jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bajaji biashara kichaa Kuna jamaa kanunua juzi bajaji mpya Leo imepata ajali haitamaniki milion 10 zimeenda

    Aisee, huku mtaani kuna jamaa alinunua bajaji juzi, akampa dereva ili ampelekee hesabu kila siku. Leo asubuhi bajaji imepata ajali mbaya sana—haitamaniki kabisa. Imeharibika vibaya kiasi kwamba sasa ni ya kuuza kama chuma chakavu tu. Milioni kumi zimepotea kizembe sana. Yule jamaa...
  2. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa yangu ni mchawi au ni roho mbaya tu?

    Huyu mshikaji wangu nashindwa kumuelewa,tuko nae kwenye harakati kitambo tu ila naona ni kama kaanza kuwa na roho ya kichawi hivi. Yeye ameanza hizi harakati za kupiga paper za ajira za serikali kitambo tu na kwa maelezo yake hajawahi kufika oral hata moja. Sasa me mwaka huu nilimuambia tukaze...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Paschal Cassian katoa nyimbo ya Damu zinawalilia

    Ni paschal Cassian baada ya kutowa ule wimbo mtakamata wangapi,akatowa tena Freedom na sasa katowa Damu zinawalilia.pamoja ya kwamba amesema yupo hatarini ila hajakaa kimya.
  4. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa ana roho mbaya Iseee!

  5. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa unahisi yupo sahihi kuhama Dini?

    Itakuaje kama na upande anaohamia ukawa haukemei. Unahisi yupo sahihi?
  6. X

    JamiiForums Tanzania Hivi Kontawa anatuchukuliaje mashairi yake? Jamaa comedian sana

    " Bubu anaitwa Maneno " 😂😂 "Nakunywa Serengeti Ngorongoro" "Nakunywa soda mbele ya shomari kapombe" Huyu jamaa jau hebu na wewe dondosha moja ya mstari wake tuone
  7. S

    JamiiForums Tanzania ChatGPT AI asema Jamaa uenu hatoki

    Jaza hotuba ilivyo sema halafu sikiliza jawabu ,Chadema ombeni msamaha ujuwaji wenu unamuumiza mwenzenu .akubali alikosea maana unapoipeleka maneno ya Mheshimiwa Lisu ,jawabu unapata ni kosa. Msipoteze hela kuwalipa mawakili ,japo sitoi mimi ,Mawakili watataka kutafuta umaarufu kupitia...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Jambo muhimu ambalo sehemu kubwa ya jamaa haifahamu kuhusu ugonjwa wa MPOX

    Ugonjwa wa MPOX unaenezwa kwa njia ya ngono. Hii siyo njia pekee isipokuwa kwa kiasi kikubwa watu wazima wanapata ugonjwa huu katika mchakato wa ngono au tendo la ngono lenyewe. Vimelea hukaa katika majimaji ya mwili (ute wa mwanamke, mbegu za mwanaume, damu, mate n.k) wa binadamu au mnyama...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani

    Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amegoma kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili kwa njia ya mtandao hii ni kwa mujibu wa mawakili wake. Lissu alipaswa kufikishwa Mahakamani leo ili kufatilia mwenendo wa kesi hii. Pia soma > LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali

    Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali. Pia, Soma: Baraza la Maaskofu...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi serikali imewashindwz kabisa Hawa jamaa wa tuma kwenye namba hii

    Hivi Kuna watu wantuma pesa kirahisi kabisa mda huu Kuna jinga linatuma sms ya hivi aisee tanzania imeshindwa kuwashugulikia Hawa wajinga maana ni usumbufu sana aisee watanzania tufanye kazi hii sio ajira shenzi kabisa huyu jamaa nilijua meseji ya maana kumbe jinga Moja
  12. JamiiForums Tanzania Mbongo akikuambia nisubiri kidogo elewa kabisa hapo usubiri saa moja ama zaidi

    Haya maneno ukiambiwa tu wee jua kabisa kama una kazi unaweza kuta unafanya endelea nayo kabisa. Imagine mtu yupo zaidi ya km20 una mpigia simu halafu anakuambia dk 0 niko hapo au dk 5 nyingi nishatia nanga hapo mkuu aisee wewe kunywa chai yako vizuri maana utasubiri zaidi ya lisaa nk. Ukija...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa miaka mingi watu wengi tulidhani Mikka Mwamba ni jamaa fulani jeusi la Kigoma kumbe jamaa ni chapa ya Trump kabisa

    Wakongwe tulimjua tangu awali ila hadi sasa watu wengi ukiwaambia kwamba mwamba ni mzungu wana bisha kabisa
  14. JamiiForums Tanzania Mke wa jamaa angu na kijeba kingine wanatoka guest.

    Nipo hapa nje ya guest nimesimama kwakujifucha, mke wa jamaa angu aliingia ndani humu mda mrefu Sana . Saiv ndo anatoka Ila sijui nifanyaje. Ipo hivi ... Toka zamani Sana Me nilikua nimesha amua kuokoka, Yan in short niliamua kua sintokua mtu wa toto's siku zote tukiwa tunakua... Ila jamaa...
  15. JamiiForums Tanzania Wale jamaa wa "Tafuta hela wewe, V8 sio gari ya Serikali"

    Ndugu wa damu tunaofanania katika tabu na u-VETA, ila tukiingia jf ghafla tunageuka kuwa mabosi 🤣 Anyway, Maisha yaendelee.
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia alikuwa anamtisha nani hapa?

    No Reforms No Election [emoji91] Hii ni nchi yetu sote tusitishane!
  17. JamiiForums Tanzania Katika kipindi hiki cha Pasaka jamaa mmoja ameenda na kondoo Hekaluni huko Israel

    Katika kipindi hiki cha Pasaka huko Jerusalem Israel jamaa mmoja jana alienda Hekaluni akiwa na kondoo kwa nia ya kwenda kutoa sadaka ya kuteketezwa baadaye Alikamatwa na polisi walieko kwenye eneo hilo ambalo ni Takatifu kwa Wayahudi, Wakristo na waislamu. Eneo hilo lilikabidhiwa waislam...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini jamaa wa aina hii kwenye picha huwa ni waluga luga sana mtaani🤣

    Utakasikia: "Masela nina koneksheni ya vidio ikionesha mababu wa Simba wakiwa na mbuzi ndani ya basi sema niliifuta bahati mbaya" "Dah mechi ya Arsenal juzi imenikosesha mkeka wa milioni 20" "Niliwahi kuishi Dodoma, nilikuwga nawaitishia wabunge wale watoto wazuri wa udom" 😁
  19. JamiiForums Tanzania Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    Wakuu hapa mtaani Kuna jamaa tunashindwa kumuelewa aisee kiufupi kama mnavyojua Ili mtu uishi vizuri ni lazima ufanye kazi Sasa huyu mshikaji yeye anashinda ndani asubuhi mpaka usiku akitoka kutembea siku Moja Moja na hapo ni misele tu kijiweni sio kwamba labda anaingia kazini ila anakula...
  20. JamiiForums Tanzania Unafikiri nini sababu inayomfanya huyu manzi asiachane na huyu jamaa?

    Pamoja na kipigo chote anachokipata, unadhani sababu gani inayomfanya huyu manzi amnganganie mwamba?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…