Huyu jamaa unahisi yupo sahihi kuhama Dini?

Huyu jamaa unahisi yupo sahihi kuhama Dini?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,197
Reaction score
14,902
Screenshot_20250505-151824.jpg


Itakuaje kama na upande anaohamia ukawa haukemei.

Unahisi yupo sahihi?
 
kujifurahisha tu kwenye mitandao, kuhama dini haijawahi kuwa rahisi kihivyo
 
Unahama ukristo kwenda uislam ni sawa na kuhama nuruni kwenda gizani bora angebaki vuguvugu tu
 
Na sio anatoka gizani anaenda mwangani?

Soma alichoandika

RC ndiyo dhehebu lililobaki la wasema kweli.


Umeona wapi waislamu wanasema kweli ?

Muislamu akiulizwa Tu hualali WA kitimoto ndani ya quran mtabishana mpaka Kesho?😸😸😸
Sasa dhehebu lenyewe liwe la uongo halafu watu wake wawe wakweli
Yawezekanaje?
 
Awahi siti aje tushirikiane nae kuomba toba na baraka mbele ya mifuko miwili ya cement iliyochanganywa na kokoto
downloadfile.png
 
Back
Top Bottom