Huu ndio ukweli kuhusu wanawake, njooni mpinge

Sharobaro la jf

JF-Expert Member
Apr 23, 2020
237
323
Wakuu kuna kitu kimekuwa kikinishangaza sana kuhusu mapenzi.

Leo nimeamua kidogo niliulize ili swali maana kwangu naliona sio la kawaida. Hivi kwanini mtu ukiwa upo kwenye mahusiano ukimtongoza mwanamke yoyote nje hakatai tena unampata kirahisi tu? ila mfano ukiwa single ukijaribu kumtongoza mwanamke yoyote hata awe mbaya vipi lazima atakataa tu.

Hivi kuna mahusiano gani katika hayo mambo? Mfano mimi kipindi nipo single nilikuwa kila nikitongoza pisi lazima akatae, lakini nilipoingia kwenye mahusiano asilimia mia mmoja kila nikitongoza msichana lazima akubari.

Hii imetokea kwa wengi maana nilijaribu kufanya uchunguzi nikagundua ni wengi uwapata, sasa kwa wapembuzi wa mambo naombeni mawazo yenu kuhusu ili jambo?
 
Aisee mada imekaa kimkao

Ila jitahidi kutengeneza hoja ya kuvutia ikiambata na aya/paragraph mada imvutie msomaji

Sasa mzee umelundika maneno sehemu moja kama tope!

Yaani inatia uvivu kuisoma balaa,hamjafundishwa Imla?
 
Back
Top Bottom