Kwanza kabisa niipongeze Kampuni ya ITV kama channel pendwa. Niwashirikishe changamoto inayoikabili ITV.
Kipindi cha taarifa ya habari ni kipindi muhimu sana kwanza inatazamwa na karibu wananchi wote wa Tanzania na Afrika Mashariki lakini baadhi ya watangazaji hawaitendei haki kipindi hiki...