Kwanza kabisa nipende kuwashukuru nyote kwa habari motomoto vituko,na vimbwanga vya maisha yetu ya kila siku.. kwa hakika jukwaa hili limenifunza mengi toka nijiunge mwaka 2021 mwezi June.
Hata pale nitakapo jiona mpweke ninaweza kuingia ktk jukwaa hili na kujihisi nimezungukwa na marafiki...
Habari zenu wana Jf?
Mimi ni mwanachama Mpya, Ni kijana....
Nimefungua akaunti yangu leo hii hii, Nimefurahi kujumuika nanyi, Tutakutana huko kwenye nyuzi tofauti tofauti..
Ahsanteni!!
Salaam kwenu wanajukwaa.
Ningependa kuwashukuru Jamii Forums (JF) kwa tuzo hii ya kipekee.
Ni fahari yangu kutambuliwa kuwa kiongozi anayepokea maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi kupitia majukwaa ya kidijitali.
Pia, ni heshima kwa Serikali ya Awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu...
Bhana leo asubuhi nikiwa napitia jukwaa mbalimbali hapa hapa JF nikapata alert kwamba nimebakiza ku-view post 5 kama guest
Nikachukulia mzaha nikaendelea ku-view post mbalimbali ghafla napata ujumbe siwezi tena ku-view kama guest hivyo nifungue account
Bila hiyana nikafanya hivyo, nimekuwa...
Alitokea mzee mmoja na mwanae walikuwa wanasafir kwa kutumia punda so wakaamua kupanda wote kwenye huyo punda.
Wakiwa njian wakakutan na kundi la watu likawaambia watu gan nyie msiokuwa na huruma yaan nyote wawil mnapanda kwenye punda mmoja .
So mzee akaona isiwe kec wala nn akashuka akamwacha...
Aisee humu JF Kuna nini.
Me ndo natumia muda wote Sina hiyo Facebook, Instagram, x n.k.
Muda mwingi Niko hapa kusogoa, kutaniana, kujifunza, kushare mengi
Naipenda JamiiForums mno
As salaam alaikhum ndugu zangu Wana jamii forums Leo ni sikukuu Eid Al Adha tusherekee kwa pamoja tufurahie, tudumishe amani upendo na umoja katika Haki. Mola mtukufu awalinde na kuwabariki Sana
Nasherekea sikukuu na uvutaji wa bangi tulivu.
Sijajua kama ni shida ya Watanzania au shida iko kwenye bajeti zenyewe.
Ama Watanzania wamesusa baada ya kuona hazina maana sana kwao au ni ujinga tu wanahitaji kuelimishwa.
Zamani tukiwa vijijini ukisikia leo Bajeti ya Nchi itasomwa Nchi nzima masikio na Macho ilikuwa Dodoma.
Siku hizi...
Habari wana Bodi.
Nimekuwa nikiwaza mara kadhaa kuu ya hizi takwimu za mtandao wangu pendwa mzee nisie na makuu.
Hivi ni sahihi kweli kwamba tuko watu laki sita na ushee tuu?
Post zilizotumwa huku ni sahihi?
Nikiwaza ndugu yangu GENTAMYCINE anaweza akawa anapost zaidi ya laki 4 peke yake...
https://www.youtube.com/watch?v=_fJw7MIsJZk
Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai Polisi Jamii Kata ya Nala, Yohana Nyagalu “Malima” kutumia Madaraka yake vibaya ikiwemo kunyanyasa na kudhalilisha Wananchi, Jeshi la Polisi limechukua hatua ya kumsimamisha Askari huyo kwa muda wa...
Kama mtu ambae napenda kufanya research, Kutokana na utafiti (si utafiti wa kisayansi kwa 100%) nilioufanya nimegundua kuwa wengi wa member wa JF huamini ndivyo sivyo kuhusu member wenzao.
Baadhi wamekuwa wakiamini kuwa asilimia kubwa ya member ni watu wa kipato cha chini lakini hujikweza kuwa...
Wakuu habari za Jumatatu?
Leo nimeamka zangu asubuhi nikiwa nasema kama na TT wa kwenye treni wakinizingua kama wiki ile iliyopita Ati kwamba chenji hakuna niende nikalipie getini nitampa njia sahihi ya kufanya kazi yake.
Hii kitu inaniudhi sana sijui ndio kweli sarafu hazipo kwenye mzunguko...
Nazungumzia wanaume ambao hawajaoa sio waliooa au waliopo kwenye ndoa, kuna campaign tatu ambazo nataka kuzipigia debe mimi kama mimi. Kampeni moja tayari imeshaenea na nafurahi vijana wengi wa Jamii Forums wameisapoti kwa kiwango kikubwa, hii inaonyesha muamko wa vijana kwenye kusapoti haya...
Habari zenu 🖐
Naomba niwasimulie story fupi iliyotokea kipindi flani cha nyuma.
Kuna siku flani tulikuwa tumekaa na washkaji na baadhi ya mademu bac tunapiga story, jamaa mmoja baada ya kuona mademu akaanza sifa za kuji-mwambafy, bac yule jamaa nikamtuliza vizur tuu kwa upendo, bhana acha...
Pamoja na JF kuwa platform ya kutuondolea stress ila pia imekuwa na mambo mengi ya kutujenga kwenye maisha yetu.Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya 2023 kuisha, Binafsi nimejibebea mambo yafuatayo kwa mwaka huu 2023 toka hapa JF;
1. JF ndo sehemu pekee kwa sasa ninapoweza kupata ushauri mzuri...
Jana nimekutana na mwamba mmoja kavaa fresh tu na ukimtazamaunajua huyu anaelekea katika ofisi flani yenye hadhi au labda ni mtu mwenye mishe zake za kuelewekwa, lakini ajabu nikaona anaongea peke yake.
Awali wakati namkaribua sikutilia shaka sana hilo niliamini labda kuna kitu kaaa sikioni, si...