jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa apewe maua Yake

    Sikiliza jamaa alivyokataa mbususu😂😂
  2. JamiiForums Tanzania Inasemekana wafunga rasta wanatumia sana bangi lakini haiwapi shida, ni kwa sababu gani?

    Hawa watu (rasta men) wanavuta sana bangi lakini bado wanabaki kuwa watu wa Amani na Utulivu sana katika Jamii. Hivi kuna nini mpaka haiwasumbui kichwa kama ilivyo kwa watu wengine?
  3. JamiiForums Tanzania Hii vita ni kali kuliko ya jamaa zetu tunaowafahamu!

    Kwa wafuatiliaji wa mitandao hasa kule X na habari za Palestine na Israel, binafsi nasoma kidogo kwa wabongo alafu naenda kwa walio karibu na eneo husika. Ni hivi; kuna jamaa naona ni Mmarekani anaitwa Jackson Hinkle huyu jamaa anashabikia sana habari za mauaji yanayofanywa na IDF na kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka yule jamaa

    Kuna mchizi flani alikuwepo humu JF mwaka juzi(2021) alikuwa ananifurahisha sana aisee. Kwa siku alikuwa anaweza kuanzisha thread hata tano, alaf zote za zinachekesha. Sasa kuna siku moja bhana asubuhi alileta thread akasema yeye na mke wake wanataka kuachana kwa sababu mke wake anamlazimisha...
  5. JamiiForums Tanzania Pakistan: Wapiga risasi watu wakiabudu ndani ya msikiti

    Hawa kuja kuwaelewa itachukua muda sana, sijui shida huwa nini haswa, mauaji na vita vita. ==== LAHORE, Pakistan (AP) — A pair of gunmen walked into a mosque in Eastern Pakistan on Wednesday and opened fire at the worshippers, killing a member of an outlawed anti-India militant group and...
  6. JamiiForums Tanzania Starlink internet sasa yaingia Zambia, Wazambia sasa kupata internet ya kasi isiyo na kikomo

    Kampuni ya kusambaza mtandao ya Starlink ya Elon Musk imepewa kibali cha kutoa huduma nchini Zambia. Kwa sasa wazambia wataanza kupata internet ya kasi zaidi kutoka Starlink. Kumbuka Starlink inakupa internet ya 1 Terabyte kwa chini ya shilingi laki 1 kwa mwezi kwa kazi kubwa na ukimaliza hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Je, huyu ndiye mwamba wa Afrika kwa sasa?

    Katika siku za hivi karibuni, nime kuwa niki kutana na Picha za huyu mwamba. 👉 akiwa ana Pigana na wanyama was ardhini au hata majini. Jamaa ana pigana kwa Uwezo mkubwa. wanao mjua watu ambie je ni mtu wa wapi??? 👉Ona mfano wa mapigano yake🤔🤒 Kwa Sasa Africa, tuna kila sababu ya kujivunia...
  8. JamiiForums Tanzania Yuko wapi yule jamaa anaepeleka mashtaka fifa ?

    Yule jamaa baada ya kichapo cha kimwiko mwiko kumnasia nyuma mbele mwiko sijaona akiandika barua mashatka kuhusu upangaji matokeo?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kilichompaisha jamaa ni kelele nyingi na kuminya vyombo vya habari tu la sivyo hamna kitu alichofanya

    Aliyepita alisaidiwa na kelele nyingi kila anapoenda anawapiga fix wananchi kwa mbwembwe nyingi wakabaki wanamuomba yeye tu. Si unajua wananchi wanavyopenda kuongopewa mbaya zaidi ukienda na strategy ya kutumbua tena hadharani hivyo wananchi wanapenda ili tu kumkomoa mwingine afanane nao kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Madereva wa Mighty Logistic wanaobeba makaa ya mawe watakwisha kwa uzembe

    Kona ya kwa Mwanaharusi huyu ni watatu kalala hapo kwa kipindi cha miezi mitatu
  11. JamiiForums Tanzania Leo nilipokuwa namsikiliza Mdude imenijia kwenye akili, huyu jamaa kuna analolitafuta na naamini atalipata

    Muda mwingine huwa najiuliza huyu Mdude anapata wapi kiburi cha kuitukana serikali tena hadharani? Hivi kweli mtu hawezi kuwa mwanaharakati bila kutukana viongozi wa serikali, kuna ulazima gani kwa mwanaharakati kutumia matusi na kuhatarisha usalama wa taifa? Anasema ataitisha maandmano kama...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

    Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku...
  13. JamiiForums Tanzania Kama jibu lake ni ndiyo, swali lako litakuwa lipi?

    4
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya 'Go bet' ni matapeli sana kuweni makini

    Kuna kampuni moja inatumia jina la go bet, Hawa jamaa ni matapeli Sana, wanatumia namba ya kampuni iliyokuwa inatumia na betpawa pamoja na namba ya malipo, namba ya kampuni ni 122122 malipo ni 60124815, ukiweka pesa umeliwa hakuna huduma wanazotoa namba ya simu 0677040553 hawapokei simu na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA RIP Kijana Mpambanaji Oscar Mtweve. Poleni Wanafamilia na Ndugu jamaa wote wa JF

    Nimepokea kwa masikitiko Makubwa sana taarifa za Kifo cha Huyu Rafiki yangu na mwana JF mwenzetu. Dunia tunapitia ama kweli😭😭😭
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimuendekeza atakupanda kichwani. Mke wa jamaa yangu kafuga msitu hataki kunyoa, eti hadi apewe laki akanyolewe kwa Wahindi

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Leo rafiki yangu wa tangu tukiwa watoto alinipigia simu kwamba anataka tuangalie mpira pamoja na ana jambo ambalo anataka nimshauri, hivyo basi nitafute sehemu nzuri tulivu ili tuwe tunaangalia mpira na kuongea. Basi nikamwelekeza sehemu jirani na...
  17. JamiiForums Tanzania Nilivyofyeka shamba la nyanya ekari moja la jamaa aliyekuwa akinichapia mpenzi wangu

    Miaka kadhaa nyuma nikiwa mkoani iringa kuna mwamba mmoja alikuwa akinichapia shemeji yenu. Jamaa hakuwa na shughuli nyingine zaidi ya kilimo, Alilima nyanya na pilipili hoho, mwaka huo 2019 tenga la nyanya kwa DSM lolifika 90,000. Jamaa nyanya ilimpa jeuri, nilijiridhisha bila shaka kuwa...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia muondoe ofisini haraka huyu jamaa wa EWURA

    Leo naandika kwa hasira. Hivi kweli kama Taifa tunachezea ishu nyeti ya uagizaji wa petrol? Mtu na Mme wake, wanatufikisha kwenye gharama za kijinga kabisa leo hii..! Taarifa hii hapa chini kwa uchache:- Mume wa spika wa Bunge, ndiye Mkurugenzi wa EWURA, mamlaka ya usimamizi wa Nishati...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa angekuwa Mbongo angefaa kuwa kabila gani?

  20. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wagner akutana na viongozi wa Afrika mbele ya Putin, jamaa ameshindikana

    Licha ya huyu jamaa kufanya uasi na kusababisha maafa na pia kusababisha Putin aikimbie ikulu na kujificha, ambapo baadaye Putin alijitokeza na kuongea kwa hasira sana kumhusu huyu jamaa, na Urusi kutangaza imemfukuza hadi uhamishoni Belarus, jamaa amethibitisha ni mfupa uliomshinda fisi Putin...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…