jasusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Jasusi Mbobezi ni lini atarudi? Nyalandu amerudi Nyumbani - Je, umeona TARGET?

    Kama Rais Samia anafurahia kurudi nyumbani kwa wanachama waandamizi wa CCM, basi ajipange kweli kweli, wanakuja kuimba nyimbo zisizoimbika ugenini. Wengi sidhani kama mumeelewa dongo alilolipiga Nyalandu kuhusu NYIMBO ISIYOIMBIKA UGENINI? Huyu aliendea Urais Chadema akajitahidi sana kutaka...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Jasusi Mbobezi na Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani, Mike Pompeo leo anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa

    Alizaliwa Disemba 30, 1963 Amehudumu akiwa Mkuu wa Idara ya Ujasusi Marekani (CIA) na sasa ndiye Waziri wa Mambo Ya Nje Wa Marekani Pamoja na kupokea taarifa nyingi kutoka nchi mbalimbali, Mike Pompeo anasifika kwa umakini mkubwa kwenye maamuzi yake ambayo huzingatia uchunguzi wa kina! Kwa...
  3. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vipi jasusi mbobezi, yu hali gani?

    Jasusi mbobezi alidai kuwa atafunga kampeni zake huko kwao. Sijamsikia tena tokea siku hiyo. Je, alifanikiwa kuzifunga hizi kampeni zake kama alivyoahidi au? Na sijaona wala sijasikia popote kuwa leo alipiga kura yake. Kuna anayejua kinachojiri kwa huyo jasusi wetu mbobezi?
  4. Waminepo

    JamiiForums Tanzania Jasusi Mbobezi, Mzee Membe kulikoni? Siku zinayoyoma hatumsikii leo tarehe 3.10.2020

    Watanzania tumesubiri kwa hamu sana kauli ya Zitto Kabwe kuhusu mgombea wao wa uraisi Bernard Camilius Membe, kulikoni? Hebu tujuzane wanabodi! Au kaweka mpira kwapani mazima?
  5. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Marekani yakana kumfahamu jasusi aliyekamatwa Venezuela

    Raia wa Marekani anayeshikiliwa nchini Venezuela kwa madai ya kufanya ujasusi nchini humo hakutumwa na serikali ya Marekani, taarifa ya kiongozi wa ngazi ya juu katika serikali ya Marekani imebainisha. Mwendesha Mashtaka mkuu wa Venezuela, Tarek Wiliam Saab alitangaza siku ya Jumatatu kuwa...
  6. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Maduro: Tumemkamata Jasusi wa Marekani

    Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro amesema kuwa wamemkamata jasusi wa Marekani aliyekuwa akipeleleza kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi nchini humo. Maduro aliutangazia umma wa Wavenezuela kupitia televisheni ya taifa katika matangazo ya moja kwa moja akimweleza jasusi huyo kuwa ni mwanajeshi wa...
Back
Top Bottom