Hamjambo!
Kete pekee ambayo imebaki kubadili upepo wa kile kinachoendelea ndani ya taifa hili ni kumtoa Tundu Lissu hasa nyakati hizi ambapo Kampeni za uchaguzi zitakuwa zimepamba moto..
Kumtoa Tundu Lisu Mahabusu kutaipa nguvu Serikali na kuondoa kelele zinazoendelea na matukio mapya...
Tuliwambia siku nyingi kuwa tabia ya CCM kutaka kuua upinzani ndiyo itakuwa chanzo cha kifo chake. Duniani mpaka mbinguni upinzani ni muhimu. Ndiyo maana hata Mungu alimuacha shetani aendelee kuwapo kama mpinzani wake. Kwa nguvu tunayoamini anayo Mungu alikuwa na uwezo wa kumaliza shetani...
Tuukubali ukweli kuwa nahodha ni mchanga sana. Sikiliza kutokuwepo coherence kwa hotuba zake. Angalia wasaidizi wake wa wakaribu angalia waandalizi wa kampeni.
Kimsingi tuna safari kubwa.
Tuiombee nchi yetu. Ni wazi hakuna maono ya kiuongozi tena. Ni vurugu tupu.
Nimeona kuwa Salum Mwalimu ndo atapeperusha bendera ya CHAUMMA kwenye nafasi ya Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama CHAUMMA itapata kura zaidi ya 10,000 nchi nzima mtakuja kuniambia. Safari hii CCM watazoa kura kwa asilimia 99.
Upinzani nchi hii bado sana.
Itakuwa ndoto sana mtu unawaza eti traore angekuwa mtanzania.
Mnahitaji miujiza km Gaddafi au traore wahenga wanasema nabii hakubaliki kwao wapo watu km traore tanzania ila tunawaona takataka wanatuchelewesha nchi ya ahadi.
Hili tukio lilitokea miaka ya nyuma nikiwa chalii mdg enzi za Msoga regime first term.
Jioni moja hivi nilitumwa mafuta ya taa dukani. Sasa katika kucheza na ile hela nikaiweka mdomoni huku na gari langu( nadhani nilikuwa naendesha tairi la baiskeli au mfuniko wa ndoo🤣).
Mara Kaab 🥶mate...
Ni mawazo tu, misiba itayotokea miaka kumi ijayo haitakuwa huzuni itakuwa ni furaha. Miaka hiyo ndio watakufa hawa walipo sasa ambao hawana jema la kufanya tuhuzunike sisi Gen Z. Ile kauli ya "kufa ndio usemwe vizuri haitakuwepo" Gen Z watafurahi wakisema "bora amekufa alifanya kibaya hiki na...
Kuna msemo unasema ukiona unapotea njia usiendelee mbele upotee zaidi , ama heri urudi nyuma ukaanze upya ama usimame ungojee huwenda utakutana na mtu akuelekeze njia sahihi.
Kilichotokea katika mchakato ule hesabu hazikupigwa vizuri na sasa wamefika njia panda ambapo haijulikani waende kushoto...
Wanakumbi.
Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu aliopewa bali kwa tuhuma zinazo wasilishwa na wapinzani , kisha humo humo analalamika maswala ya CCM...
Wakuu,
Msoga21march21@yahoo.com, kijiji hiki tunaweza kusema ndio kijiji maarufu nchini hakuna asiye kijua.
Kijiji hiki kimebeba tumaini kubwa sana kwa bi mkubwa, kila zito linalomtatiza lazima haraka sana akimbilie kijiji kile.
Ukileta dharau dhidi ya kijiji kile ni ngumu sana wewe kutoboa...
NIKIWA RAIS WA TANZANIA HADUMA YA MAJI ITAKUWA YA UHAKIKA
Hakutakuwa na mgao wa maji hili linawezekana mbona nchi nyingine wameweza hata sisi tunaweza
Wananchi wa mjini na vijijini hawatakuwa na haja ya kuweka akiba kama ilivyo nchi zilizoendelea
Maji ya bombani yatakuwa hayana haja ya...
Kamanda Silo lazima alipe fadhili kwa alioe .teua na hapo ndio pagumu kwa Zitto Kabwe.
Simuoni akitoboa Kigoma na itakuwa ndio mwisho kabisa wa siasa zake, atakuwa na optional moja tu, ya kuwa kama Mrema.
Hata wale wenzake wa ACT sioni Jimbo la wao kushinda labda kule Pemba.
NIKIWA RAIS WA TANZANIA Hii itakua ni lazima na sio hiari dhahabu itakayotoka nje ya Tanzania ni ile tu ambayo ni final product na sio ambayo bado haijashafishwa
Eti nchi kama uswiss ambayo haina hata mgodi mkoja wa dhahabu eti wana-reserve kubwa ya dhahabu hiki si kituko
Na lazima ifanyike...
Siku zote bunge likivunjwa taratibu za uchaguzi zinaanza. Toka January mabunge yote mawili yalitoa ratiba zao. Bunge la wawakilishi lilitangaza kuwa litavunjwa tarehe 23 June, uku Tanzania bara likivunjwa tarehe 27june ili kupisha uchaguzi.
Cha kushangaza na kisikitisha Bunge la wawakilishi...
Tupo Salama!
Wanasema ukipigana na adui mwenye nguvu usimshambulie kwa harakaharaka.
Usiende kwa Kasi Sana.
Kadiri unavyomshambulia kwa haraka adui mwenye nguvu kukuzidi ndivyo unavyojimaliza kwa upesi.
Adui mwenye nguvu hupigwa na kuangushwa polepole! Polepole kwa uhakika.
Polepole ni...
Nikiwa Rais wa Tanzania ntaanzisha jurassic Park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia na inatakiwa iwe kisiwa cha mafia ili turbosaurus, t-rex na wengineo wasidhuru watu
Jambo la kufahamu jurassic Park ilikuwepo Tanzania ndo maana kuligundulika mabaki ya mifupa ya dinasours kipindi cha ukoloni wa...
Watu wengi wanajiuliza sana juu ya hili agizo kuwa Magwajima wasipktishwe kugombea ubunge na udiwani.
Swali la msingi , Magwajima wasipokuwepo CCM ndio itawafaa watanzania?
Magwajima ndio walipaswa kupitishwa ili kuisimamia na kuhoji masuala ya msingi kwa manufaa ya nchi yetu.
Chama...
1.Bodi ya Ligi ni mkosa namba moja kwa kuacha kukemea maovu dhidi ya timu.
2.Namba 2 watakuwa ni viongozi(hususani wasemaji) itajihirisha vita ya Mashabiki na ndipo hapa serikali isipoingilia kati Mkunyugano utahamia kwenye Siasa.
Mark my word.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.