Kawaida ninavyofahamu mimi mamlaka ya uteuzi ina weza teua na kutengua bila kuhojiwa, nilitegemea vijana hawa kwa maana ya January Makamba, Nape Nnauye na Byabato wamshukuru Rais Samia kwa dhamana walizotumikia, lakini naona kimya.
Je, hawaamini kama cheo ni dhamana?
Kwa akili gani ya kawaida unaweza kukubali kuwa Mahindra Tech walilipwa bilioni 80+ eti kuboresha ufanisi wa Tanesco?
Ufanisi wenyewe eti kuboresha softwares na huduma za kidigital za Tanesco ili kuboresha miundo mbinu.
Lakini hakuna kilichofanyika zaidi ya bil 80 plus kuliwa na Makamba...
Akiwa anaongea na waandishi wa habari Mpina amesema amepeleka mapendekezo yake kwa Mwenyekiti wa Kamati ya PAC pamoja na kwa Spika akiomba aliyekuwa Waiziri wa Nishati January Makamba, aliyekuwa Mkurugenzi wa TANESCO Maharage Chande, Bodi ya TANESCO na Mkurugenzi wa kampuni ya Arab Contactors...
Ili umpe kipigo cha mbwa koko mtoto wa kambo pasipo lawama, basi anza kwa kumfinya mwanao wa kumzaa. Anapoanza kulia mtoto pendwa ndipo unanza kushusha kipondo cha kuvunja mikono kwa mtoto wa kambo.
Majirani wanaotazama kinachoendelea watajua unagawa adhabu kwa wote bila upendeleo, lkn kumbe...
Moja ya makosa makubwa aliyofanya January Makamba ni kutaka kuwania kuwa Mwenyekiti wa African Union huku akifahamu fika kuwa nafasi hiyo inawaniwa na Raila Odinga ambaye anaungwa mkono na Rais Ruto wa Kenya.
Itakumbukwa kuwa Rais Ruto alimshawishi Odinga kuwania nafasi hiyo ili kuimarisha...
Nape na makamba kurudi CCM kuchukua Nafasi za uenes na ukatibu.
Baada ya Tenguzi katika nafasi zao za Uwaziri January Makamba na mwenzake Nape watapangiwa majukumu katika Chama kutokana na uzoefu wao katika kazi hasa nyakati za uchaguzi mkuu.
Wakuu,
Usiku umekuwa mchungu kwa Nape na Januari Makamba, tena Nape katenguliwa akiwa akiwa kwenye warsha! Pale unaenda sehemu kama waziri unaondoka mbunge!
Makamba naye alitoa boko lake, huenda hiki ndio kimemuondoa: Kauli ya January Makamba ''hata kama hatumkubali Samia ni wetu'', ina...
Mambo mawili niliyo amini baada ya taarifa ya utumbuzi wa Nape Nnauye na wengine ni
1. CCM itaendelea kuitawala hii nchi miaka tele ijayo.
2. Yanga itaendelea kutawala soka la hii nchi
Kwanini?
Watu wamesahau kuwa uteuzi na utenguzi ni maigizo ya CCM miongo na miongo, Nape huyu na January...
Habari zenu wana JF wenzang
Baada ya tumbua tumbua iliyofanyika jana, na kupelekea vijana wawili (maadui wa taifa) kutumbuliwa na mwenye nchi yake, inasemekana na kuonekana kabisa kuwa watumbuliwaji wameunda genge lao na kutuma vijana huku mitandaoni kwa lengo la kumpiga mkwara boss wao...
Shalom,
Nape Nnauye na January Makamba wametolewa kwa visa vya wazanzibar kutaka kujiwekea mizizi ya vita ya kutawala Tanganyika na kuiba na kupora rasilimali na mali za Tanganyika.
Watanganyika amkeni.
Ujumbe wangu kwa Nape Nnauye na January Makamba nawapenda na sitawaacha tumekua pamoja na...
Amani iwe nawe.
PDF la kushtukiza limetoka usiku mkali, lakini limekuja kwa mshtuko wa kutosha hasa.
Leo nakurudisha nyuma wakati wa uongozi wa presida John Joseph Pombe Magufuri, wakati anataka kufanya mabadiriko ndani ya chama ndani humo.
Hiki kilichotokea usiku wa manane kimeshtua...
Kuna uwezekano mkubwa rais Samia Suluhu Hassan ametengua iteuzi wa January Makamba kwenye nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kutokana na kuitwa rais ajaye na mashabiki zake wa kusiasa hasa kwenye mitandao yake ya kijamii
Pia mahusiano ya dada yake Mwamvita...
Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: -...
Nakumbuka Makamba nilikuambia hapa hapa kuwa kitendo tu na kutolewa kwako kule Wizara ya Nishati Mama alikuwa anakutafutia tu Timing ili akumaliza mazima kwa tabia zako za kujifanya uko naye wakati huku chini chini Unamsnichi na ukiendelea na mchakato wako wa Kujipanga kisirisiri ndani ya Chama...
My Take
Cheo ni dhamana, maisha yaendelee 🙏🙏👇👇
===
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt, Moses Kasiluka, viongozi hao ni kama...
Haiba, hulka, maono, mipango, mitazamo na utendaji wao una viashiria, sifa, vigezo na uelekeo wa nafasi za juu katika uongozi wa nchi. Hii ni kwa mujibu wa haki, maoni na mtazamo wangu huru kikatiba..
Nachelea kuwasihi wananchi na waTanzania wote kwa ujumla, kutafakari jambo hili muhimu sana...
Raia wengi wa Kenya katika mitandao ya kijamii hasa ule wa X wameonekana 'kumgeuka' mgombea wao wa nyumbani Raila Odinga na badala yake sasa wanamuunga mkono January Makamba kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika(AU).
Katika taarifa inayosambaa mitandaoni, Wakenya wanadai kuwa wamuzi wao...
Siyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja Baada ya ziara ya Kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa
Pia soma:
Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
Kauli ya January...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.