jamii

  1. Coronavirus: Jinsi wahalifu wa mtandaoni wanavyoongeza hofu katika jamii

    Wataalamu wa masuala ya usalama wamesema kuwa, mlipuko wa virusi vya corona umefanya wahalifu wa mtandaoni kutumia mwanya huu kutapeli watu pia. Wahalifu wa mtandaoni wanawalenga watu binafsi pamoja na sekta mbalimbali kama usafiri, utalii,afya ,elimu, bima na shughuli nyingine. Barua pepe za...
  2. Serikali kipindi kama sasa ndio huwa inakumbuka umuhimu wa JamiiForums

    Sasa hivi wanavitaka vyombo vya habari ikiwemo JamiiForums kutoa elimu kwamba Corona imeingia watu wachukue tahadhari wakati mpaka leo wana kesi isiyoisha mahakamani. Vyombo vya habari kibao vimepigwa fine ili kuvinyamazisha ila leo vinakumbukwa. Tuishi kwa upendo na kwa kutowaonea wengine...
  3. H

    Hodii wenyeji

    Hellow Jamii Forum members,Jamani,nimefurahi sana kuwa hapa.naomba ukaribisho tafadhali.mgeni mie nawasalimu sana
  4. Yehodaya nawaageni jamii forums nitakuwa masomoni tutaonana Sept.2020

    Wakuu jamii forums leo ndio siku yangu ya mwisho humu nawaaga nitakuwa busy sana masomoni hamtaniona humu jukwaani hadi september 2020. Mlionikosea nawasamehe bure kwa sharti na ninyi mnisamehe bure nilipowakosea I will miss you all
  5. Top 10 threads zenye wasomaji / wachangiaji wengi zaidi kwenye Jamii Forums

    Habari ya leo wanaJF, JamiiForums ina zaidi ya members 500k ambao kwa pamoja wamechangia zaidi ya threads (nyuzi) 1.3M huku posts zikiwepo zaidi ya 13M. Lengo letu kwa leo sio kufahamu idadi ya members wa JF bali ni kujua top 10 threads / nyuzi zenye wasomaji / wachangiaji wengi zaidi. Hii...
  6. S

    Tukiwa jamii iliyostaarabika, lipi ni kosa kubwa na zito zaidi kwetu kati ya kuua mtu au kuchana kitabu cha dini kama Quran au Biblia?

    Ukituhumiwa kuua mtu, (au kumnyang'anya mtu haki yake ya kuishi) tunategemea utafikishwa mahakamani na kujibu mashataka ya kosa la kuua. Inawezekana kabisa, hukumu ya kesi yako ikawa ni kuachiwa huru kwa kuwa katika ushahidi uliotolewa ulionyesha labda ulisingiziwa, au uliua kwa kujitetea maisha...
  7. M

    Ni vyema serikali, Wananchi tukatambua ugonjwa wa akili na viashiria vyake

    Kwanza ugonjwa wa akili ni kitendo cha kuanzia kufanya matukio kinyume na utaratibu na Kwa kujiamini sana bila wewe kujijua unakosea Ila jamii inakuona wewe unakosea, unaweza ukawa unasikia sauti za watu wanakuita Ila huwaoni, unaweza ukawa unajibizana na sauti ambazo huzioni, unaweza ukawa...
  8. S

    Ni katika kundi gani katika jamii Bwana yule anaweza kupata walau asilimia 30 ya kura za kundi husika?

    Nikimtafakari Bwana mkubwa na jinsi anavyoendesha kijiji chetu tangu aingie ofisini,sioni ni katika kundi gani katika jamii ya wadanganyika ambako anaweza kupata walau asilimia 30 ya kura zote kutoka katika lolote miongoni mwa haya na mengineo ambayo sijayataja: 1.Wafanyakazi 2.Wafanyabiashara...
  9. Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

    Sweden nao wameamua kujiridhisha pasina shaka kuwa Tanzania kuna Uminywaji wa haki za Binadamu na kupunguza misaada kwa Miaka mitano ijayo, maana yake Mpaka 2026 ambapo uwenda Magufuli akawa anatoka madarakani Nadhani baada ya Zitto kumaliza barua kwa USA sasa hii imeandikwa na Kiranga Source...
  10. Je, mabinti wa shule walaumiwe kwa kushika mimba?

    Habare comrades Nimepanga kujibu swali nililouliza kwenye kichwa cha habari mwisho wa maandishi yangu kwenye huu uzi. Kwanza niweke bayana mabinti ntakaowazungumzia ni wale walio balehe wakiwa shule msingi au secondary. Kutokana na habari nyingi zilizopo juu ya umuhimu wa elimu na hasara kubwa...
  11. Kwanini Benki ya Dunia hupenda kukopesha zaidi kwa ajili ya huduma za jamii na sio viwanda?

    Ukifuatilia mikopo mingi ya benki ya dunia iko zaidi kwenye. Huduma za jamii kama afya ,elimu,barabara,umeme,nk lakini kwenye viwanda mfano vya kuzalisha bidhaa za kuuza nje huwaoni, kulikoni?
  12. B

    Member wa JamiiForums mpo wapi?

    Habari members, Hua najiuliza hili swali mara nyingi kwamba Member wa JF huwa mnachangia mada mkiwa wapi mnajifungia ndani au? Mana napanda daladala hampo, bar hampo, kila nnapokaa kwenye changanyikeni ya watu ambao wapo busy na simu zao wengi wapo Instagram, Twitter na mitandao mengine...
  13. GE2020 Tunaojiandaa kumpa tena kura Rais Magufuli tukutane hapa

    Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi Dkt. Magufuli imeshakamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipongeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi. Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwaa na kutukwaza Ila kwa kuwa...
  14. To all women friends, young to old sisters here on JamiiForums

    To all women friends, young to old sisters here on JamiiForums. Before starting I would like to congraturate every one here in JamiiForums for being rewarded by God to commence the beautiful and incredeble year, 2020. I know It was not an easy task to cross the 2019-2020 bridge, but for his...
  15. Jamii masikini yenye ardhi tajiri (Msangano Momba)

    JAMII MASKINI KWENYE ARDHI TAJIRI (MSANGANO MOMBA) BY MSUKU PETER UTANGULIZI Umasikini. Ni hali ya ukosefu wa mahitaji ya msingi ya binadamu kama vile malazi, mavazi na chakula. Lakini pia maji safi na salama, huduma za afya, kutokana na kukosa uwezo wa kununua au kulipia. Hii pia...
  16. JamiiForums inavyobadilisha maisha yangu kwa kunipa wazo la (THD)

    TOPTRUST HELP DESC (A standby force) “ 0693354479 “ Baada ya kupitia nyuzi nyingi humu nilipata wazo! nikachukua hatua ya kukusanya taarifa zote muhimu za jiji la DAR ES SALAAM kuhusu huduma wanazohitaji watu ili kurahisisha maisha yao na kuokoa muda. sasa naweza kukusaidia Kila eneo...
  17. Kuna ukweli wowote kuhusu salamu ya jamii huendana na uchumi wao

    Salamu ya jamii yeyote inaendana na uchumi wao. Mfano salamu ya Shikamoo ina asili ya Pwani maana yake niko chini ya miguu yako. Hivi ndivyo watumwa na wapagazi walivyosalimia ma bwana wakubwa. Habari za asubuhi, ina maana huna uhakika wa habari asubuhi ile, unaweza kusikia kuna mgonjwa au...
  18. Jela inapokuwa na manufaa kwa jamii

    Kuna bwana mmoja Mtanzania ni fundi huko Ulaya. Ana kampuni yake ndogo na van la kazi. Huwa anaajiri cash in hand wengi kutoka Romania na Poland. Ifundi wa huyu bwana ni: 1. Fundi bomba, hutengeneza mabomba yaliyoharibika na pia kufunga mashine za kufulia. 2. Fundi umeme na gas, hutengeneza...
  19. K

    HAPPY NEW YEAR WANA JAMII FORUMS

    Niwatakie Happy New Year wote. Mwaka huu uwe mwaka wa mafanikio kwa kila Mwanajamiiforums. Tujielekeze katika kuelemisha jamii na kutoa ushauri kwa kila jambo ambalo lina manufaa. Tujiepushe na matusi na udhalilishaji kwa jamii. Tupendane na kushirikiana katika kila jambo. Narudia tena HAPPY...
  20. Top 20 ya JamiiForums

    Top 20 ya members wenye meseji nyingi kuliko wote jamii forums 1. RUTASHUBANYUMA(JF-Expert member) Message: 169,603 2. NUMBISA( JF-Expert member) Message: 151,963 3. MSHANA JR(platnum member) Message: 127,933 4. SHUNIE(JF-Expert member) Message: 118,537 5. SHIMBA YA BUYENZE( JF- Expert...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…