jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka mingi watu wengi tulidhani Mikka Mwamba ni jamaa fulani jeusi la Kigoma kumbe jamaa ni chapa ya Trump kabisa

    Wakongwe tulimjua tangu awali ila hadi sasa watu wengi ukiwaambia kwamba mwamba ni mzungu wana bisha kabisa
  2. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Mke wa jamaa angu na kijeba kingine wanatoka guest.

    Nipo hapa nje ya guest nimesimama kwakujifucha, mke wa jamaa angu aliingia ndani humu mda mrefu Sana . Saiv ndo anatoka Ila sijui nifanyaje. Ipo hivi ... Toka zamani Sana Me nilikua nimesha amua kuokoka, Yan in short niliamua kua sintokua mtu wa toto's siku zote tukiwa tunakua... Ila jamaa...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wale jamaa wa "Tafuta hela wewe, V8 sio gari ya Serikali"

    Ndugu wa damu tunaofanania katika tabu na u-VETA, ila tukiingia jf ghafla tunageuka kuwa mabosi 🤣 Anyway, Maisha yaendelee.
  4. Ileje

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alikuwa anamtisha nani hapa?

    No Reforms No Election [emoji91] Hii ni nchi yetu sote tusitishane!
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi hiki cha Pasaka jamaa mmoja ameenda na kondoo Hekaluni huko Israel

    Katika kipindi hiki cha Pasaka huko Jerusalem Israel jamaa mmoja jana alienda Hekaluni akiwa na kondoo kwa nia ya kwenda kutoa sadaka ya kuteketezwa baadaye Alikamatwa na polisi walieko kwenye eneo hilo ambalo ni Takatifu kwa Wayahudi, Wakristo na waislamu. Eneo hilo lilikabidhiwa waislam...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini jamaa wa aina hii kwenye picha huwa ni waluga luga sana mtaani🤣

    Utakasikia: "Masela nina koneksheni ya vidio ikionesha mababu wa Simba wakiwa na mbuzi ndani ya basi sema niliifuta bahati mbaya" "Dah mechi ya Arsenal juzi imenikosesha mkeka wa milioni 20" "Niliwahi kuishi Dodoma, nilikuwga nawaitishia wabunge wale watoto wazuri wa udom" 😁
  7. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    Wakuu hapa mtaani Kuna jamaa tunashindwa kumuelewa aisee kiufupi kama mnavyojua Ili mtu uishi vizuri ni lazima ufanye kazi Sasa huyu mshikaji yeye anashinda ndani asubuhi mpaka usiku akitoka kutembea siku Moja Moja na hapo ni misele tu kijiweni sio kwamba labda anaingia kazini ila anakula...
  8. ankol

    JamiiForums Tanzania Unafikiri nini sababu inayomfanya huyu manzi asiachane na huyu jamaa?

    Pamoja na kipigo chote anachokipata, unadhani sababu gani inayomfanya huyu manzi amnganganie mwamba?
  9. blogger

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa yuko Wapi!? Sasa hivi angepiga hela

    Na huenda angefanikiwa. 😂😂😂✍️✍️✍️
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wahadimu jamaa wenye Zanzibar yao kama ilivyokuwa Dar kwa Wazaramo

    Wenyeji wa Zanzibar ni hasa watu wa kabila la Wazanzibari, lakini hili si kabila kwa maana ya kijadi kama ilivyo kwa Wachaga au Wanyakyusa, bali ni utambulisho wa watu wa visiwa vya Zanzibar (Unguja na Pemba), ambao kwa kiasi kikubwa ni mchanganyiko wa makabila na tamaduni mbalimbali kutokana na...
  11. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa akisema kitu ni kweli au kinakuwa

    Kwa mfano akisema wewe ni demu...kweli wewe ni demu na kama ulikuwa man unageuka kuwa demu kabisa. Mtagombana naye utajikuta unaanza andika kama demu au unamtukana kama demu. Nimeona akiwasema watu wawili humu kuwa si mademu jamaa kadri wanavyojitetea kuwa wao si men ni mademu ndo...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na video ya huyu binti, imenikumbusha kuwa asilimia kubwa ya mabinti wa kileo hawako resistant na ushawishi wa jamaa mwenye pesa na jina

    Masikini unakuta hata bwana yake huko alikuwa ndio anajichanga aende kujitambulisha ghafla akaona hii clip😂 Ukiwa una pesa alafu ukikutana na demu mwenye bwana, ukimuulizia kuhusu bwana yake ataakuambia "aah yule tunasumbuana"
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tazama Video hii, nini maoni yako kuhusu tukio hili la dereva wa Rolls-Royce na Trafiki

    Nimekutana na Video hii iki-trenda Nini maoni yako kuhusu tukio hili la dereva wa Rolls-Royce na Trafiki
  14. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo sifa za jamaa zangu fulani waitwao mamodinyo

    Jamaa zangu fulani wanaojiita mamodinyo (modinyo akiwa mmoja) Wana sifa za kipuuzi kweli kweli, zifuatazo ni sifa zao chache:- 1.Wanaweza kukuhukumu kutokana na maneno au malalamiko ya watu hata kama hayana mashiko. 2. Hawataki uzungumzie siasa zinazoikashifu chamantawala. 3. Wanijiona Sana...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa ungewaambia hapa kwamba siku moja watahimizwa kwenda VETA wasingekuelewa unamaanisha nini

    😂😂
  16. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Kutana na jamaa mmoja aliyetembea kilomita 7,000 ili kukubaliwa kimapenzi

    Kuna jamaa mmoja anaitwa Yahushi Takahashi Aliweza kutumia zaidi ya Miezi Sita kuizunguka Japan akisafiri umbali wa kilomita 7,163.7 kwa mguu, kwa gari, kwa kutumia boat, treni na na baiskeli yote hayo ili kuweza kukubaliwa pendekezo lake la ndoa. Alikua anatumia kifaa cha GPS kuweza...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu jamaa anaedai kuibiwa vitu na hela milioni tano na alie kuwa mke wake wa ndoa.

    Huenda jamaa kamuua mke wake. Na hii story ametengeneza kama Alibi. Ushauri: Ahojiwe vizuri, anaweza akawa anajua mke wake yupo wapi. Thank me later 🙏🙏🙏🙏
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama nitamsamehe huyu jamaa

    Kama wewe ni mpenzi wa filamu mkongwe ebu weka neno kwa huyu mwamba hapa! Binafsi ni mhusika wangu namba moja kwa kumchukia.
  19. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Miaka ijayo mtu akamuozesha mke wake mwenyewe kwa jamaa mwengine

    Naona zipo dalili kwa wanaume kukosa misimamo katika ndoa zao,jambo ambalo linenifanya nifikirie mbali zaidi kwa kuona Tunaweza kuingia katika utamaduni mpya wa ndoa. Wengi wataozesha wake zao kwa sababu za kifedha au kuendeshwa na wake zao ama wazazi. #UziTayari
  20. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuwa ananiazima gari! Nakua namtoa kishikaji

    Nina plan ya kununua gari lakini naona safari kama ndefu sana. Kwaiyo nilitaka nianze kupata uzoefu na magari kwanza. Nataka mshikaji ambae anaweza kua ananiachia gari kwa bei ndogo isiwe kam bei za kukodi kwa ajili ya kugain experience. Niko mwanza.
Back
Top Bottom