itakuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Itakuwa tukio la kukumbukwa pale ma-captain wa vivuko vya Kigongo Busisi watakapopanga foleni kuwaaga wananchi waliowahudumia kwa miaka zaidi ya 50

    Moja kati ya matukio muhimu ambalo nataraji litapewa nafasi, ni kwa hawa manahodha wa vivuko kuandaa kama ki-parade hivi, wakiwa na mavazi yao meupe, kofia zao, huku wakipunga bendera ya taifa kuashiria kwamba wamekamilisha kazi yao ya kishujaa kwa uaminifu na uzalendo mkubwa, na sasa wanawaaga...
  2. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Bitumen inayotengeneza lami itakuwa inazalishwa hapa Tanzania

    Hii itaendan na serikali kussuport ujenzi wa asphalt concrete mixing plants nyingi sana lengo Lami inayotengenezwa hapa Tanzania inakua na uzuri na ubora wa hali ya juu sana Gharama za kutengeneza km 1 ya lami inafika anagalau million 500
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Corolla 5A kushindwa kuwaka, nini itakuwa sababu?

    Habari zenu Wana ndugu, nilikuwa naomba ushauri juu ya gari langu aina ya Corolla E100 ambal limefungwa cylinder head siku chache zilizopita na baada ya hapo nikatembelea kwa siku tatu ya nne kuja kuliwasha likawaka ila kwa miss kubwa Sana nikavuta race halikuacha mpaka likazima na baada ya hapo...
  5. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huyu Benson Kigaila akikutana na Bensoni Kigaila wa leo aliyetangaza kujiondoa CHADEMA mbona itakuwa wewooo

    Nimekutana na clip ya Benson Kigaila wa enzi hizo akisema kuwa ikifika 2024 na 2025 hakuna Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi basi hakutakuwa na uchaguzi, halafu kuna huyu anayesema kuwa kutoshiriki uchaguzi ni kutaka CCM ipite bila kupingwa, wakikutana watazichapa sana. Hitimisho: Njaa...
  6. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Je, tutegemee kuona tukio gani kwenye mchezo wa JKT Tanzania vs Simba SC?

    Karibu Wadau Wa Soka uweke utabiri wako Wa tukio la kustaajabisha litakalokuacha mdogo wazi (kupigwa bumbuwazi) kwenye Mchezo Wa JKT Tanzania vs Simba SC kati ya haya yafuatayo. (1) Penati ya mchongo Baada ya mchezaji kujiangusha kwenye Penati box (2) Kadi nyekundu yenye utata na...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu ichukuliwe kwa uzito wake, akitiwa hatiani kwa makosa ya uhaini itakuwa mwisho wake kisiasa.

    Kesi ya Tundu Lissu inaweza kuwa ni mwisho wake kisiasa, kwanza kesi yenyewe inaweza kuendeshwa kwa muda mrefu sana akashindwa kabisa kushiriki siasa tena. Mwisho wa kesi anaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha jela au kunyongwa kisha akaachwa akae gerezani kwa miaka kadhaa na baadaye...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hayawi Hayawi Sasa Yamekuwa. Huko Aliko Mwamba Mbowe Anachekaaaa Sanaaa na kufyonya

    Ndugu zangu Watanzania, Niliwaambieni Sana ,niliwaeleza sana CHADEMA, niliwapa Elimu wana CHADEMA,niliwatahadhalisha wana CHADEMA kuwa kumchagua Lissu kuwa Mwenyekiti ilikuwa ni sawa na kujipiga kitanzi,ilikuwa ni kujitundika juu ya kamba na kuweka shingo ndani yake na kisha kutegua kiti chini...
  9. Faana

    JamiiForums Tanzania Video: Zipi zitakuwa faida na changamoto za chombo hiki kuingia nchini kwetu

  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Itakuwa haina maana unakaa miezi miwili hujapigwa Ban? Are you dead? Huo ni Uzwazwa

    JF raha yake ni mara umepigwa ban, mara umepiga mtu za chembe, mara amekushtaki mara unaitwa ujieleze, mara mtu kakushtaki unaingia unakuta umepigwa ban unacheka unasema hapa sawa. Ama sivyo moderators wanakuwa bored sana. Wanakuwa kama hawana kazi vile maana sasa watafanya nini? Hamna cha...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kama tumeshindwa mwendokasi, unadhani ni baada ya miaka mingapi Dar Es Salaam itakuwa na metro kama hii ya Tokyo?

    Kama tunashindwa mwendo kasi, je hapa tutafika kweli milele na milele amina? Tokyo Metro Hii iko chini ya ardhi.......
  12. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Wimbi la wanawake wanatumia vipodozi vikali nchini, hali itakuwa mbaya miaka mitano ijayo

    Limeibuka wimbi kubwa la wanawake wanatumia mikorogo mikali wakijidai ni vipodozi vya kisasa Yaani hao wauzaji wameiva kama mapapai.yaani wanawake sie Mungu akituweka miaka mitano tutajionea maajabu Wamuulize luiza mbutu na dotinata Ngoja nijipikie mafuta yangu ya nazi nipake usoni Na ya mkia...
  13. Stroke

    JamiiForums Tanzania Simba wasicheze mechi leo, kufanya hivyo itakuwa kubariki vitendo vya Yanga

    Yanga kuwazuia Simba kufanya mazoezi sio kitendo cha kimichezo kabisa. Simba wasiende uwanjani leo, wakifanya hivyo ni kubariki huo uovu. Yanga watarudia tena na tena. Simba wakubali adhabu yeyote itayotolewa na TFF na waende CAS kuipinga. Ila mechi ya leo wasicheze kabisa.
  14. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Leo ndio itakuwa mara yangu ya mwisho kupanda mwendokasi

    Nimekaa mda huu hapa mbezi stand...jua linachoma halafu tumepangwa kwenye foleni masaa mawili sasa hakuna dalili ya gari...nahisi kichwa kuuma unaweza kuzimia kabisa....hii foleni utafikiri ya kwa mzabuni,,kule jkt
  15. Right Marker

    JamiiForums Tanzania KARIAKOO DERBY: Jumamosi yako itakuwa mbaya kwasababu team yako itafungwa

    KARIAKOO DERBY Usilolijua ni kwamba, Jumamosi ya wiki hii ni lazima siku yako itakuwa mbaya (itaharibika) kwasababu Jumamosi ya terehe 08/03/2025 team yako pendwa itafungwa. Ili usiendelee kupata maumivu na kwa vile maisha ni matamu mno nakushauri baada ya Jumamosi; fanya uamuzi wa kuhama Team...
  16. Principle girl

    JamiiForums Tanzania Hii mimba itakuwa ya nani?

    Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa haelewi mimba ni ya nani kati ya vijana hao wawili aliofanya nao tendo. Kwa maelezo yake anadai...
  17. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania GSM akiacha kudhamini timu nyingine Yanga itakuwa timu hatari zaidi

    Imagine pesa zote anazopeleka kwenye timu nyingine zipelekwe Yanga, wakati huo huo upande wapili kanji bai hataki kutoa hela ya mfukoni, anaendesha timu kiujanja ujanja. TFF kubalini pendekezo la makolo haraka, wanahamu ya kupigwa 5+ mara kwa mara.
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Tangu aachie Komasava, msanii wenu kapotea kabisa. Ngoma zake 3 za mwisho zote zimebuma. Shida itakuwa nini?

    Wakuu, Hivi ndio kusema kwamba amezidiwa na mapenzi au ndo muziki unaanza kumtupa mkono? Simba aliachia Komasava Mei 2024 na tangu hapo hakuna project ya maana aliyoitoa. Ametoa ngoma 4 ambazo ni Raha, Holiday, Moyo na Nitafanyaje zote zimebuma. Huyu atakuwa na shida gani? Au ndo muziki...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ziara Ya Rais Samia Mkoani Tanga Itakuwa Ya Hisia Kali Sana na Nchi Itasimama. Kwa sababu ndio Mkoa aliotangazia Kifo cha Hayati Magufuli

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kufanya...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Africa Kusini wasipoitoa ANC madarakani mapema itakuwa kama Haiti siku moja

    Majambazi na wezi wanakwida watu, wanawapukutisha hadharani na kufanya mauaji kiholela sana kama vile hakuna kitu kinaitwa police au magereza.
Back
Top Bottom