january makamba

  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania January Makamba amefiti vizuri Wizara ya Mambo ya Nje. Heshima na ushawishi wa Tanzania duniani ni ya kiwango cha juu sana

    Wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba.. Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani...
  2. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hongera January Makamba, Waziri mwenye weledi mkubwa sana kuzungumza na kuongea lugha ya Kiingereza

    Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa January Makamba ni kiongozi mbunifu mno mweye kuiona fursa adhimu

    Waziri huyu kila wizara aitumikiayo huja na maono endelevu na kuacha alama. Alipokuwa nishati alibuni mambo mengi ikiwa ni pamoja na ugavi wa mitungi ya gesi bure. Gesi ikiisha ni lazima baadhi ya wagaiwa watanunua tena hata ikiwa hawakuwa na utamaduni wa kutumia gesi. Sasa akiwa waziri wa nje...
  4. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya January Makamba ''hata kama hatumkubali Samia ni wetu'', ina maana gani kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi

    KAULI ya Waziri wa Mambo ya Nje, Mheshimiwa January Makamba aliyoitoa jana Ikulu ya Magogoni kwamba hata kama hatumkubali Samia ni wetu tu ina maana gani hasa kipindi hiki cha kuelekea 2025. Nimejiuliza maswali mengi nikakosa majibu kwamba Makamba anasema hata kama hatumkubali Rais Samia ni...
  5. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania January Makamba, Nape Nnauye, Mzee Kinana msishupaze shingo zenu; kubalini yaishe

    Uovu ni roho ambayo huuongoza mwili wa mwanadamu na hii roho humtesa Sana mwanadamu mpaka aombewe au akutane na shetani kwenye mazingira ambayo itabidi akatubu na kuombewa na hatimaye roho mbaya huondoka Mara moja na kubaki mtu mwema Malezi mabaya waliyopewa hawa vijana wawili Nape na Makamba...
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania January Makamba ni bora kuliko Yusuf Makamba, Rizwan Kikwete ni dhaifu kwa Jakaya Kikwete

    Baba na mwana katika hizi familia mbili za wapakwa mafuta zinatafakarisha. UKimchukua January Makamba na mzee wake Yusuf ukaweweka kwenye mzani,Yusuf atamzidi January kwa umri tu,ni dhairi January alijifunza siasa kwa mzeewake na akampiku kila kitu,elimu,aiba nk. Njoo kwa Rizwan ambaye...
  7. B

    JamiiForums Tanzania January Makamba katika ziara ya inayogusa sekta kadhaa nyeti nchini Rwanda

    11 March 2024 Kigali, Rwanda Waziri January Makamba na ujumbe wake kutoka sekta za wizara za Uchukuzi, Biashara na Viwanda, TEHAMA, Kilimo, Nishati na maofisa pia wa mashirika ya umma. Ziara ya rais Dr. Samia Hassan mwezi agosti 2021 nchini Rwanda imesaidia nchi hizi mbili jirani kufahamiana...
  8. thetallest

    JamiiForums Tanzania Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu? Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo. Hayati Magufuli kwa...
  9. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania January Makamba anatakiwa aitwe na kuhojiwa na chama chake kuhusiani na kauli zake zinazohusu uchaguzi wa 2020

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Huyu mtu baada ya kushindwa kuiongoza wizara aliyopewa bure kutokana umaarufu wa baba yake huko chamani, na pia kushindwa kuisimamia vyema wizara ya mambo ya nje aliyohamishiwa, sasa kaamua kuja na mkakati wa kumchafua hayati Magufuli kwa lengo la kutrend katika...
  10. N

    JamiiForums Tanzania I would like to contact January Makamba

    Hello wadau, I am currently residing abroad and find myself in need of assistance regarding an issue that falls under the the Minister of Foreign Affairs, January Makamba. Therefore, I am kindly requesting any information or contacts that could lead me to reach out to him. Your help would be...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa umeme nchini: Kwanini serikali ya CCM chini ya Marais wao watatu Kikwete, Magufuli na Samia imeshindwa kupata Suluhu ya kudumu?

    1. Tatizo lilianza seriously wakati wa utawala wa Jakaya Kikwete (2005 - 2015). Alijaribu kulitatua lakini serikali yake haikuwa na nia ya kutatua bali viongozi wa serikali kutumia tatizo hilo kufanya ufisadi ili kuiba pesa ya umma tu. Rejea kashfa ya Richmond. 2. Tatizo hili limedumu kwa...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba akutana na Waziri wa Uhamiaji na Bima ya Taifa wa Bahamas

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amekutana na Waziri wa Uhamiaji na Bima ya Taifa wa Bahamas, Alfred M. Sears pembezoni mwa l Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) unaoendeles Jijini Kampala, Uganda kuanzia...
  13. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania January Makamba ni waziri mbovu kuliko mawaziri wote akifuatiwa na Mwigulu Nchemba

    January Makamba ameliharibu shirika la Tanesco amekuwa Waziri kwa muda mfupi na kulirudisha shirika hili miaka 40 nyuma yaani enzi za giza huyu ni mharibifu Sana itachukua muda mrefu Sana kulirekebisha ni mhujumu uchumi anatakuwa kufukuzwa Mara moja kazi ya uwaziri na afunguliwe kesi ya uhujumu...
  14. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Mlisema January Makamba anahujumu TANESCO ameondoka basi muacheni yeye ni binadamu kama nyie

    Wakati January na Maharage wakipambana kuleta suluhisho la kudumu TANESCO maneno yalikua mengi, tunajua waliokosa tenda na waliokuwa wanufaika wa TANESCO walilipa machawa kuendesha vita na January kupitia mitandao ya kijamii ilikua kila siku hukosi makala tano za kumsema makamba. Rais Samia...
  15. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

    Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli. Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa watakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Uzalishaji Umeme Bwawa la Nyerere kuanza Januari 2024

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo Januari 2024, kinu cha kwanza kati ya tisa vilivyopo katika bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP) kitawashwa na kuruhusu uzalishaji wa nishati hiyo kuanza. Rais Samia amesema baada ya kuwashwa kinu cha kwanza, cha pili kitawashwa kabla ya...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya kuendelea mgao wa Umeme! Kumbe shida sio January Makamba?

    Kuna watu humu kipindi mgao umetamalaki kila siku kulikuwa na kelele dhidi ya January Makamba mara mpigaji mara anauza majenereta. Kwenur kupanda bei ya mafuta pia maneno hayakupungua. Tulio na siasa safi tusioangalia mtu tuliposema shida sio makamba wale jamaa zetu roho mbaya fc walituona...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mpina anatoa taarifa ya ufisadi wa kutisha, "Wanaohusika wakamatwe, wamefanya ubadhirifu

    Katika kuelezea ubadhirifu ambao umebainishwa katika ripoti za CAG, Mbunge Luhaga Mpina ataka hatua zichukuliwe dhidi ya viongozi ambao wanahusika na makosa yao. Hii ni pamoja na kuwawchukulia hatua mawaziri. https://youtu.be/6O75Oiw0xZs?si=eLt2cBTuY1bMzg0f
  19. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Maharage: Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta

    Aliyekuwa MD Tanesco ndugu Maharage nimesikiliza redioni mida hii akimshukuru rais kumteua kuwa boss mpya Posta. Amedai kuwa anaenda kufanya maajabu Posta Kama alivyobadilisha Tanesco katika kipindi kifupi alichokuwepo. "Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi...
  20. voicer

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?

    Uzembe na utendaji mbovu ukiandamana sambamba na hujuma na ufisadi, katika wizara ya Nishati.Ndio hasa imekuwa chanzo cha sakata la kuadimika kwa nishati ya umeme nchini kwa sasa. Wakati hali ikiwa hivi ilivyo. Kuna tetesi hizi hapa ya kwamba, nanukuu. KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023...
Back
Top Bottom