jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mbona nyuzi hizi zilikuwa hazifutwi na tunasema kabisa Jamaa atakufa 2021?

    Huu Uzi niliuandika nikiwa Corridor za Kremlin kuna jambo tulikuwa tunajadili na diplomat fulan https://www.jamiiforums.com/threads/ya-kabendera-aman-upendo-tukielekea-mwaka-mpya-tusihukumu.1672937/
  2. mkokamoto

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tulikuwa gizani, hatukujua Mpina ndio kete ya ushindi

    Makala Maalum: Uchambuzi wa Sifa na Faida za Luhaga Mpina kama Mgombea Urais wa Tanzania Oktoba 29 --- Dar es Salaam, Tanzania — Muda mrefu Watanzania wamekuwa wakitafuta sura mpya kwenye uongozi wa juu wa nchi. Katika harakati hizo, jina la Luhaga Joelson Mpina limeanza kuvuma, likitajwa na...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ina maana huyu jamaa muuza karanga usmart wake unamponza

    Anakuja mara kwa mara bar ila hata za kuonja tumezikataa kwa sasa mwaka wa tatu tumezikataa.Anapita kavaa miwani watu hatumuamini
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na jamaa anagawa hela hata bila kumuomba

    Aisee haya maisha yananoga Sana kuna sehemu nikaenda kunywa nikakuta jamaa Fulani ye haongei kazi yake akikuona anakuja kukupa 10000 au 2000...je hio NI roho njema au stress jamaa kachanganyikiwa.
  5. Knock life

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kama moto upo yule jamaa atakuwa motoni au peponi ?

    Yule kwa tabia zake je atakuwa motoni au peponi ?.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ndugu, jamaa na marafiki

    Ndio code mpya tao!
  7. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Story : Jamaa wa pool table alivyowaingiza 18 wadau team jobless

    Kuna mahali alikuja kijana mmoja mgeni akakuta wenyeji akauliza hakuna mchezaji tucheze bukubuku mwenyeji mmoja akasema labda buku mbili mbili jamaa akasema sawa Wanacheza mgeni akaliwa game 5 mgeni akasema twende ten ten mgeni akaliwa game 3 ikawa jumla kaliwa 40000 mgeni akasema twende laki...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Ndege yatua kwa dharula baada ya mtu mmoja kusema 'Allahu Akbar'

    Siku hizi ukitaja jina la Allah sehemu yenye watu lazima ukimbiwe, aisei hizi nyakati ni mbovu sana na zilitabiriwa kwenye Biblia na tunazishudia, tutaishi kwa hofu sana. Jamaa amesababisha kizaazaa kwenye ndege baada ya kubweka Allah Akbar!!! Ikabidi ndege itue. ------------- Ndege ya easyJet...
  9. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kuna dogo kashinda Millioni 58 kwa kubeti. Mnashauri nini?

    Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29 Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa. Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Huwezi Mtenganisha MULIRO na Matendo ya kiovu yanayoendelea Nchini. Maelezo yake ynaonyesha pia kuwa Jeshi la Polisi limeshindwa KAZI ya kulinda Taifa

    Huyu Jamaa kama ni Roho mbaya, basi ni Shetani ,amejawa Kiburi, jeuri ya Mamlaka kiasi kwamba Licha ya kua anajua anaongea Upumbavu anaelewa fika hamna wa Kumfanya kitu chochote. Huyu Jamaa kama tutapata Taarifa zake Binafsi za Akaunti za Benki ni wazi atakua na Mabilioni Kadhaa ya Fedha ...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ndio maana wale jamaa unakuta wana mapete mengi vidoleni

    Hata mvae nini, tabu ipo pale pale. Tabu ni asili ya mwanadamu katika dunia hii ya ushindani.
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Bora Mtu umalize form four na miaka 30 kama yule jamaa ambaye hazeeki kuliko kununua cheti kwakuwa utakuwa na cheti kizuri ila kichwani hamna kitu.

    Wanasiasa Ambao mnavyeti vyamagumashi kiukweli Mnaonekana kuwa hampo vizuri kiutendaji . Mimi nimeona hilo.
  13. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kesho hakikisha unaweka Bundle , mtajua mambo mengi kuhusu Super black kunyimwa karatasi , issue ya Mzee wa NRNE , na mauaji ya jamaa mweupe wa Tanga

    Kesho weka bundle Mkuu kuna good news zinakuja . Taifa linaenda kupona Timu zipo tatu -hana deni (Consumers) -NREN -Tubadilishe Striker la sivyo tukose wote . Wabaya zaidi wazee watukose wote wapo wengi na hapa mzee wa NRNE anaenda kujiokotea Dodo Kocha Mchezaji ambaye alipata GPA 2 kwa...
  14. Knock life

    JamiiForums Tanzania Sijaona Mtanzania mwenye akili kama Lissu jamaa yupo nondo sana

    Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani . MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana . Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
  15. Now and then

    JamiiForums Tanzania Hivi haiwezekani huyu jamaa Sura ya kizee mwili wa kijana akawa amelazimishwa kutem tonge kama super black.

    Wakuu msikimbilie kupongeza kila kitu. Yawezekana Sura ya mzee mwili wa Kijana akawa amelazimishwa kutema tonge. Tujipe muda wakuu.
  16. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Mnaoomba Mungu na anawasikiliza uwa mnatumia mbinu gani?

    Kuna watu awatumii nguvu wakitaka mambo yao yanawaendea tu. Ukiuliza wanasema ni kudra za mwenyezi Mungu kwa hiyo dawa ni kumuomba Mungu bila kuchoka. Niwapeni tu mkasa kuhusu maisha yangu. Mimi ni mtu ambaye nna uhakika nimekumbwa na mkosi au gundu. Nna miaka mingi sana najitafuta ili niweze...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nimeona hii picha nikakumbuka wale jamaa wa OYA

    Aisee kausha damu sio cha mtoto🤣🤣
  18. wizodg

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa waliendaga wapi

    Wakuu back then nakumbuka kuna kampuni inaitwa tttr autoupgrades nilikuwa nawafatilia instagram sasa leo naangalia kwenye ig maana ni mda sijawafatilia nakuta last post ni 2019.ni kwamba kampuni ilifungwa .ni nini kilihappen
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Eti jamaa anatabiriwa kuwa asilimia 44 ya maisha yake ataishi "nchi za america". Tazama video

    Mi naona haina haja ya kulaumu wanabii uchwara maana wanatumia fursa ya waliokubali ujinga kama huu uwatawale
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa huenda ana umri mkubwa kuliko mzee Majaliwa

    Kwa muonekano wake tu huyu jamaa umri wake umeenda namba. Huenda ana umri mkubwa kuliko Majaliwa na Mpango. Jinonee wewe utoe tathimini yako.
Back
Top Bottom