israel

  1. JamiiForums Tanzania Syria imeanza hatua za mwanzo kujiunga katika vita kuipiga Israel

    Miongoni mwa mataifa muhimu katika ushirika wa kuiadhibu Israel ni Syria ambayo tangu vita vianze hapo Oktoba 7 walikuwa wako kimya. Kwa mara ya mwanzo leo wanamgambo walioko mashariki ya Israel na nyuma ya Jordan walirusha makombora machache kuelekea ndani ya Israel. Hakuna madhara...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani yapata kipigo chake cha mwanzo Red Sea. Yakiri meli yake kupigwa makombora ikihusiswa na vita vya Israel

    Pentagon imekiri meli yake ya kivita iitwayo USS Carney imepigwa kwa makombora kwenye bahari nyekundu.Vipigo hivyo vimehusishwa na vita vya Israel huko Gaza na kwamba meli nyengine za kibiashara zinazohusishwa na Israel nazo pia zimeshambuliwa. Bado haijawekwa wazi kiwango cha hasara na nani...
  3. JamiiForums Tanzania Mashambulizi holela ya Israel. Gaza yafanya Wapalestina wengi kuwaunga mkono Hamas

    Wanaukumbi. 🚨 Kura ya Kura ya Kushtua: 75% ya Wapalestina Wanaunga mkono Shambulio la Oktoba 7 dhidi ya Israeli Ni asilimia 13 pekee ya Wapalestina wanaopinga mgomo wa Oktoba 7 dhidi ya Israel, ambao ulisababisha vifo vya watu 1,400. Kura ya maoni ya Ulimwengu wa Kiarabu kwa Utafiti na...
  4. JamiiForums Tanzania Israel yakiri Iron Dome zimeshindwa kuzuia maroketi kutoka Gaza kutua Tel Aviv. Hii ni baada ya ukimya wa siku 7 kubadilishana mateka

    Tangu vita vianze upya baada ya ukimya wa siku 7 wakati wa kubadilishana mateka Hamas imeendelea kurusha maroketi ya masafa marefu kutokea ndani ya Gaza ambayo yanaufikia mji mkuu wa Israel wa Tel Aviv. Kwa mujibu wa Allan Fisher ,mpashaji habari wa aljazeera makombora kadhaa yaliyorushwa hapo...
  5. JamiiForums Tanzania Hamas inasema hakuna mazungumzo zaidi hadi Israel isitishe mashambulizi yake dhidi ya Gaza

    Wanaukumbi. Afisa wa Hamas aambia Al Jazeera mazungumzo juu ya kubadilishana wafungwa sasa yamekwisha na hayatarejelea hadi Israel itakaposimamisha mashambulizi na kuwakabidhi wafungwa wote wa Kipalestina. Israel iliamuru timu yake ya mazungumzo ya Mossad huko Doha kurejea Israel kwa sababu ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwandamanaji ajichoma moto nje ya ubalozi wa Israel nchini Marekani

    Mwandamanaji mmoja yuko katika hali mbaya baada ya kujichoma moto nje ya ubalozi mdogo wa Israel katika jimbo la Georgia nchini Marekani. Polisi walisema mwandamanaji huyo alitumia petroli, na bendera ya Palestina ilipatikana katika eneo la tukio, nje ya ubalozi mdogo wa Israel mjini Atlanta...
  7. JamiiForums Tanzania Tufani la Alaqsa kuziangusha Marekani na Israel na kuzipindua nchi zote za kiarabu. Palestina kuwa taifa kubwa mbele ya Urusi na China

    Mipango ya mezani ya Israel wanayoiita baada ya vita inawafurahisha mno wafuasi wa Israel na mayahudi kote duniani.Mipango hiyo kwa upande wa pili kama inawatia huzuni wapenda haki kote duniani. Israel ikiendelea na mashauriano na mwenzake,Marekani wameweka mezani mikakati kadhaa ambayo...
  8. JamiiForums Tanzania Vita ya Israel Vs Palestina Imeifunika kabisa Russia Vs Ukraine

    Vita ya Russia na Ukraine bado inaendelea au wameamua kupumzika ili kufutilia vita ya Israel na Palestina? Hata vyombo vya habari vime-base zaidi kureport matukio ya Israel na Palestina utadhani vita ya Russia na Ukraine imeisha. Au wanaviziana? Mungu wa rehema awasaidie kurejesha amani kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Dora Block: Mateka wa Israel Aliyesahaulika Entebbe

    Jina ni Dora Bloch na siyo Dora Block kama ilivyoandikwa katika kichwa cha habari hapo juu. Na: Mwalimu Makoba Mapema tarehe 28 mwezi Juni mwaka 1976, ndege ya Air France ilitekwa na kikundi cha Popular Front for the Liberation of Palestine na kuilazimisha ndege hiyo itue katika uwanja wa...
  10. JamiiForums Tanzania Vikosi vya Israel vyavamia Jenin katika Ukingo wa Magharibi huku juhudi za kusitisha mapigano zikiendelea

    Wenzetu kwenye BBC Radio 4 wamekuwa wakizungumza na Mustafa Barghouti, mwanasiasa wa Palestina na kiongozi wa Mpango wa Kitaifa wa Palestina, ambaye amekuwa akizungumzia hali ya Jenin. Anasema kuna "uvamizi mkubwa wa Israel" katika Jiji la Jenin na kambi ya wakimbizi ya Jenin, katika Ukingo wa...
  11. JamiiForums Tanzania US, Israel na wimbo wao kuifuta Hamas ni kujidanganya

    Wanaukumbi. Ikiwa wewe ni mpya kwa upinzani wa Palestina, labda tayari unajua kuhusu Hamas, lakini jiulize PIJ ni nani. PIJ (Palestinian Islamic Jihad) na Hamas zote ni vikundi viwili vikubwa vya Upinzani nchini Palestina. Wana malengo sawa katika kuikomboa Palestina, lakini wanatofautiana...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Israel kachanganyikiwa asema watu wote wanaounga mkono Hamas wafe wote

    Wanaukumbi. WAZIRI WA ULINZI WA ISRAELI ANASEMA WATU WOTE WANAOUNGA MKONO HAMAS LAZIM WAFE WOTE. Alisema wafuasi wote wa Hamas wa Palestina duniani "wanapaswa kufa" hata wale wasio na silaha "waliovaa suti" Baada ya kipigo huko Gaza kila kiongozi wa Israel anasema lake kila mmoja...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Iran yazionya Marekani na Israel juu ya 'matokeo hasi makali' endapo jinai za kivita zitaendelea Gaza

    Iran yazionya Marekani na Israel juu ya 'matokeo hasi makali' endapo jinai za kivita zitaendelea Gaza Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amezionya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba zitakabiliwa na "matokeo hasi makali" iwapo zitashindwa kukomesha kikamilifu...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya siku 37 mtoto amepatikana chini ya majumba yaliyoripuliwa na wa Israel, Ni Miujiza na dalili Palestine inalindwa kiroho !!

    Ukisikia kitukuu cha mtume ndo ichoo..
  15. JamiiForums Tanzania Israel yaanza kutembeza kichapo Lebanon

    Kupumzika ni binguni ila kwa sasa ni mwendo wa kichapo, pia HAMAS waharakishe wanachokifanya, warejeshe maeka fasta ili turudi uwanjani. Israeli forces are shelling targets in southern Lebanon, the Reuters news agency reports, citing state media. There is no immediate comment from the Israel...
  16. JamiiForums Tanzania Israel imebomoa majumba na kuua Gaza; Hamas imeporomosha uchumi wa Israel. Kumbe vikundi vinavyokwenda Israel ni vya watumwa

    Kwa kiwango kikubwa Israel yote inalishwa na shughuli za kilimo na ufugaji zinazofanyika kusini ya nchi hiyo na mpakani na Gaza ambazo asili ya ardhi hizo zenye rutuba zilitwaliwa na wayahudi waliovamia mpaka kufikia 1948. Na hata mashamba ya mitende ya kaskazini ya Israel yapo kwenye maeneo ya...
  17. JamiiForums Tanzania John Bolton, mgomvi wa Trump na mshauri wa masuala ya ulinzi asema Israel imeshindwa vita

    Mmoja ya wanasiasa machachari wa Marekani na aliyekuwa mshauri wa mambo ya ulinzi wa raisi Donald Trump, John Bolton amesema katika vita vinavyoendelea Israel imeshindwa na Hamas. Katika makala yake iliyochapishwa juzi kwenye gazeti la Telegraph, Bolton amesema usitishwaji wa vita wa siku nne...
  18. JamiiForums Tanzania Israel ina nini tusichokuwa nacho hata watuzidi katika kilimo?

    Angalia! ~ Nchi yetu ni kubwa mara kadhaa kuizidi. Tanzania ina kilomita za mraba 945,087 wakati Israel ina kilomita za mraba 22,145 tu. ~ Sehemu kubwa ya ardhi ya nchi yetu inafaa kwa kilimo wakati kwa Israeli, nusu ya ardhi ni jangwa. Ni asilimia ishirini tu ya ardhi yote ya Israel ndiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Meli ya 3 ya Israel yatiwa nguvuni Yemen

    Huu ni mwaka wa wanamgambo wa Houth kupata ngawira kutokana na vita vinavyoendelea huko Gaza. Muda mfupi ulopita meli nyengine yenye mafungamano na Israel imetekwa kwenye bahari ya Aden Meli hiyo ya inayoitwa central Park inamilikiwa na kampuni ya ZODIAC MARITIME ambayo ni mali ya tajiri wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Israel haiwekewi vikwazo kama Urusi?

    Kwanini nchi ya Israel na viongozi wake hawawekewi vikwazo kama ambavyo Russia amekewa kwa sababu ya Ukraine?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…