jamiiforums

About Jamii Forums

JAMII FORUMS (JF) is a Non-Governmental Organization that advocates and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. It has helped Human Rights Defenders to remain safe online, enhance digital skills for various CSOs and using content engagement in amplifying their work on its platforms across Social Media.

JF operates JamiiForums.com, Tanzania’s famous digital content platform with its Social Media pages, well known for Stories of Change with a proven track record in public engagement around critical social issues reaching over 3,000,000 people daily. JamiiForums.com was found in March 2006.


Focus Areas
  • Amplification of Citizen Voices
  • Access to the Right Information
  • Data Privacy and Protection
  • Digital Rights Advocacy
  • Promotion of Stories of Change
  1. JamiiForums Tanzania Swali kwa mods; nyuzi ni nyingi na comments zinaongezeka, Je siku JF servers zikijaa itakuaje? Ni mwisho wa JamiiForums?

    kwa hii hali ya sasa nyuzi zinavyoanzishwa kwa fujo halafu bila mpangilio na maana yoyote halafu nyuzi zenyewe za hovyo nyingi zikiwa ni za wanafunzi walioko likizo na vijana wanaokaa kwa dada zao hali inayopelekea comments kuwa nyingi pia. hii hali si itapelekea siku moja servers za JF zijae...
  2. E

    JamiiForums Tanzania EPL isharudi Msimu 202627, JamiiForums Fantasy League imerejea. Jiunge uoneshe uwezo ushinde prizes kutoka Fantasy EPL na ligi ndogo mbalimbali

    Habari za siku nyingi , EPL isharudi Msimu 202627 , JamiiForums Fantasy League imerejea . Jiunge uoneshe uwezo ushinde prizes kutoka Fantasy EPL na ligi ndogo mbalimbali zilizopo nchini . JamiiForums Fantasy League bado ni just for fun na kukujengea uwezo wa kushinda kwenye ligi mbalimbali na...
  3. JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    Wakuu, Nachukua fursa hii kuwafahamisha kuhusu ujio wa App Mpya ya JamiiForums! Hii sio update ya kawaida, bali tumeisuka upya kuanzia chini. Haya ni baadhi ya mambo mapya (features): Brand-New Interface (Muonekano Mpya kabisa) - Tume-design app iwe cleaner, faster, na more readable...
  4. JamiiForums Tanzania JamiiForums ni zaidi ya jukwaa la mijadala—ni darasa la maarifa

    Ukipata muda wa kufuatilia mijadala mbalimbali humu ndani, unaweza kujifunza mambo mengi yanayohusu biashara, sheria, kilimo, teknolojia, afya, dini, historia na masuala mengi ya maisha. Mara nyingi utakutana na watu wenye uzoefu mkubwa ambao hushiriki maarifa yao bila malipo, jambo ambalo...
  5. JamiiForums Tanzania Ushawahi kukata tamaa kuwa siingii JF tena halafu zikapita siku 3 au 4 ukarudi mwenyewe bila kuombwa?

    JF ni uwanja wa vita Unaweza ukaandikia wapi habari ndugu zangu Majibu utakayokutana nayo unaweza kusema JF imeruhusiwa pale milembe hosp. Anyway maisha yaendelee😁
  6. JamiiForums Tanzania Kunani JamiiForums?

    Kuweni makini wakuu. Nimeanza kuona mauza uza kwenye account yangu ya JF, gafla inanitaka ni log in upya kuingiza details zangu. Isije ikiwa watu wa mfumo wanafanya surveillance. Nchi isha chachuka hii.
  7. JamiiForums Tanzania Raha ya JamiiForums si kushinda hoja... ni kuona watu wakizichapa kwa maneno

    Kuna aina mbili za watu humu JF. Kundi la kwanza linaingia kupambana. Lengo lao ni kushinda hoja, kuthibitisha wako sahihi na kumfanya mpinzani akubali. Halafu kuna kundi la pili... sisi. Sisi tunaingia, tunasoma mada, halafu tunaanza kufurahia comments. 😄 Mtu mmoja anakuja na takwimu...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusiana na taarifa kuhusiana na Kituo cha Afya Kigamboni: Hatua zimechukuliwa, asanteni JamiiForums

    Hello wanajukwaa, Nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa afya na uzima anaotupa kila siku, pia niwashukuru jamiiforums kwa kuwa karibu na wananchi kwa kupeleka kero zetu mahali husika na utatuzi kutolewa kwa wakati(Asante Team JF). Mwezi wa tatu ilipostiwa kero kuhusu kituo Cha afya Kigamboni...
  9. JamiiForums Tanzania Nawaomba BBC DW ALJAHEZZERA NA CNN wafungue page zao JamiiForums

    Nayaomba mashirika haya yafungue page zao rasmi humu JamiiForums ili iwe rahisi sisi wananchi tuliotelekezwa na vipeperushi vya CCM tuteme nyongo. Naamini ujumbe huu utaenda viral kwenye mashirika hayo Mimi nitaanza na CNN ambayo ni rahisi kuifikia.
  10. JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya JF: Wana JF tujifunze kuvumiliana pale tunapopishana mawazo. Tupinge hoja kwa hoja, tuache matusi

    Wanabodi Mwaka huu 2026, JF imetimiza miaka 20, kwanza nilishauri, wale wanachama waanzilishi wote wa jf waliojiunga mwaka 2006, wawe recognized, wapewe a token of appreciation, na kuingia kwenye tuzo ya 20Years of JF Hall of Fame, Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa...
  11. JamiiForums Tanzania JamiiForums downtime - July 12, 2026

    Leo Julai 12, 2026 kulitokea changamoto kwenye miundombinu ya JamiiForums (hardware malfunction) na hivyo kupelekea kutopatikana kwa huduma kwa takribani saa 3. Hata hivyo, kasoro hiyo iliyoripotiwa na wadau ilifanyiwa kazi wataalamu wa JF na huduma kurejea kama kawaida.
  12. JamiiForums Tanzania Mbwa wa superbug Boston texas terrier apewa jina inclusive la seran member wa jamiiforums.

    Seran nyota yako imeng'aa hapa Boston huku watu wanaheshimu sana na kupenda pets hivyo mbwa wangu nimempa sehemu yajina lako. Anaitwa Kwereseran.
  13. JamiiForums Tanzania KUFUNGA JAMIIFORUMS NI UPALALALAA WA KISHERIA: Why Gagging the Digital Public Square is a Monumental Failure of Public Policy

    Inakuwaje wazee wa udhibiti? Hebu tuongee uhalisia bila kuficha makucha hapa. Hivi mnafikiria kwa kutumia akili au mmeamua tu kufuata bureaucratic reflexes ambazo hazina mashiko kwenye karne hii ya 21? Kufungia JamiiForums sio tu kwamba ni ushamba wa kidijitali, bali ni constitutional overreach...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums ipige life ban machawa wa ccm

    Nawataja wafuatao, wengine mtaongeza. Haya majinga yanaharibu hadhi ya JF, wengine tunakosa hata mood ya kuingia JF kwa sababu ya haya mapumbavu. Lucas Mwashambwa Stroke gallow bird MamaSamia2025 Tlaatlaah ChoiceVariable narogo Samia atosha tukutane2030
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums ipige life ban machawa wa CCM

    Nawataja wafuatao, wengine mtaongeza. Haya majinga yanaharibu hadhi ya JF, wengine tunakosa hata mood ya kuingia JF kwa sababu ya haya mapumbavu. Lucas Mwashambwa Stroke gallow bird MamaSamia2025 Tlaatlaah ChoiceVariable narogo MamaSamia2025 KERATO MOMBAA Dr wa Manesi Kizibao mdogoee Haya...
  16. JamiiForums Tanzania TANESCO yatolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na Wadau kutoka JamiiForums, hatua za maboresho zimechukuliwa

    Tanesco imetolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na wadau hapa JamiiForums, baadhi ya sehemu maboresho yameanza. Pia soma ~ KERO - Mwaka wa 3 sasa TANESCO hawajaweka Transfoma hapa Msambiazi-Korogwe, tunateseka umeme kukatika ~ KERO - TANESCO Iringa Mjini wanakata umeme laini ya viwandani...
  17. JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Nikiona hoja za Wananchi najibu, nilijibu moja kwa moja kwenye JamiiForums

    https://www.youtube.com/watch?v=AnVvgfeCJ4M Uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya JKCI, Maabara ya Kisasa, Jengo la Utawala Hii ni Hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya JKCI, Maabara ya Kisasa, Jengo la Utawala na Uchunguzi wa Magonjwa ya Moyo na Kitabu cha safari ya Upandikizaji wa Moyo, leo...
  18. JamiiForums Tanzania Happy Birthday Maxence Melo🎉🥳

    Happy Birthday Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica 🎉🥳 Kwa niaba ya wana jamvii Tuna kutakia afya njema, furaha, mafanikio na maisha yenye baraka tele Thank you for your great contribution and for keeping the JF community active and connected every day Mungu akuongezee hekima, strength na...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu, mmeona hiki nilichokiona? Je, JamiiForums na X (Twitter) zimefunguliwa rasmi?

    Wakuu, habari za majukumu. Naandika uzi huu kwa mshangao kidogo lakini na furaha kwa mbali. Kwa saa kadhaa sasa, nimejaribu kuingia hapa JamiiForums na kule X (zamani Twitter) bila kuwasha VPN na cha ajabu mambo yanajipa fasta! Kama mnavyojua, tumekuwa tukipata tabu sana na connection bila...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Marekani inaipenda Facebook kwasababu ni yao China wanaipenda TikTok lakini Tz hawaipendi sana JamiiForums

    ilibidi wa Tz waithamini zaidi Jf
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…