jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna mambo ukiwa unafikiria akili ya kibinadamu inafikia mwisho kabisa. Je, huwa unatumia njia gani kupata majibu sahihi kwa jambo linalokutatiza?

    .
  2. JamiiForums Tanzania Hii jambo linaumiza sana na upi ni Mwarobaini wake..?

    Yaan kuna Taasisi umeipenda sana na mzuka wa kufanya kazi upo huko, unaomba uhamisho halafu unakutana na hii kitu. Nini mwarobaini wa hii kitu...? Hapa nilikuwa naomba Vacancy Transfer kuhama Taasisi Moja kwenda nyingine zilizopo ndani ya Wizara Moja
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini unapambana? Hela ya kula tu au una JAMBO linaloiambia nafsi "usilete ujinga, kaza"

    Eti mwana jamii forum, ipi ndio sababu hauna mchezo, wala lelemama na utafutaji🤔? Binafsi: sina hamu na UMASIKINI
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Jambo hili linaumiza wanachuo wa Chuo Kikuu cha Sokoine kutakiwa kulipa ada ndani ya wiki 3 za kuanza masomo

  5. JamiiForums Tanzania Mpaka wa Bologonja Kuna jambo linatokota naamini Serikali yetu inajua cha kufanya

    Bologonja ni mpaka au geti linalounganisha hifadhi ya taifa ya Serengeti na Maasai Mara Kenya. Geti hili linawezesha mgeni kutoka Kenya Maasai Mara kuingia Serengeti kufanya game drive na kurudi Kenya kupitia mpaka huu. Mwalimu Nyerere kwa kutumia akili kubwa na busara ya kizalendo kwa maslahi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hii ishu ya nyeti kupotea na Niki kuachana na Mke wake-Ni michezo tu ya kuficha jambo kubwa na zito la Kitaifa kwa sasa

    Hizi Mbanga za eti mtu kaombwa 500 halafu kashikwa bega halafu nyeti zimepotea pamoja na Niki Mkuu wa Wilaya kuachana na Mke kisa DNA, hii ni michezo tu katika namna ya kuficha jambo kubwa la Kitaifa lisijadiliwe. Watanzania tujiulize jambo gani kubwa linalohitaji mjadala wa Kitaifa lijadiliwe...
  7. JamiiForums Tanzania Kuzima ishu ya Jambo tumeletewa uteuzi wa Angela Kizigha kuwa mbunge, na Mkurugenzi wa Ewura kutenguliwa!

    Wakuu, Aweee hii ni kali! Yaani mtu ana skendo kama mia kidogo anateuliwa kuwa Mbunge badala ya kwenda kuchunguzwa kwa tuhuma zote zilizoibuliwa dhidi yake. Samia anazidi kutuona manyani aisee! Halafu mkurugenzi wa EWURA anatenguliwa kwa nini ikiwa yeye anafuata maelezo tu? Samia alikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kila mtu asome constitution of United States of America 🇱🇷 mtajifunza jambo kubwa sana

    Third amendment
  9. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani kwa sasa ambalo ni kero zaidi kwako na ungetaka litatuliwa kwa haraka?

    Ni kero gani kubwa zaidi kwako na ungetaka itatuliwa kwa haraka?
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ya Uendeshaji na Utendaji Kazi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA

    Salaam, Tafadhali kama mdau mwenye kutakia mama nchi naomba muangaze mambo haya ndani ya VETA. 1. Mamlaka ina shida kubwa kwenye utoaji wa mafunzo, shida kubwa ikiwa kwenye upatikanaji wa dhana za kufundishia (trainning materials). Kwa makadrio ya chini kinachopatikana ni kama 20% ya...
  11. JamiiForums Tanzania Hizi Tume Magufuli alizikataa ni kuchezea Kodi za Watanzania sio kila Jambo linaitaji Tume

    Huyu mzee JPM r.i.p alikataa hizi tume aliona ni kutumia vibaya kodi za wananchi maskini leo hii kila jambo linaitaji tume then what next ni upotezaji wa kodi za walala hoi hizo tume zinatumia pesa nyingi bila tija
  12. JamiiForums Tanzania Simbu na wanariadha wenzako fanyeni jambo kwa ajili ya uwanja wa michezo wa sekondari ya Ilboru

    Simbu, Geay na wanariadha wengine wa sasa na wa zamani mnajua jinsi gani shule ya sekondari Ilboru ilivyochangia mafanikio yenu kwa kuwaruhusu kufanya mazoezi kwenye uwanja wao. Uongozi wa shule umekuwa na uungwana wa ajabu. Mimi ninaandika huu uzi wa kuwahamasisha kufanya jambo la muhimu. Kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna jambo haliko sawa. Top ya matajiri katika nchi kuwa wa rangi moja tu

    Sio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi. Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini...
  14. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa mbali na nyumbani kwenu/kwako kwa muda mrefu bila mawasiliano uliporudi ukakuta jambo la kuogopesha/kudikitisha?

    Kuna ile hali ambapo unaweza kuwa mbali na kwenu au kwako (japo hii haiwakuti wengi) halafu huna mawasiliano na watu wa nyumbani kutokana na sababu kama shule (kusoma boarding), shughuli za utafutaji n.k halafu unaporejea unakuta jambo lisilopendeza/ linaloogopesha au kukuumiza. Mimi wakati...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imesema kila jambo la tume ya uchaguzi ni lazima lihojiwe mahakamani!

    Anaandika Jebra Kambole AfCHPR imesema ibara ya 74 (12) Ya Katiba ya Tz na Ibara ya 119(13) ya Katiba ya Zanz zinakiuka ibara ya 3(2) na 7(1)(a) ya Mkataba wa ACHPR kwa sababu ibara hizo zinakataza kufungua kesi ya kupinga ujinga wa INEC na ZEC. Tunashukuru kuwa kwenye Timu ya Mawakili wa kesi...
  16. JamiiForums Tanzania Gen Z niwakumbushe jambo moja tu: Uzee unakuja haraka sana kama mafuriko

    Muda unaonekana mrefu ukiwa na miaka 18, 20 au 25. Lakini ukweli ni kwamba miaka inapita kwa kasi ajabu. Jana ulikuwa mwanafunzi, ghafla una miaka 30 unajiuliza muda ulienda wapi. Ndiyo maana: • Jifunze mapema • Fanya kazi kwa bidii • Jenga nidhamu • Heshimu muda •Acha masihara na maisha...
  17. M

    JamiiForums Tanzania EWURA: Tunaomba sana kesho utufanyie jambo lililotukuka

    Kesho baba EWURA tunakuomba utuvushe sisi wauza mafuta kuanzia vituo vya mafuta mpaka wauza vidumu Tunakuomba upige kwenye mshono kwa pigo takatifu hii itasaidia kupanda kwa bei za usafiri na bidhaa ili tuweze kujipatia faida juu ya faida. Kwa wale washangiliaji, mtakatifu Trump amewasikia...
  18. JamiiForums Tanzania Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani

    Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani. Uhusiano kati ya Pakistan na Afghanistan umekuwa wa mashaka kwa miongo mingi, lakini hivi karibuni hali imechafuka zaidi kutokana na sababu kadhaa za kiusalama na...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Tumia mfumo ule ule uliojenga jambo hilo kwao kulipinga kama uko kinyume nao

    Mambo ya IMANI yapinge Kwa IMANI Mambo ya SAYANSI Kwa SAYANSI Falsafa Kwa falsafa. Kinyume na hapo hakuna kinachofanyavkazi unabaki na mtazamo wako na wao mtazamo wao. Ukipingana kwa falsafa au fact za kisayansi, Kwa WATU WA Imani, mara nyingi watu wa imani hawatakubali kwa sababu msingi wao...
  20. JamiiForums Tanzania Hii Jambo limekaaje

    Habari wakuu wa kuwazuka. Unakaa sehemu au mawazo yakujia kichwani juu ya Jambo Fulani liwe Baya au Zuri kwamba linatoke au umekaa unasema MTU Fulani anakuja au upo na simu yako Kuna mambo unatazama ghafla linakuja wazo MTU Fulani atapiga simu Sasa hivi baada ya dakika 3 au 5 kweli MTU Yule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…