itakuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TODAYS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RAILA: Jumatatu Ndiyo Itakuwa Mama wa Maandamano, Gachagua Kasema Ndiyo Mwisho wa RAILA

    Nadhani jirani zetu hawa wana jambo lao ambalo inaonekana ni tofauti na siasa. Nilisema kama ni siasa basi wafungue server ila hawataki na hiki wanachotambiana kina nwisho mbaya. DP Rigathi anasema ‘Jumatatu itakuwa siku ya mwisho’ kwa Odinga kufanya maonyesho nchini Kenya, anasema haitakuwa...
  2. Area 56

    JamiiForums Tanzania Mada gani itakuwa inazungumzwa hapa?

    Mimi nawaza watakuwa wanajadili kuwa, ule umeme uliozingua jana angekuwepo jiwe kuna watu wangeliwa kichwa. Karibu utiririke na wewe
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa vichwa vilivyopo Wizara ya Fedha sasa, Tanzania itakuwa mbali sana kiuchumi kufikia 2030

    Nimefanya utafiti kidogo juu ya habari mbalimbali zinazoandikwa juu ya Tanzania kiuchumi kwa kipindi cha miezi 3 sasa. Kusema kweli hakuna habari mbaya utakayoikuta juu ya Tanzania kiuchumi. Wachambuzi wote wa nje na ndani ya Afrika wanaisema vizuri sana Tanzania. Sio kwenye uwekezaji sio kwenye...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jumatatu Machi 20, 2023 itakuwa siku ngumu kwa Serikali za Kenya, Tunisia, Nigeria na Afrika Kusini

    Jumatatu ya Machi 20, 2023, Itakuwa siku ya kihistoria na ngumu kwa Serikali za Mataifa 4 ya Afrika, kutokana na kuitishwa kwa Maandamano na Migomo ya Utii dhidi ya Serikali na Mashinikizo kwa Marais wa Nchi hizo. Maandamano hayo yameitishwa na makundi mbalimbali ikiwemo Vyama vya Upinzani...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Itakuwa ni uwendawazimu na ukichaa kwa wana Mbeya kumtoa Dkt. Tulia jimbo la Mbeya Mjini

    Ndugu zangu watanzania, Naifahamu Mbeya ,Nawafahamu Wana Mbeya ,Nimekaa na kuishi Mbeya,Nimesoma Mbeya,Naendelea kwenda Mara kwa Mara Mbeya,Nazifahamu siasa za Wana Mbeya,Nafahamu Fikira za wanambeya,Nafahamu misimamo ya wanambeya,Nafahamu Tabia za wanambeya,Nazifahamu kero za Wana...
  6. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana

    Hello! Naona Lema ameanza kwa gia ya matusi kwa wanaojiita bodaboda. Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana. Hivi hizi si ni dharau kwa vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia kwa kazi hiyo halafu anakuja mtu anawadharau na kutukana eti wamelaaniwa? Nyie wafuasi wa CHADEMA...
  7. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa NATO: Kuacha Urusi ishinde Ukraine itakuwa hatari kwa dunia nzima, nchi za magharibi hawatakubali kitokee

    Katibu mkuu wa NATO amesema kuicha Urusi iishinde Ukraine ni hatari si kwa Ukraine tu bali kwa dunia nzima kitu ambacho NATO/magharibi haitakubali hilo litokee kamwe. ================== A Russian win in Ukraine would be 'dangerous for the whole world', says NATO chief as he accuses Putin of an...
  8. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Mayele akiacha uchoyo wa pasi Yanga itakuwa inafunga magoli mengi kimataifa

    Kwanza niwapongeze wamanchi wenzangu kwa ushindi huu, Pili kwa vibunda tulivyoahidiwa kwa kila idadi ya goli 5M. Pili mayele ametufelisha sana leo, anachelewesha mipira, anataka kufunga magoli yeye kama yeye hata kama kuna nafasi ya kutoa pasi. Vionfozi wangu wa Yanga naamini mtamuelekeza...
  9. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania Hali ya maisha ya Mtanzania ni ngumu sana. Rais asipochukua hatua sasa hali itaendelea kuwa mbaya zaidi

    Ee Mungu nipe hekima yako niweze kuandika kitu kitakacho weza kuwapa uwelewa viongozi wenu juu ya hali ilivyo mbaya kwa wananchi wake 🙏🙏🙏🙏. Awali ya yote Samia mama naomba elewa hali za Watanzania ni mbaya sana na inatisha kweli kweli 😭😭😭. Tujiulize sisi kama taifa tumemkosea wapi Mungu na je...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kwenye mahojiano yake Lissu hajaonesha ni kivipi CHADEMA itakuwa mbadala wa CCM

    Nimeisikiliza kwa makini ile interview ya Tundu Lissu na ITV jana jumatatu saa tatu jioni. Tundu Lissu naona kama amekuwa confused. Namwonea huruma kwa jaribio la maisha yake, si hali nzuri binadamu kuipitia kamwe. Lakini yote bin yote, Lissu hajonyesha ni kwa vipi CHADEMA inaweza kufanya...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Balance ya maendeleo ikikosekana Dar itakuwa kimbilio la kila mtu mpaka wasio na ajira

    Kama umebahatika kuingia mikoani na vitongoji ndani ndani unaona kabisa watu wanaishi tu basi ila tu sababu wapo kutafuta mkate na ukiangalia kila familia iliyopo mkoani kazi ya ndugu 1-9 wote wapo Dar. Sababu zinazopelekea Dar kila mtu kuwepo ni kutobalance huduma na maendeleo vyuo vizuri vipo...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Siasa za majukwaa awamu hii ya Rais Hassan itakuwa ni vioja

    "Political manipulation with protection and defence" Chadema iliyolamba asali, ACT iliyolamba asali, NCCR na CUF za Msajili, na vyama vingine mdebwedo, jiandaeni kwa vichekesho. Mimi sio mtabiri ila hali ndio itakuwa hivyo, hii inaitwa awamu mpito na awamu mseto. Tanganyika haina furaha na...
  13. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Hiyo mikutano itakuwa imepoa bila Dk. Slaa

    Upinzani yote siyo CHADEMA pekee, hamna mtu anayeweza kucheza na umma/ nyomi Kama Dk Wilbrod Slaa, siyo Mbowe, siyo Lissu wala Zitto. Kwa mara hii wanaingia ukumbini bila huyu gwiji orator ndg Slaa. Upinzani yote hamna mtu atakayeweza kuunganisha takwimu, uchambuzi pamoja na uchaguzi sahihi wa...
  14. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Majibu ya utafiti: Miaka 10 ijayo Tanzania itakuwa imesimama wapi?

    Rais Samia pamoja na marais waliomtangulia: Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete MIAKA 10 ijayo, hadi kufikia mwaka 2033, Tanzania itakuwepo. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hatakuwa madarakani, huku idadi ya watu ikikadiriwa kuwa zaidi ya milioni 75. Je, uchumi wake utaimarika na maisha ya watu...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inabidi tukubali tu kuwa huu mwaka ni wa Arsenal, akiukosa ubingwa itakuwa ni kituko!

    Arsenal inacheza vizuri sana mwaka huu, halafu ina hamasa kubwa. Inaongoza kwa pointi 43, Man city inafuatia kwa mbali kwa pointi 36. Imefungwa mara moja tu na kutoka sare mara moja! Klabu zingine zisubiri mwakani!!
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikakati hii ya kimafia ikifanyika Simba SC itakuwa Bingwa, wasiwasi wangu uko kwa Uongozi wenye kusalitiana

    Kikiundwa tu Kikosi Kazi cha Umafia (Michezo Michafu) ya Soka la Tanzania (Bongo) kisha Kikaaminiwa, kukawa na Usiri nina uhakika Simba SC ikizicheza Mechi Nne tu za Yanga SC ile ya Mtibwa Sugar FC, ya KMC FC, ya Namungo FC, ya Mbeya City na yetu ya Sisi na Wao huku Simba SC tukikubaliana...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Bila kuikataa na kuipinga hii CCM maisha ya Watanzania yatakuwa magumu na itakuwa ni janga kubwa

    Watanzania ni watu wa kujishughulisha. Wanapambana maana wanalima, wanafuga na kufanya ujasiriamali wa kila namna. Ila ukweli ni kuwa CCM haina sera na mipango madhubuti ya kiuchumi kuwanyanyua Watanzania. Ufisadi na ubadhirifu usiokemewa na kudhibitiwa huruudisha nyuma maendeleo ya...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, tuanzishe JF University (JFU)? Itakuwa the largest, the biggest & the richest reference library in Tanzania. Je, Max awe VC Wetu?

    Wanabodi, Leo tena nimepata fursa ya kushuka na kwa maslahi ya taifa, leo ni kuhusu kuifanya jf kuwa ni chuo kikuu yaani tuanzishe a JF University, tuuite JFU, Sikh hizi with cyber world, chuo kikuu sio lazima kiwe na eneo maalum, kuna vyuo vikuu ni virtual reality only! hakuna darasa...
  19. Its Pancho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuanzia mwakani Simba itakuwa haina tofauti na Ihefu

    Wandugu, Hii team kwa kweli inatia huruma sana. Kwa sasa sio Simba ile ya kushtua, Simba amekuwa MBUZI. Hata ushindi wenyewe wanapata kwa kuokoteza, team haina morali, pesa, udhamini mbovu, uchawi sasa wnatoboaje kwa mfano? Yule CEO ndiye chanzo cha yote haya lakini kaamua mwakani akimbie...
  20. Nsumba ntale tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Timu Morocco ndiyo itakuwa bigwa wa kombe la dunia 2022

    Kwa mara ya kwanza tangu kombe la dunia lianzishwe timu kutoka bara la afrika inaenda kutwaa kombe hilo, wengi hawaifikiri na bado hwaidhanii kuwa timu ya Morocco itaweza hata kuingia fainali lakini ni ukweli usiyo na shaka yoyote kuwa kombe hilo linaenda Afrika kwa mara ya kwanya. Subscribe uzi...
Back
Top Bottom