jamii

  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania BADO SIKU 8: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 8: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Usijilazimishe kufanya kila kitu. Tambua mipaka yako na heshimu muda wa kupumzika. 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nitaidharau sana Serikali yoyote ile duniani ambayo inapewa 'Ultimatum' na Raia tu wa kawaida au Kikaragosi yoyote mwenye Ushawishi katika Jamii

    Serikali lazima itishe na kamwe isikubali kupewa Masharti na Raia au Kikaragosi. Serikali ya aina hii GENTAMYCNE nitaipenda sana tu. Tangia lini hata katika Ngazi za Familia Mtoto au Mtu wa Nje ya Familia akampa Masharti Baba mwenye Nyumba? Kama kuna Serikali yoyote ile duniani imepewa Masharti...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kuhamasisha maadili mema na malezi bora katika jamii

    Katika dunia ya sasa yenye changamoto nyingi za kimaadili, ni wajibu wa kila mzazi, mlezi na taasisi kuhakikisha watoto na vijana wetu wanalelewa katika msingi wa maadili mema, heshima, utu, na uwajibikaji. ✅ Maadili mema ni nguzo ya maendeleo ya jamii yoyote. Jamii isiyo na maadili hudhoofika...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania BADO SIKU 9: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 9: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Mazoezi huchochea homoni ya furaha, Tembea, kimbia, au fanya mazoezi mara kwa mara. 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa...
  5. Natafuta Ajira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usiruhusu jamii ikupumbaze ukakubali kuwa retirement plan.

    Alivyokua 20's, kwenye kilele chake cha uzuri, bado hajaguswa. Wanaume wenye malengo na wanaothamini thamani yake walimfuata, lakini jamii iliwasakama wanaume hao kwa kuwaita fataki, wahalibifu na kusema kwamba binti uyo bado mdogo. Huku binti mwenyewe akisema hayupo tayari kuolewa anataka...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga kucheza na Simba Ngao ya Jamii

    Kanuni mpya za mashindano zimebadilishwa kutoka ule utaratibu wa kukutanisha timu za ligi na mwisho bingwa kupatikana Na Sasa Kwa kanuni mpya bingwa wa ligi atacheza na bingwa wa FA na kama bingwa wa ligi kuu ndo bingwa wa FA, basi mchezo wa ngao ya jamii unakuwa kati ya bingwa na timu ilishika...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Lela Mussa: Mwalimu asiyekuwa na madili ni bomu la kuangamiza Jamii zaidi ya Bomu la Heroshima

    Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Lela Mohammed Mussa amewakumbusha Walimu kuwa wanapochagua Kada ya Ualimu wakumbuke kuwa wameyatoa maisha yao kwa ajili ya jamii. Akizungumza na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Walimu Zanzibar katika Ukumbi wa Taasisi ya Utalii Maruhubi Wilaya...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania BADO SIKU 12: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 12: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Jenga jamii iliyo salama na yenye matumaini kwa kumshirikisha Afisa Ustawi wa Jamii changamoto unayopitia 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii -...
  9. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini jamii ya kitanzania hatuwezi kufanya biashara ya kifamilia

    Watanzania tulio wengi tumeshindwa kabisa kufanya biashara ya pamoja kama wanafamilia au watu wa ukoo mmoja kwanini? Tofauti na jamii za kiarabu, kihindi na hata familia nyingi za kizungu hudumisha tamaduni hii ya biashara za kifamilia. Yani kutoka kwa muasisi (hasa alieleta mageuzi ya...
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Simba itakandwa 4 bila, ngao ya jamii

    Njia pekee ya kuinusuru ni TFF kubadili hii ratiba (haijatoka hadharani bado ila nimeiona kwa njia nyingine). Iko hivi, Simba ndio itaanza kucheza dhidi ya Azam siku yakwanza, then itafuata mechi ya Yanga dhidi ya Singida (sijui ni kwanini imepangwa hivi) Kwa nongwa ya yanga, ikitokea Simba...
  11. Knock life

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Wakurya ndo jamii duni sana ambayo serikali inabidi kuitazama

    Wakurya ni jamii duni ambayo Serikali inabidi kuitazama na kuhakikisha inafundishwa Emotional intelligence. Hawa Jamaa kuuana ni jambo la kawaida Sana kwao.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wema wanakufa. Wabaya wanakufa. Sasa niwe mwema ama m-baya ndani ya jamii?? Wema una faida gani??

    Wakuu, Kuna jamaa yangu anaitwa Michael amefariki jana na habari nimezipata leo kupitia accounts za washkaji zangu za Facebook pamoja na Instagram. Sasa ninajiuliza, kuna faida gani ya kuwa mtu mwema kwa maana wema wanakufa na wabaya pia wanakufa. At least labda ingekuwa wema wanaishi muda...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ni nzuri ila imechangia sana kuwe na ongezeko la Gen - Z kujitenga na jamii

    Kijana anaweza kukaa ndani siku nzima bila kutoka kwenda nje kujichanganya, tena sio nje tu hata humo humo ndani ya nyumba hatoki kujichanganya na wenzake. Laptop na simu zimekuwa bei rahisi sana na zenye teknolojia ya juu sana, Internet zimeshuka sana bei ukiwa na elfu 70 unatumia internet...
  14. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania JAMII CHAT: Uchawi ni sayansi ya kuunda miujiza au ni technique ya kufanya akili kuamini matokeo yametokana na miujiza?

    Karibuni:
  15. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Ifunze familia yako maadili mema utainusuru jamii inayokuzunguuka na Taifa kwa ujumla

    Ni muhimu kuwafunza waliokatika miliki yako maadili mema kuanzia watoto wako, wadogo zako, ndugu wa karibu pamoja na majirani mnaoishi kwa kushirikiana shughuli za kila siku, kila mtu akifanya hivyo katika eneo analoishi jamii nzima itakuwa na maadili mema na yanayofaa katika jamii na taifa kwa...
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kazi anayoifanya Malisa Gj ya kurudisha tabasamu kwa jamii , ni kazi kubwa sana ambayo hakuna waziri wala Mbunge ambaye ameweza kuifanya.!.

    Vijana Kama hawa ni hazina kwa TAIFA , kwakuwa ukihesabu watu waliosaidiwa kupitia kwa Malisa GJ hawahesabiki. Huyu ni zaidi ya Mbunge na waziri
  17. H

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Kimataifa yashangaa Jinsi Lisu anavyotendewa na Watawala wa Tanzania

    Jamii na vyombo mbalimbali vya kimataifa vinashangazwa na utawala wa Tanzania namna wanavyominya haki za watanzania, na jinsi wanavyomfanyia uharamia Tundu Lisu. Washangazwa jinsi Lisu anavyozongwa na askari waliojificha nyuso zao kama vile wamemzunguka gaidi wakati Lisu ni mtetezi wa haki...
  18. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Wana jamii nisaidie jina la huu mti kibongo kibongo, kwa kiingereza unaiea waburgia ugandesis

  19. A

    JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya ubunge nje ya maslahi na heshima kwenye jamii

    Nimekuwa nikijiuliza maswali tele, kuwa ni nini hasa kipo nyuma ya ubunge? Kwanini watu wanaufukuzia kwa kiwango cha kutisha hivi. Unakuta mtu tayari ana uchumi mkubwa....ana miradi yake ipo stable tu, lakini bado anausaka ubunge... Angalia mtu kama Abood, late Mkono nk Utakuta mwingine ana...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Taratibu kwa wale walio wagen huku Jamii forums

    Naombeni mnipe utaratibu huku. Ni mgeni tokea Twitter X. Nmezoea spana za kule huku vip.
Back
Top Bottom