jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. Head current

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Hela ninazompa atunze zinakuwa pungufu bila maelezo ya kujitosheleza, nini kimejificha?

    Heshima kwenu wana jamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada husika, Niliweka utaratibu kuwa kila siku nikirudi kazini nampa 10000 mwanamke wangu ambaye naishi nae na nilimkuta ana mtoto mdogo wa kiume mwenye kama miaka minne hivi na tunaishi wote watatu, hiyo hela haitumiwi hadi...
  2. bulajunior

    JamiiForums Tanzania Mazoezi kwa mwanaume ni muhimu Sana kama unataka kumridhisha mwenza wako kwenye tendo!

    Nimeona nizungumzie hili wanaume wenzangu kama unahitaji mpenzi wako afurahie shughuli yako ya kitandani jitahidi kufanya mazoezi ili uwe mwepesi kuhakikisha unapumzi ya kutosha hivihvi jamani tutalaumiwa sana na tutapigiwa sana
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kuwa watanashati kwenye mavazi, jambo hili ina uzito kiasi gani kuvutia wanawake

    Hatuwezi kufanana, mwenye maneno atasuka sentensi zake, mwenye gari atatumia lifti, mkaanga chips atapooza njaa, n.k. Utanashati una uzito kiasi gani kwenye mvuto
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Soma kiumakini utapata jambo la maana

    The Arse’s Bold Bid for Leadership: A Tale of Guts and Glory In the bustling metropolis of Human Body, where organs worked tirelessly to keep the system running, a new contender emerged for the role of leadership: the Arse. Yes, the Arse—often overlooked, frequently ridiculed, but undeniably...
  5. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana jambo lake ambalo anajua akilisema watu hawatamuamini

    Nashangaa wakati mwingine unaandika nyuzi ya kawaida tu, ila watu wanareply haiwezekani, chai, uongo. Mngejua, kuna mambo ya kustaajabisha watu wameyabeba moyoni, hawawezi tu kusema na hata wakisema hamtawaamini. Anyway, hivyo vibao viwaburudishe (mimi baadhi ya yale ya moyoni ambayo siwezi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania SOWAH: Kucheza Yanga ni jambo la muda tu!

    Mshambuliaji wa @singidablackstarssc akiri wazi kutamani kucheza @yangasc kutokana na mapenzi aliyokuwa nayo na Rais wa @yangasc @caamil_88 "Yanga ni nyumbani kwangu Rais wa Yanga ni kama Baba kwa yote aliyonifanyia naamini siku moja nitacheza Yanga kwa mafanikio zaidi. Yanga ni nyumbani, hata...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Muda mwingine unapokuwa unahitaj extra motivation chukua picha yako ya utotoni, then iangalie kwa kina huku uki-reflect kwa kina jambo linalokusumbua

    The goal haswa ni kukujenga katika upya maana utoto unafanania na una respresent mwanzo. Jiulize huyu dogo naemuona hapa angefanya unyama huu naotaka kufanya? Jiulize hivi huyu dogo namtendea haki kweli yeye na wale waliomlea kwa hatua hii ndogo niliofika? Jiulize hivi huyu dogo angejua kuwa...
  8. Faana

    JamiiForums Tanzania Wahubiri na waumini kuna jambo la kujifunza hapa

    Nimemsikiliza mtumishi huyu, nimejifunza jambo muhimu sana katika kujiimarisha kiimani Nawe msikilize https://www.facebook.com/reel/8974835319238058
  9. Magical power

    JamiiForums Tanzania Jambo nisiloweza kulisahau kamwe mwaka 2024

    JAMBO NISILOWEZA KULISAHAU KAMWE MWAKA 2024 Siku Moja katika kutekeleza majukumu yangu Kuna ndugu Fulani walikuja Kwa lengo la kuhifadhi mwili WA mpendwa wao majira ya saa Tano usiku Story ya kifo Cha marehem ni kwamba alirudi kutoka kazini akiendesha gari lake vzr tuu baadae majira ya saa...
  10. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Kutafuta mwenza nyakati hizi ni jambo gumu ,linaloonekana jepesi machoni pa watu waliotanguliza hisia badala ya akili

    Habari za usiku waungwana.. Ni jambo lililo wazi kimaumbile kuwa mwanadamu mwenye utimamu wa akili na mwili anamhitajia mwenzake wa jinsia nyingine ili kukamilisha muunganiko wa kimaumbile unaoleta stara ya kibinadamu. Ni jambo muhimu kwenye maisha ya mtu yeyote mwenye kuyatazama mambo kwa...
  11. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Wanaoisifia Rwanda na Kagame either kwa makusudi au kutojua kuna jambo mhimu hawalisemi na ndio weak point ya kagame.

    1. Wahutu wanahisi kukaliwa kimababu, mkono wa chuma na Kagame, hivyo kikipigwa Rwanda sio wamoja 2. Uchumi wa Rwanda ni fragile 3. Population ndogo All in all vita ni mbaya maana ukiachana na vifo na wakimbiI, hufanya nchi maskini kuwa maskini zaidi.
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania CCM Mkoa wa Simiyu: Jambo Letu Limekubali

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameongoza kwa mafanikio matembezi ya kuunga mkono maamuzi ya Chama kwa kuteua Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Mgombea Mwenza wake, Ndugu Emmanuel Nchimbi. Matembezi haya, ambayo...
  13. kante mp2025

    JamiiForums Tanzania Nimegundua wanyama wanaongea na wanacheka wakifurahia jambo!!

    Amini usiamini hata ng'ombe, paka, kuku na wanyama mbalimbali wafugwao wanao uwezo wa kununa, kucheka na kuongea najua utabisha Toka 2005 nilijikita kufanya utafiti wa maisha ya wanyama hasa hawa tunaowafuga majumbani mwetu na kilichonishangaza ni kugundua nao wana lugha yao ya kibonyoli"...
  14. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Hongereni Jambo tv, ujasiri wenu umewalipa

    Takwimu za Video zao Mtandaoni za Jana na Leo za watu waliokuwa wanfuatilia uchaguzi chadema Kupitia JAMBO TV 🅴 TUNDU LISSU ANAZUNGUMZA MUDA HUU Kutazamwa: elfu 140Ilitiririshwa saa 2 zilizopita MOTO UMEWAKA MLIMANI CITY KURA ZA MBOWE NA LISSU ZIKIHESABIWA Kutazamwa: elfu 92Ilitiririshwa saa 8...
  15. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Hili jambo kwa kweli sitajisamehe. Linanitesa sana. Huyu Tapeli alitudanganya wengi

    Jamaa yangu ananiambia maneno haya akiwa na huzuni sana. Kama kuna jambo sitakuja jisamehe ni hili la kufikiria kuwa Yericko Nyerere alikuwa anafahamu mambo ya ujasusi. Hili sitajisamehe kwa kweli. Huyu jamaa alikuwa anasema Russia inawamaliza Nato na Ukrain ndani ya siku chache sana. Ndo...
  16. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Azam mkimalizana na matamthilia yenu ya Ottoman mtuwekee na za historia ya Roman, Byzantine, Macedonia ya Alexander, tofauti na hapo mna jambo lenu

    Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman. Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk walivyovamia kila kona na kuwabadirisha watu traditions zao. Najua mtaanza na stori za kutengeneza...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukimsaidia Mbongo jambo au fedha, kila tatizo atataka umsaidie tena. Hii ni ishara ya Low IQ

    Hi! Binadamu mwenye akili timamu au mwenye standard IQ anapaswa awe na aibu na utu. Nilomsaidia brother mmoja kumnunulia simu baada ya kuona simu yake ina matatizo. Sasa anataka nimsaidie kununua kaunta book za watoto wake. Anapiga simu kama ugomvi. Nilomsaidia mtu kupata kazi mahali kipindi...
  18. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Maisha: Ni mitihani gani au changamoto zipi ulizokumbana nazo maishani mwako na kuzikubali na kuamua uishi nazo ili maisha yaendelee?

    Habari za asubuhi waungwana wa humu jamvini...... Hakika maisha ni safari ndefu sana na wakati mwingine kwenye maisha tunakumbana na changamoto na mitihani mbali mbali....... Kuna baadhi ya changamoto na mitihani tunazikabili na kuzipatia ufumbuzi na kuendelea na maisha na kuna zingine kwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Tumshukuru Mungu kwa Kila Jambo

    Tumshukuru Mungu kwa Kila Jambo Shukrani ni nini Shukrani au kushukuru ni kitendo cha kutambua (appreciate) au kujua matendo ya Mungu katika maisha ya kila siku. Ni vema tukatambua kuwa kila kinachopatikana kwenye maisha ya kila siku siyo kwa nguvu zetu wenyewe, bali ni Mungu ndiye...
  20. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Malast Born Nina Jambo Lenu

    Malast born tunawapenda lakini huwa mna mambo yenu flani flani ambayo yanaboa sana kwahiyo kaka yenu nimeamua niwachane,na hata kama ni mzee kuliko mimi ila kicheo wewe ni wa mwisho kuzaliwa kwahiyo ni mdogo tu Ni watu ambao mmedekezwa sana na wazazi wenu kwasababu ya kuwa wa mwisho kuzaliwa...
Back
Top Bottom