Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.
Hata CCM na Samia wake wakisema Waungane na Walutheri, Waanglikana, Wasabato, Walokole (TAG) na Waislamu Shia na Simu bado hawatatimia Idadi Kubwa ya Wakatoliki waliopo nchini Tanzania.
Na wenye Akili tunajua kuwa Tanzania Kihistoria ipo chini ya Himaya ya Katoliki (Vatican) hasa Kimaamuzi na...
Mimi napenda kuuliza maswali ili niweze kujua na kufahamu zaidi ili ikitokea nami nimeuulizwa basi nijibu kwa ufasaha na kwa uzuri.
Bibilia inatukumbusha na kutuamru kushukuru kwa kila jambo yaani liwe zuri baya wewe shukuru tu.
Mtu anapata ajari mbaya sana na kupelekea kupoteza baadhi ya...
Ugonjwa wa MPOX unaenezwa kwa njia ya ngono.
Hii siyo njia pekee isipokuwa kwa kiasi kikubwa watu wazima wanapata ugonjwa huu katika mchakato wa ngono au tendo la ngono lenyewe. Vimelea hukaa katika majimaji ya mwili (ute wa mwanamke, mbegu za mwanaume, damu, mate n.k) wa binadamu au mnyama...
Habari watanzania wenzangu poleni na majukumu na hali ya kisiasa ambayo haina afya kwa taifa huru kama tanzania.
Nimekuja hapa jukwaani asubuhi hii kwa lengo moja tu la kutaka kushauriwa juu ya mwenendo wa misha yangu ambao unanipa sintofahahamu juu ya atma ya maisha yangu.
Kiualisia mimi ni...
Katika mjadala wa maendeleo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi wa taifa lolote, hoja ya uadilifu wa viongozi huwa inajitokeza kama msingi wa mafanikio.
Hata hivyo, historia ya mataifa mbalimbali imeonesha kuwa uadilifu wa viongozi hauwezi kufanikisha maendeleo ya kudumu iwapo haujawekwa ndani ya...
Kila mmoja ana mambo kadhaa ndani ya mahusiano ambayo yanamkera mpenzi wake. Ila kuna lile limoja kabisa umeshindwa hata kupunguza.
Share experience tujifunze kutoka kwako.
Binafsi: Nimeshindwa kuacha kutazama statuses whatsapp + reels za IG za wadada wenye mishepu yao. Kila nikijaribu...
Sijamsingizia yeyote. Moderators najua mtataka kuufuta huu uzi. Ila sijavunja kanuni yoyote.
Kwa umri samia hawezi kuwa na mtoto kama Tundu Lissu. Nakumbuka samia akiwa zanzibar alimwona Simba mmoja machachari yaani pamoja na kuwa kwenye cage bado hakuwa mnyonge.
Alikuwa akizunguka zunguka...
Habari za asubuhi wanajukwaa!
Iko wazi kwamba jukwaa limebeba watu tofauti ktk kila nyanja. Naleta jambo langu jukwaani nione uwezekano wa kupata ufumbuzi.
Kuamkia nyumbani halafu ukashinda tena nyumbani bila kuwa na mpango wowote siku nzima hakika inachosha sana jumlisha majukumu ya familia...
Nimeshangazwa sana nilipojaribu kuangalia line za mitandao mingine zilizosajiliwa kwa namba yangu ya NIDA kwa kubonyeza *106# kisha nikachagua kuangalia line zote zilizosajiliwa kwa NIDA yangu, ndipo niliposhtuka kuona kuna namba nyingi ikiwemo ya airtel, ambayo baada ya kujaribu kumpigia...
Ni kweli kabisa kama Yesu alivyoahidi katika Yn 14:13-14 tukimuomba Mungu jambo lolote tutapewa au tutafanyiwa. Nimethibitisha hilo mimi mwenyewe. Niliomba pesa ya kujenga nyumba na kununua gari nikapata - nilikuwa na kazi ya mshahara mdogo nikapata kazi yenye mshahara karibu mara kumi ya huo wa...
Mi nataka kweny tasnia ya maafisa usafirishaji lkn nna changamoto kadhaa hivyo ningependa kupata USHAURI kutoka kwenu
Kwanza kabisa mi ninajua kuendesha pikipiki lakini sina leseni. Sasa kuna mahali NAFANYA kazi lakini ndo hivyo kipato ni cha kudunduliza, nimejimake nna akiba kama lak 8 hivi...
Tuende sawa.
Kuna baadhi ya mambo ni ya kawaida na yanafanyika kila siku lakini wewe huwezi au hujui namna yakufanya...
Mfano mimi;
1. Zile ngazi mwendo(escalators)siwezi kuzitumia, na sizitumii hata iweje...Siwezi.
2. Kula wali /pilau na ndizi mbivu kwa wakati mmoja....Siwezi.
3. Kumsimamisha...
Wakuu kuna mama ana binti mgonjwa ameshindwa gharama ya operation ni kubwa sana,
Anauliza ni Ofisi gani aende na vithibitisho vyake, pamoja na barua yake wamgongee muhuri au wampe barua yenye muhuli apite mtaani aombe michango kwa wasamalia wema, sababu hajui utaratibu na hataki kuomba omba...
Mpaka sasa hakuna page yoyote ya rais iliyoposti chochote kuhusu kumbukizi ya mtangulizi wake john pombe magufuli ! Sio waziri mkuu Wala makamu wa rais aliyethubutu kuzungumza chochote ! Labda tunajaribu kuifubaza siku hii muhimu ni yenye kumbukumbu ya kutisha kuwahi kuipata nchi yetu !na kwa...
Naanza na mimi kuna wakati nilikua safari kutokea Same nikielekea Arusha nilipanda coaster na kupata siti ya nyuma kabisa na sababu yenyewe nikwamba tulikua wawili hivyo tulipendelea kukaa pamoja mbele yetu kulikua na siti ya watu 2 ambayo yadirishani mtu alikaa ikabakia hiyo ya mwanzo.
Mpaka...
Hawa viongozi wenu wa dini za kikristo/kiislam wa kiafrica ni kwanini jambo la kipumbavu likisemwa kwa kizungu/kiarabu ikiwemo majina ya watu ie: john,mary,mustafa,khalid,mohamed;shule ,misikiti na makanisa i.e:st John,masgid tawfiq,n.k linaonekana lina maana sana?
Jumuiya ya Umoja wa vijana wa CCM Taifa chini ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Ndg. Mohammed Ali Kawaida inatarajia kufanya Mkutano mkuu maalum wa UVCCM Vyuo na Vyuo vikuu utakaokutanisha Viongozi wote wa mikoa yote wa vyuo na vyuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.