Jambo pekee ninaloweza kumpongeza Emmanuel Nchimbi.

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,930
Reaction score
141,891
……ni [mpaka sasa] kutokutamka kuunga mkono mauaji ya Oktoba 29.

Kama keshatoa kauli kuunga mkono, basi nasimama kusahihishwa.

Kitendo cha yeye kutokusema chochote kuunga mkono mauaji hayo, labda ni dalili kwamba hakukubaliana nayo.

Lakini pia, kama hakukubaliana na hayo mauaji, kwa nini alikubali kuapishwa kiharamu na kufanya kazi na genge la wauaji wasio na mandate yoyote ile ya kuongoza?

Tanzania kwa sasa hatuna Rais wala makamu wa Rais.

Tuna mtawala tu aliyeng’ang’ania kubaki madarakani kiharamu na kwa kupitia damu za watoto na raia wengine wasiokuwa na hatia.

Narudia tena, Samia siyo Rais. Ni mtawala muuaji.
 
Hatimaye nami nimemuunga mkono kwa kujitoa kwake kwenye kiti haramu kama nilivyosema hapo awali.

Japo najua anaweza kuja kuongea mambo kadhaa si yote kutokana na viapo ila kwa hili amejitahidi kukaa pembeni ya serikali haramu na chafu iliyojaa damu za watu maelfu kwa maelfu.

Sasa ni wakati wa hii haramu yote kupotea uchaguzi mpya uitishwe na watu wachague watu wanaowapenda.
 
……ni [mpaka sasa] kutokutamka kuunga mkono mauaji ya Oktoba 29.

Kama keshatoa kauli kuunga mkono, basi nasimama kusahihishwa.

Kitendo cha yeye kutokusema chochote kuunga mkono mauaji hayo, labda ni dalili kwamba hakukubaliana nayo.

Lakini pia, kama hakukubaliana na hayo mauaji, kwa nini alikubali kuapishwa kiharamu na kufanya kazi na genge la wauaji wasio na mandate yoyote ile ya kuongoza?

Tanzania kwa sasa hatuna Rais wala makamu wa Rais.

Tuna mtawala tu aliyeng’ang’ania kubaki madarakani kiharamu na kwa kupitia damu za watoto na raia wengine wasiokuwa na hatia.

Narudia tena, Samia siyo Rais. Ni mtawala muuaji.
Samia siyo Rais,Ni mtawala muuaji ✅
 
nchimbi ameepuka laana ya milele yeye na vizazzi vyake.... Mauaji ya Octobr 29 ni laana kwa atakaye kuwa madarakani kupitia huyu Malaya Samuya...
 
……ni [mpaka sasa] kutokutamka kuunga mkono mauaji ya Oktoba 29.

Kama keshatoa kauli kuunga mkono, basi nasimama kusahihishwa.

Kitendo cha yeye kutokusema chochote kuunga mkono mauaji hayo, labda ni dalili kwamba hakukubaliana nayo.

Lakini pia, kama hakukubaliana na hayo mauaji, kwa nini alikubali kuapishwa kiharamu na kufanya kazi na genge la wauaji wasio na mandate yoyote ile ya kuongoza?

Tanzania kwa sasa hatuna Rais wala makamu wa Rais.

Tuna mtawala tu aliyeng’ang’ania kubaki madarakani kiharamu na kwa kupitia damu za watoto na raia wengine wasiokuwa na hatia.

Narudia tena, Samia siyo Rais. Ni mtawala muuaji.
Nini kifanyike mkuu kujiepusha na hili
 
Kweli mkuu... ebu twende taratibu kidogo ili tupate suluhu ya mambo haya. Kuua mtu au watu sio sahihi kamwe ni lazma tukatae kabisa. HIVI SERIKALI ILIBIDI IFANYE NINI BAADA YA KUONA FUJO.WIZI.UPORAJI nk siku hiyo ya uchaguzi maana nauliza ili tuwepuke kurudia makosa hayo.
 
……ni [mpaka sasa] kutokutamka kuunga mkono mauaji ya Oktoba 29.

Kama keshatoa kauli kuunga mkono, basi nasimama kusahihishwa.

Kitendo cha yeye kutokusema chochote kuunga mkono mauaji hayo, labda ni dalili kwamba hakukubaliana nayo.

Lakini pia, kama hakukubaliana na hayo mauaji, kwa nini alikubali kuapishwa kiharamu na kufanya kazi na genge la wauaji wasio na mandate yoyote ile ya kuongoza?

Tanzania kwa sasa hatuna Rais wala makamu wa Rais.

Tuna mtawala tu aliyeng’ang’ania kubaki madarakani kiharamu na kwa kupitia damu za watoto na raia wengine wasiokuwa na hatia.

Narudia tena, Samia siyo Rais. Ni mtawala muuaji.
Nchimbi hastahili pongezi wala kusifiwa kwa lolote.
Katika barua yake sijaona lolote la kumpa sifa juu yake.

Huyu ni 'bogus' tu kama walivyo wengi ndani ya chama kile

He has, and have never had any fire in his stomach in his entire life.

Hawa ndio 'opportunists' waliojaa ndani ya CCM; wasiokuwa na msukumo wowote zaidi ya shibe yao.
 
Back
Top Bottom