jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC kimepoteza mvuto

    Wadau habari za usiku !! Mbali na mabadiliko waliyo fanya TBC bado kituo hicho kinakosa vipindi vyenye mvuto kabisaa pamoja na watangazaji pia hawana bashasha na haiba. TBC wana kipindi kinaitwa Jambo Tanzania (Good morning Tanzania) hiki kipindi hivi karibun kimekuwa kina endeshwa kiajabu...
  2. The Lobbying Street: Mahali kila connection inakopatikana, Mahali kila Jambo linawezekana!

    Wanabodi. Kwa miaka ya sasa, hakuna kitu muhimu kama kuwa na connection. Kwa sasa hata watu husema it doesn't matter what you know but what matters most is who you know. Well, kuna watu kibao wanateseka namna gani ya kuonana na mtu fulani labda kuwasilisha jambo lake kwa gharama yeyote ile...
  3. Hili jambo la internet serikali inabidi waliangalie vizuri

    Naona serikali imefocus kwenye tehama kila siku nalisikia hilo neno, lakini ni kama unafiki hivi. kwasababu technologia nyingi sahivi zinahitaji internet. Sasa tutaendeleaje kwenye upande wa tehama wakati chachu yenyewe serikali yenyewe wameiondoa? Mfano sisi wanafunzi wa upande wa IT na comp...
  4. D

    Mjadala: Tufanye haya kutokomeza rushwa ya ngono vyuoni, Hili ni jambo mtambuka

    Naomba nianze kwa kusema yafuatayo; Jamii yetu inaugonjwa wa kusita kufanya maamuzi! Viongozi tumekuwa waoga kuanzisha kitu kipya kwa kuogopa kukosolewa! Taasisi tumekuwa watu wa kufanyakazi kwa hisia kuliko kutumia wataalam ili kuondoa changamoto! Mamlaka hatufanyi jambo likawa jambo hadi...
  5. Hilo jambo mnalionaje? Mwanamke kumwacha Mwanaume wake kwa madai ya kamchoka

    Kuna rafiki angu wa karibu amenambia majuzi ameachana na girlfriend wake ambae wamedumu takribani mwaka mzima na kwa jinsi nilivoona mwenendo wao walikuwa wanapendana sana. Kinachonishangaza ni sababu walioachana, mwana anasema eti demu alimchoka tuu, yaan jamaa anasema ilifika kipindi yule...
  6. S

    TANROADS kutumia zaidi ya bilioni 600 bila idhini ya Bunge, ni jambo litalopita kama yalivyopita mengine mengi

    Eti leo Kamati ya Bunge ya Kusimamia Mashirika ya Umma(PAC), imekuja na taarifa kuwa TANROADS wametumia zaidi ya shilingi bilion 600 bila ya idhini ya Bunge na kwamba taarifa ya TANROADS inatia mashaka (kuna uongo). Binafsi najiuliza katika hili ni nini cha ajabu? Je,taarifa za aina hii...
  7. Je Vijana wa CCM wamejifunza jambo au bado wameziba masikio??

    Hatimae kijana Jasiri, imara kweli kweli amehukumiwa 30yrs nyuma ya nondo, huu ni mzunguko wa kwanza, bado kuna mizunguko miwili nasikia.... Tumekua tukiwasihi hata kwa machozi, vijana wasidanganywe na kutumiwa kuficha maovu au hata kuyatenda! Sasa baada ya songombingo hii ya "From Hero to...
  8. Je, kujaladia madaftari lilikuwa jambo muhimu kiasi gani enzi za uanafunzi wako?

    Kuna jambo nimelikumbuka wakati nafanya mazungumzo na wafanyakazi wenzangu leo. Tulikuwa tukijikumbusha visanga na mambo mbalimbali ya miaka ya nyuma wakati tukisoma. Ni kuhusu kujaladia madaftari. Hii kwa walimu wengi ilikuwa ni sharti muhimu; yaani akiingia darasani anaweza kuamua tu kukagua...
  9. S

    Shaka alisema Jumapili ya leo kuna jambo zito Rais Samia atalifanya. Ni jambo gani hilo? Au alitudanganya?

    Katibu mwenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka A. Shaka na siku chache baadaye mwanamama Ditopile waliutangazia umma kuwa Jumapili hii tutege macho na masikio Ikulu, maana Mhe Rais atakuja na jambo zito Sana Mimi nasubiria bila kuchoka, natamani mhe Rais amalize haraka shughuli anayoifanya pale Dodoma...
  10. J

    Shaka: Watanzania watege sikio tarehe 09 Oktoba Dodoma, Rais ana jambo la kuwaambia watanzania

    SHAKA: TUTEGE MASIKIO TAREHE 09 RAIS ANA JAMBO KWA WATANZANIA. Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka amesema mpaka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25 itakua imetekelezwa kwa zaidi ya asilimia 100 kwa namna Mwenyekiti wetu na Rais wa Tanzania Ndg...
  11. W

    Usafiri na usafirishaji wa anga ni jambo la 17 la Muungano, Tujikumbushe mambo 22 ya Muungano

    Ukurasa wa 218 na 219 wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977, unataja Mambo ya Muungano ambayo ni:-. 01. Katiba ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Muungano 02. Mambo ya nje 03. Ulinzi na Usalama, 04. Polisi 05. Mamlaka juu ya mambo yanayohusu hali ya hatari,. 06. Uraia. 07...
  12. WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    Au tatizo hili ninalo mimi tu? ---Update---
  13. Jambo Limezua Jambo: Mifano Hai katika Siasa zetu...

    Kama wewe umekuwa mfuatiliaji mzuri wa siasa zetu unaweza kukumbuka jambo moja ambalo lilianzia padogo lakini mwisho likaishia kuwa jambo kubwa kwelikweli....Sakata la Dowans ni mfano mmoja liliishia kuondokana waziri mkuu... Jambo gqni liliwahi kuanzia padogo likaja na makubwa...nitarudi.
  14. Ni sahihi Mwanamke kufanyiwa Kitendo kama hiki hadharani?

    Je Kisheria Ni Sahihi Mwanamke Kufanyiwa Kitendo Kama hili? Je Kimaadili Ni Sahihi Mwanamke Kitendo Kama Hiki Hadharani?
  15. Elimu ya mahusiano sio jambo la muhimu sana

    Jamii yetu imechukulia mahusiano ya kimapenzi kuwa ni kitu kibaya Sana na hata tumelelewa kuamini ya kuwa mapenzi au hisia za kimapenzi ni kosa la jinai. Mfano mzuri ni mashuleni, ukiwa na mahusiano na mwanafunzi mwenzio inakuwa kosa kuu ambalo unaweza hata kufukuzwa shule. Sisemi kwamba...
  16. Moja ya jambo bora kufanywa na Magufuli ni kuanzisha kiwanda cha sukari Bagamoyo

    Magufuli alimpatia mzee Bakhresa ekari karibia Elfu ishirini huko Bagamoyo ili alime miwa na kuzalisha sukari. Jamaa kafanya kweli. Inakadiriwa kuwa nchi yetu mahitaji ya sukari kwa mwaka ni tani 700,000 lakini uzalishaji ni kama tani 400,000. kiwanda cha Bakhresa kinategemewa kuzalisha tani...
  17. Tanzania kuwa kama Zimbabwe kukataa kusign hii UN convention against torture ni jambo la kusikitisha na kushangaza sana

    WHY HASN’T ZIMBABWE ADOPTED THE UN CONVENTION AGAINST TORTURE? – CONSTITUTION WATCH 6 / 2019 By Veritas28 June 2019Analysis and Comment, Democracy, Human Rights, Legislation 2 Introduction 26th June was the International Day in Support of Torture Victims. Yet another 26th June has come and...
  18. Hivi kukitokea utata wa jambo, wananchi tunatakiwa kuwahoji Rais na Mawaziri au Wabunge?

    Ni utaratibu uliozoeleka kwa jambo lolote likitokea wananchi kuomba ufafanuzi kwa mawaziri, au wakimlilia Rais. Lakini kwa utaratibu wa siasa za uwakilishi si ilitakiwa tuwapigie kelele wabunge na mkubwa wao Spika. Mfano bei ya mafuta ya kula ikipanda, Tozo ikiongezeka, mkataba wa gesi...
  19. K

    Jambo muhimu sana kwa wataalam wa Madini

    Nakumbuka miaka ya 80 kulikuwa na mwalimu mmoja Mcanada alikuwa anafundisha shule moja ya madhehebu ya Wasabato inaitwa Parane Secondary School. Alikuwa anafundisha Chemistry na Physics. Don Straub. Alikuwa mzuri sana katika masomo hayo. Sehemu hiyo inaitwa Mamba Myamba, Upareni. Kuna kipindi...
  20. Kuna jambo gani katika noti za Tsh 500? Mbona watu wapo radhi kuzinunua kwa gharama kubwa?

    Wakuu habari za muda na wakati huu, Kwa sasa kumekua na wimbi la watu wanaotafuta noti za shilingi 500 zile za zaman mpk wanadiriki kutoa dau nono kwa yeyote aliyenazo, unakuta mtu anatoa mpk 30,000 kwa ajili ya noti moja ya 500. Je, kuna kitu gan cha special kias kwamba mpaka mtu anatoa kias...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…