Habari jf ,
Vyanzo mbalimbali vinaonesha Biblia ilianza kuandikwa mwaka wa 1513 Kabla ya kristo na ilikamilishwa baada ya zaidi ya miaka 1,600, katika mwaka wa 98 wakati wa kristo.
Vitabu vingi vinaelezea habari za uwepo wa Israel na mpaka Ramani ikiwekwa.
Kwa haya mazingira Unawezaje kusema...
Mzuka wanajamvi.
Niko serious najiamini na sitanii. Nayasema haya nikiwa timamu kabisa.
Nimelia sana baada ya kuona video ya Joshua akiuwawa kikatili na Wapalestina.
Nimepata ujasiri wa kipekee na nimeshaanza kufuatilia process za kuingia Israel.
Nitajiunga na IDF nakuomba niwekwe mstari wa...
Papa Francis alitoa tamko hilo leo kwenye misa na kusema Israel imetumia mbinu za kigaidi kushambulia kanisa hilo la madhehebu ya kikatoliki
Dada mmoja anyeitwa Nahida Khalil na mwanawe Samar walikuwa wameingia kanisani humo kufanya ibada kabla kushambuliwa na kuuawa.
Kiongozi huyo akaendelea...
Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
Shirika la habari la Reuters limegundua kuwa wanamgambo wa Hamas wameweza kuigeuza mitaa ya Gaza iliyobomolewa kuwa ni mtego na tando la kuwaua askari wa Israel.
Idadi ya askari wa IDF waliothibitishwa na Israel yenyewe kufa katika vita hivi tayari imeshakuwa ni mara mbili zaidi ya vile...
Na hiki nimekisema mara nyingi, mataifa makubwa makubwa huko ngazi za juu zimeshikiliwa na Wayahudi, sasa unakuta mtu anayeshindia ubwabwa pale Buza anakuambia dini imesema Wayahudi watamalizwa wote hivyo amekaa anasubiri kiama cha kuwamaliza Wayahudi, anasahau kila anachokitumia kimetokana na...
Mwanadamu hajawahi taka kutumia akili ndiyo maana ya matatizo yanayoikumba Dunia .
Vita Kati ya Israel na hamas (Palestina) ni Moja wapo ya matatizo ya kutotaka kutumia akili.nitatoa sababu za kwa nini akili inatakiwa itumike kumaliza vita hii.
1. Umoja wa mataifa ulifanya makosa 1948 wakati...
Baada ya tetesi za karibu wiki leo mjumbe wa ngazi za juu wa Israel kutoka shirika la ujasusi la Mossad amemfuata waziri mkuu wa Qattar ili kuangalia uwezekano wa kusitishwa vita kwa mara nyengine.
Misri kwa upande wake imejifanya inajua siri zaidi na kuamua kuzitoa hadharani kwa kusema sasa...
MALAIKA WA ISRAEL NA VITA YA WAARABU.
Ilikua wakati mmoja ambapo waisrael walikua katika mapumziko ya siku takatifu zaidi katika utamaduni na dini ya Kiyahudi na Kisamaria ambayo huangukia mwishoni mwa September ila mara nyingi ni October. Siku hio maduka hufungwa na kiufupi huduma nyingi hua...
Hasan Bitmez alipata heart attack akiwa bungeni anatoa hotuba ya kuilaani Israel.
---
Turkish Health Minister Fahrettin Koca announces the death of lawmaker Hasan Bitmez, local media reports, two days after he collapsed in parliament, suffering a heart attack at the end of a livestreamed...
Tajiri mmoja wa Gaza ya kaskazini amesema wameishiwa na chakula na maji kiasi kwamba kuna baadhi ya familia zimelazimika kuchinja punda na kula nyama yake ili wabaki hai.
Mbali na ushahidi huo picha nyingi za moja kwa moja zinawaonesha wananchi hao wakipanga foleni ndefu na kugombea mikate kitu...
Wanaukumbi.
ISRAELI WAPATA CHANGAMOTO YA USAFIRI 🇮🇱🇵🇸
Akifanyiwa mahojiano kupitia kituo cha redio cha 104 cha Israeli, Kamanda wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Israeli, Eliezer Merom alisema kwamba,
"Israeli iko chini ya kizuizi cha majini. Kwa sasa inapata changamoto kubwa ya usafirishaji...
Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza.
Miili yao yote miwili bado inashikiliwa na Hamas. Chaimi aliaminika kutekwa nyara lakini, ushahidi mpya ulionyesha aliuawa Oktoba 7...
Haijaeleweka nini kimesababisha jamaa abadilishe msimamo ghafla......
In shift, a top Hamas official floats Israel recognition
In an interview with Al-Monitor, senior Hamas official Mousa Abu Marzouk suggested the militant group would adhere to the Palestine Liberation Organization’s stance on...
Sijui itatokea lini, ila mimi natamani sana wayahudi wachapwe kichapo kitakatifu hadi wamtii Mungu wao aliyewatoa Misiri utumwani kwa ishara za ajabu yaani (JEHOVAH)
Ichi ambayo imekuwa na ukaribu na Mungu tangu kipindi cha Ibrahimu,
Ichi ambayo kipindi cha Musa, Mungu alifanya maajabu mengi...
Wanaukumbi.
Kwa mujibu wa Leaks Mawasiliano makali na ya dharura yanafanywa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani na baadhi ya nchi za Kiarabu hasa Misri na Qatar ili kushinikiza Hamas kukubali mapatano ya haraka kwa kisingizio cha kuleta misaada Gaza!!
Ukweli ni kwamba suluhu hili liliombwa...
Ukiwa muongo, pia uwe makini. Kwa muda wote vita hii imepiganwa hajafa wala kutangazwa wangapi wa Hamas wamekufa! Picha zinazorushwa ni za vitoto tuu na kidogo wanawake.
Cha ajabu ukiangalia TV hiyo hiyo, miili mingi ya maiti zilizokufa GAZA na iliyofunikwa kwenda kuzikwa ni ya watu wazima...
Rais Biden amesema ni Wajibu wa Marekani kuisaidia Israel hadi kundi la Hamas litakapoangamizwa kabisa na kubakia raia Wema wa Palestine
Biden amesema ana hakika mwisho wa Magaidi wa Hamas umefika
Source BBC news
Zadi ya miezi 2 tangu vita vianze kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limekiri kuuliwa kwa askari wake 10 kwa pamoja tena ndani ya kaskazini ya Gaza siku ya jana Jumanne.Eneo ambalo awali walitangaza kuliteka lote.
Miongoni mwa askari waliouliwa na Hamas ni mwenye cheo cha colonel aliyekuwa kamanda...