Beyonce aliimba wimbo wa To the left to the left? Irreplaceable(2006)
 
Back
Top Bottom