jana

Jana Sena or Jana Sena Party (JSP) (People's Army Party) is an Indian Regional political party based in Andhra Pradesh and Telangana, India. It was founded by Tollywood actor and politician Pawan Kalyan on 14 March 2014. Jana Sena means "People's Army" in Telugu. The motto of the party is "fight for the rights of each and every common person".

View More On Wikipedia.org
  1. Planet Data bundles

    Nime-deposite Tsh laki 1 tangu jana lakini kwene acc yangu ya UTT haipo

    Wakuu hii imekaje Nilikuwa nime-deposite hela UTT kupitia NMB sim app lakini mpaka sasa inasoma zero
  2. GENTAMYCINE

    Aliyeiba Simu mbili za Aziz K jana kwa Mkapa alipokuwa Akihojiwa na Waandishi wa Habari baada ya Ndiki Kumalizika ameshazirudisha au?

    Ila Wabongo balaa dadeki zenu yaani hamna hata cha huyu ni Mgeni au Mwenyeji akijichanganya tu mnamuumiza.
  3. Powder

    Jana kama Team ya Taifa ingepoteza, Wachezaji wote baada ya Mechi uelekeo ulikua Kariakoo.

    Kuna Mashabiki wa Team ya Taifa Jana walikua wamejipanga Kwa Mkapa, wakisema wamechoka na Maumivu ya kufungwa. Team imekua Kama Homa ya Vipindi, Tena ni Bora Team ya Taifa ikawa inacheza tu away ambapo mara hufanya Vizuri kuliko ikicheza Nyumbani. Walichofanya Wakawa Wana organize support toka...
  4. R

    Wanawake wanasema Kimewashuka: Threads za Lissu aanzishe chama, wamefarakana, Lema sijui na Kigaila kawaje zimeisha jana baada ya Hotuba ya Mbowe

    Mbowe: 1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani 2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa 3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele 4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti 5. Mahakama zinatuangusha 5. Ongeza Erythrocyte Ukiondoa kesi ya Justice of appeal Mugasha ya...
  5. Teslarati

    Kuna muda wanawake wana intelijensia ya ajabu jana yamenikuta

    Jana si nimeyakanyaga, huwa nafanya kazi dar kwa hio muda mwingi nakua huko ila mke yupo mkoani. Mwisho wa mwaka huwa narudi na mwaka huu nimerudi mapema, sasa jana wema wangu si ukaniponza. Nikaamua kumtoa out wife, sijui kichaa gn kikaniingia nikampeleka pub moja ambapo huwa naenda sana...
  6. Kusini pride

    Kilichotokea kariakoo jana msukumo wangu wa uongozi umeongezeka mara dufu! Viongozi wengi wa Afrika wapo kwa ajili ya maslahi tu

    Kiukweli kilichotekea jana kariakoo msukumo wangu wa uongozi umeongezeka mara dufu nahisi au ndiyo ukweli viongozi wengi wa Afrika wapo kwa ajili ya maisha yao na si Ku dedicated maisha yao kwa walipa kodi just kwa miaka 63 bado nchi kama nchi tunasua sua kwenye uokozi? Wale ni walipa kodi...
  7. GENTAMYCINE

    Rais wa nchi Kusifiwa na Familia za Marehemu wa Jana na Leo kwa Kuwapeleka Matibabuni India ni kutoka Mioyoni mwao / ni Siasa za Sifa za Kijinga tu?

    Na kwanini basi kwakuwa anataka Sifa na Kutukuzwa asiamue tu kulipia Gharama zote za Wagonjwa nchini mwake?
  8. GENTAMYCINE

    Kiti cha Kifahari anachokalia sasa Msibani Mjane wa Marehemu Mafuru na Nguo ya Kifahari aliyovaa Mjane Msibani jana vinapatikana Tanzania?

    Nimevutiwa sana tu na Kiti cha Kifalme alichokalia jana Mjane na hasa ile Nguo aliyoivaa pia Mjane. Vyote ni bei gani?
  9. Tlaatlaah

    PreGE2025 LGE2024 Kati ya mkutano wa Lissu, Lema na Kigaila upi ndiyo msimamo wa CHADEMA?

    Au tusubiri na press conference ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ili kuthibitisha kwamba CHADEMA imegawanyika vipande au makundi matatu yanayojitegemea? Nakumbuka niliwahi kukomenti mahali kwenye platform hii kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa akifanya press conference mathalani leo, haziwezi...
  10. Mpigania uhuru wa pili

    Kwa tukio la kujaribu kumteka Deo Tarimo tutaendelea kuwalaumu CHADEMA bure

    Miaka ya karibuni CHADEMA kimekuwa kikiitisha maandamano na muitikio wake umekua ni almost zero Wameibuka watu wengi wakilaumu chadema kwamba wanashindwa kuwashawishi watanzania bali ukweli umeonekana jana mubashara Imagine mtu anatekwa mchana wa saa 8 watu wako pembeni wanashangaa tu alafu...
  11. Magical power

    Jana nilikuwa maeneo ya Black and White pale Moro Town. Kuna hii bar ina nyama choma nzuri sana

    Jana nilikuwa maeneo fulani pale black and white (Moro Town) hii bar ina nyama choma nzuri sana. Napenda kukaa konani sana Mara pah wakaja wadada wawili wakaka pale mezani, simu yangu ikaita kuna mtu alinipigia simu alikuwa na changamoto yake ila huwa sipendi kuongea na mtu mazingira yasiyo...
  12. Magical power

    Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini.

    Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini, Kila mmoja bado alikua kamkasirikia mwenzie. Mimi na yeye wote tunafanya kazi mjini, na ni kawaida yetu kila siku kutoka pamoja kwenda kazini, tumekua ni watu wa kutaniana wakati wa...
  13. sergio 5

    Clouds media jana mmejiaibisha mno kwenye kipindi cha michezo

    Habari za mda huu Wana michezo? Kuna mtu Jana mwenye akili timamu aliesikiliza hoja za wachambuzi wa ichi kipindi kuhusu team flani kushtumiwa kutumia sindano na dawa za kusisimua misuli? Ivi huu uchawa tuna tutauacha lini yaani mnatetea team kushinda kwaa kujidunga sindano kuwa itaharibu...
  14. kipara kipya

    TFF mulikeni refa wa jana hafai kuchezesha mechi za yanga hakuficha mapenzi yake kwa yanga hadharani!

    Watu wasisahaulishwe na yanga kufungwa jana ila yule refa hafai katika ligi kuu haswa mechi zinazohusisha timu yake ya yanga tangu dakika ya kwanza mpaka inafika 44 refa amekwisha wapa nusu ya timu ya tabora united kadi za njano na kuizawadia yanga penati baki ya faulo kama kumi na baki ya hapo...
  15. K

    Sisi mashabiki wa klabu ya Yanga tumefurahi sana jana usiku

    Hongereni sana wachezaji wa Yanga kwa ushindi wa jana. Kweli sisi mashabiki wa Klabu tulifurahi sana. Ule usemi wa Yanga inapendelewa sasa waseme mengine. Wachezaji walicheza kama timu. Nkane, Kibabage, Job, Pacome, Chama na wengineo walitufurahisha. Msimu huu ndiyo utakuwa msimu wa historia...
  16. Megalodon

    Yanga Tupunguze Maneno, Jana hatujashinda Goli hata moja, kuna cha kujifunza hapa

    Huu mpira wa Media ndio iliifanya SSC kuporomoka sana na kufikia hapo ilipofikia. Goli ambalo hatuwezi kujivunia nalo deep down lisitutoe kwenye reli kuwa kuna TAFSIRI 2 1. Inawezekana Yanga SC Imeanza kuwa na kiwango cha kawaida au wachezaji wetu wameanza kuchoka, Sijaona Shambulia la hatari...
  17. Poppy Hatonn

    Nani alitaka kuja kuniona jana?

    Vipi,mbona hakufika? Kama anataka kuja,anakaribishwa. Niliweka namba yangu jana,0652 079 561. There is no problem. Anaweza kuja. Yaani pale niliposema Lissu yuko mahututi hospitali,yupo mtu mmoja alisema anataka kuja nyumbani kunisalimu. Na sijui inakuwaje kuhusu Lissu watu wanamtania, wanasema...
  18. Li ngunda ngali

    Huenda Israel imemuua naibu wa Nasrallah aliyehutubia jana

    Duru ndani ya corridor za kijasusi ndani ya Israel na Lebanon zinatabanaisha kuwa huenda msaidizi wa gaidi aliyeuawa kwa haki na Israel aliyefahamika kwa jina la Nasrallah naye kauliwa usiku wa kuamkia leo. Ikumbukwe, mapema jana alitoa hutuba ya kujikakamua eti wao kama magaidi wa Hezbollah...
  19. M

    Refa uliyechezesha game yetu Simba jana, hatukudai

    1. Ulikuwa upande wetu mwanzo mwisho 2. Ukazui tusifungwe la tatu 3. Maelekezo uliyopewa uliyatekeleza ipasavyo.
  20. THE FIRST BORN

    Ushindi wa Yanga wa Jana umekuja na kelele nyingi sana kweli Rage alikua Sahihi.

    Habari! Kichwa cha thread kinatosha kabisa sitaki kueleza zaidi ila Makolo mna shida sana. Nyie wakat mnashinda kuna siku mliona mtu anaandika humu nyuzi kusema mnabebwa? Ila shida hua ni pale Yanga akiaanza kushinda tu goli nyingi. Kama nasema uongo Jamii forum nipigen Ban... kuanzia jana...
Back
Top Bottom