january makamba

  1. T

    CCM, Siku mtuwekee January Makamba apeperushe bendera ya Urais, ni kutudharau watanzania

    CCM, tunawasaidia ili kuendelea kutawala hii nchi, na itabidi muanze kutulipa tunaosaidia na kuwapa mbinu za kuendelea kuaminiwa, bado mna watu makini. Tukianza kuifanya nchi yetu kuwa ya majaribio, ni kutudharau Watanzania, sio kila mtu aweza kuwa kiongozi, Mungu ametupa vipawa tofauti...
  2. Bonge La Afya

    NGUVU YA MSAMAHA: Stori niliyosikia kwa January Makamba mwaka 2021

    Anasema mwaka 2008, akiwa Msaidizi wa Rais Kikwete, alikuwa ziarani Makete. Alikuwa anatumia gari na dereva wake wa Ikulu, aliyeazimwa kutoka Jeshini. Jioni moja, kuna document ya Rais alitaka aifanyie kazi na kumpelekee kesho yake saa 1:00 asubuhi. Akamwambia dereva amfuate saa 12:30 asubuhi...
  3. Sildenafil Citrate

    January Makamba kuzichapa na Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika pambano kati ya bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo dhidi ya bondia Kuvesa kutoka Nchini Congo ambapo katika pambano la utangulizi Waziri wa Nishati January Makamba atazichapa dhidi ya Mbunge Joseph Musukuma. Akizungumza kuhusu...
  4. Stephano Mgendanyi

    January Makamba: Majadiliano mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia (LNG) yakamilika

    Waziri wa Nishati, January Makamba, amesema kuwa, majadiliano yanayohusu Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia baina ya Serikali ya Tanzania na wawekezaji Kampuni ya Shell ya Uholanzi na Equinor ya Norway na washirika wao yamekamilika na kwamba sasa wataalam wapo katika kazi ya kuandika...
  5. L

    Mliomshambulia January Makamba njooni mumpongeze baada ya hali ya umeme kutengemaa

    Ndugu zangu watanzania, Uongozi Unahitaji kuwa na ngozi ngumu, Unahitaji kuwa na msimamo, Unahitaji kuwa mvumilivu na mwenye Subira, Unahitaji kuwa na Nidhamu ya kimaamuzi, Unahitaji kutoyumbishwa na upepo uvumao, Unahitaji kujuwa unasimamia Nini, Unahitaji kujuwa kuwa huwezi ukawafurahisha...
  6. peno hasegawa

    January Makamba, miradi ya umeme yenye dhamani ya 57 Bilioni imekwama kanda ya ziwa au hujawalipa wakandarasi?

    Kuna shida inayoendelea kunyemelea uongozi wa awamu ya 6. January Makamba, waziri wa Nishati alipita mikoa ya kanda ya ziwa na kusema ametuma fedha za miradi ya umeme takribani 57 Bilioni. Cha kushangaza na kusikitisha hakuna mkandarasi site mikoa yote ya kanda ya ziwa na wanaccm wanasubiri...
  7. J

    Kwanini Magufuli aliwaogopa sana Nape na January Makamba?

    Wote waliohusika kumsema Magufuli kwenye zile sauti zilizovuja, wote walipotezwa kisiasa kasoro Nape na Makamba. Ngeleja japo hakuwa mshiriki mkubwa na kuwa wa kwanza kuomba msamaha lakini alipotezwa kwenye ubunge baada ya Magufuli kumfadhili mshindani wake. Membe alifukuzwa, Kinana nae akawa...
  8. peno hasegawa

    January Makamba nikuulize unijibu, umeme ulianzia Singida ~ ARUSHA ~ Namanga ~ Nairobi nini kinaendela?

    Rais JPM alibuni mradi wa kisasa wa kutoa grid ya Taifa kutokea SINGIDA~ BABATI.~ ARUSHA~ NAMANGA ~ NAIROBI. Plan hii ingezalisha umeme mkubwa kwa mikoa mradi unakopitia na kuuza umeme Kenya. Sasa nyaya zimesambazwa singida hadi arusha , kutoka arusha kuelekea Namanga kuna ngozo zachuma hakuna...
  9. P

    Licha ya mambo mengine kuwa magumu kwako Rais Samia, basi tuondolee January Makamba tu!

    Staki nirudie mambo mengi tu ambayo kila leo yanasemwa na kuandikwa hapa jukwaani kuhusu ughali wa maisha n.k nadhani mh Rais ameamua kuyaacha ili kuandikwe historia nyingine mpya Katika nchi yetu, ambapo watanzania watakuwa kila wakikumbuka kuhusu hayo, basi linatajwa na jina la mh Rais wetu...
  10. kimsboy

    Sijui kwanini huwa simuamini January Makamba

    Mimi kila anachokisema huyu bwana huwa nakitupa kwenye dastubi[emoji706][emoji706] Huyu mtu huwa simuamini hata chembe Je, ni mimi mwenyewe?Huwa ni ngumu sana kumuamini huyu jamaa? Kuna chapisho moja niliona akisaini mkataba wa gesi wa trilioni 93 nikasema mhhhhh! Sijui kwanini huwa...
  11. Kamanda Asiyechoka

    January Makamba alipaswa kujiuzulu baada ya baba yake kulitukana Taifa. Tuige mifano ya wenzetu ughaibuni

    Yaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru. Haingii akilini Rais Samia kumtetea eti...
  12. Nyankurungu2020

    January Makamba na Byabato washitakiwe kwa kulihujumu taifa kwa kutengeneza mgao wa umeme. Uwazi uwekwe juu ya generator walilonunua toka USA

    Natoa wito kwa iwanaTanzania wote wanaopenda taifa lao kuwapeleka mahakamani hawa jamaa wawili. Wamevunja na kukiuka ibara ya 27 ya katiba ya JMT inayotaka raia wote kulinda mali ya umma. Wameharibu umeme makusudi ili wapige madili. Mbona hakuna uwazi juu ya jenerator lililonunuliwa toka USA?
  13. kimsboy

    Tetesi: Bei ya kununua umeme kupanda kuanzia January unit kuuzwa 511

    Kuna tetesi nimepewa na mtu wangu wa huko wizarani kuwa kuna bei mpya ya units kuanzia january Bei itapanda kutoka Tsh 357 kwa unit bei ya sasa hadi kufika 511 kulingana na nilivyoambiwa Halafu nimeambiwa pia tarrif 4 ile ya kununua umeme wa 5000 unapewa units 40 kwa vijijini inaondolewa...
  14. Suzy Elias

    Mtoto wa Malecela Le Mutuz amvaa January Makamba na Tanesco yake

    Hapo juu ni ukurasa maalum wa mitandao ya kijamii wa mtoto wa Malecela ukiwatuhumu Viongozi hasa wahusikao na nishati ya umeme inayoongozwa na Makamba kwa kufanya mambo yasiyo na u-muhimu huku wakiacha Samia akisemwa kuhusu tatizo la mgao wa umeme. '....unarushaje live mikutano ya mama ili hali...
  15. RWANDES

    Nimeamini kuwa Waziri January Makamba hagusiki, huyo ni mtoto pendwa ndani ya mfumo wa Serikali

    Waziri anazungumzia nishati safi huku akijuwa pamoja na kutoa hiyo mitungi yake ya gesi ajue kuwa itageuzwa kuwa viti vya kukalia kwani gesi haikamatiki bei ipo juu. Kama asingekuwa anadanganya umma katika utekekezaji wa suala hili basi angewashawishi wafanyabiashara wapunguze bei ya gesi ili...
  16. Lord denning

    Kwa haya mambo 2 natangaza rasmi kuunga mkono January Makamba kukamata kijiti kuongoza Tanzania kuanzia 2030

    Dunia inakabiliwa na changamoto kuu mbili sasa; 1. Uharibifu wa Mazingira 2. Kujenga uchumi imara katika mazingira magumu Kwa kuangalia kuanzia mwaka 2030 sioni mwanasiasa mwenye upeo wa kuiongoza Tanzania kupita kwenye changamoto hizi na kushinda zaidi ya January Makamba. Kwanini January...
  17. Ngungenge

    Hicho kikundi chenu dhidi ya January Makamba hamtafika popote

    1. Baada ya January kusema wabunge waendelee kuongea Sasa naona wabunge wamelipa machawa ili wamtandike makamba 2. Umeme haujawahi kuwa stable per sale ingawa tatizo la umeme halijawa serious kiivo machawa wamelipwa kuja juu kumchafua Januari Makamba 3. Wivu ni kitu kibaya sana mlikua na...
  18. britanicca

    January Makamba akigombea Urais nitamnadi mpinzani wake nchi nzima, Naendelea kutunza ushahidi halisi

    Naona kuna mambo yanaendelea ndani Ya inchi bila watu kujua lililo nje Ya pazia Someone is hunting it for real by hooks and crooks! Mi ni miongoni mwa watu wanaokataa jambo lolote la kujinga haijarishi nani analifanya na yuko Chama gani, Kuna ma tycoon nyuma ya Jamaa mwingine Jana kaanza...
  19. frenk julius

    Video: Aliyemuelewa January Makamba atusaidie

    Habari, naomba msaada kwa aliyemwelewa mheshimiwa waziri makamba hapa atusaidie.
  20. Kijogoodi

    Kutumbuliwa kwa Mulamula na kusuasua kwa Nape na Makamba, Hayati Magufuli alikuwa na maono

    Kila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile. Iko wapi bandari ya Bagamoyo? Kuhusu uwanja wa ndege Chato je? Vipi kuhusu waliopinga serikali kuhamia Dodoma? Vipi kuhusu utendaji wa Nape, Nchemba na Makamba kwa sasa? Ikumbukwe, hata...
Back
Top Bottom