israel

  1. JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu zaizuia Marekani kutumia ardhi zao kupigana na Houth huku Erdogan aungana na Elsisi kuionya Israel isiendelee kupiga Rafah

    Nchi kadhaa za kiarabu zimeanza kuingia akili kwa kukataa kuachia Marekani kutumia ardhi zao kuanzisha mashambulizi dhidi ya wanamgambo wa Houth wa Yemen.Hatua hiyo itaifanya Marekani kushindwa kuwazuia Houth na itakuwa ni msaada wa nchi hizo kwa Palestina. Nchi hizo ni zile ambazo zimekuwa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa trilioni 152 Ukraine, Trilioni 35 Israel, Trilioni 22 Palestina, Trilioni 12 Taiwan

    $60 billion Ukraine $14 billion for Israel $9 billion Gaza + West bank $4.83 billion Taiwan --- Senate gives $60 billion for Ukraine, $14 billion for Israel, $9 billion in humanitarian assistance for Gaza and nearly $5 billion for the Indo-Pacific. Meanwhile Biden is putting veterans behind...
  3. JamiiForums Tanzania Israel kuandaa hema 25,000 zitakazoishi watu wa Rafah kabla kupapiga

    Kiukweli waarabu washukuru sana wanapambana na Israel maana ingekua Urusi au Wachina wasingekua na hizi huruma, wao hupiga kitu kinachoitwa carpet bombing, Israel wana uwezo wa kusambaratisha kila kitu ndani ya siku moja, ila inawabidi wawe na huruma kwa watoto na kina mama. ambao pia magaidi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa dola Bilioni 9 kwa Israel na Ukraine. Wengine watishwa wasiisaidie Hamas hata senti

    Baada ya kikao cha usiku kucha baraza la seneti limekubali na kupitisha msaada mkubwa wa dola karibu bilioni 100 kwa nchi mbili marafiki ambazo ziko vitani. Sehemu ya msaada huo itakwenda Israel ambayo imeshaua karibu wapalestina 28000 na nyengine kwa Ukraine inayopigana na Urusi. ===========...
  5. JamiiForums Tanzania Misri yapeleka Jeshi mpakani kukabiliana na uchokozi wa Israel

    Kimya kingi kina mshindo. Hatimae nchi ya Misri imeamua kuongeza askari wake maeneo ya mpaka wa Rafah na lango la Karem Shalom. Uamuzi huo umekuja baada ya maonyo ya awali na kufuatia taarifa ya jeshi la Israel kwamba liko mbioni kupeleka askari wa miguu eneo la Rafah walipojikushanya...
  6. JamiiForums Tanzania Misri watishia kuvunja mkataba wa Camp David iwapo Israel itashambulia Rafah

    Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimae Misri imetoa tamko kwamba iwapo Israel itashambulia eneo la Rafah basi itafuta mkataba wake wa muda mrefu uliotiwa saini baina yao. Mkataba huo uliotiwa saini mwaka 1979 baina ya rais Anwar Saadat wa Misri na waziri mkuu wa Israel wa wakati huo Menakhen...
  7. JamiiForums Tanzania Misri atoa onyo kwa HAMAS wana wiki mbili kupata suluhu la mateka, kabla Israel haijaingia Rafah

    Hapo Rafah ndio ngome ya mwisho ya HAMAS, ila penyewe pamejaa wananchi wengi hivyo kupapiga lazima Wapalesina watakufa sana, Misri imesema HAMAS waharakishe hili la dili ya mateka kabla hapajapigwa maana Israel wakianza, kawaida tumeona huwa hawasimamishwi na yeyote.... Egypt tells Hamas it...
  8. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia waja juu na kuungana na Misri kuionya Israel

    Ule ukimya wa muda mrefu wa mataifa mawili makubwa ya kiarabu sasa umefika mwisho.Mataifa hayo ni Misri na Saudi Arabia. Misri ilitoa onyo lake dhidi ya Israel na nia yao ya kupiga eneo la Rafah karibu wiki mbili zilizopita.Baada ya hapo walikaa kimya na haijulikani wamefanya matayarisho kiasi...
  9. JamiiForums Tanzania Maskini Iran kwa unyonge yaomba FIFA ifungie Israel

    Hii Iran moja ndio ilitoa mikwara sana kwamba Israel ikivamia Gaza itakua imevuka mstari mwekundu, sasa imeishia kuomba omba kwa kauli za kinyonge kwamba Israel izuiwe kucheza mpira wa FIFA. ================= Iran’s football federation said Saturday it has asked world football’s governing body...
  10. JamiiForums Tanzania Maandamano ya kumtaka Benjamin Netanyahu aachie madaraka na uchaguzi uitishwe yameiingia hatua ya juu

    Maandamano ya kumtaka Benjamin Netanyahu aachie madaraka na uchaguzi uitishwe yameiingia hatua ya juu leo pale waandamanaji kwenye mitaa tofauti ya Tel Aviv kuziba njia kuu za usafiri. Hata hivyo Netanyahu pekee ndiye amekuwa na tamaa ya fisi ya kuishinda Hamas ambapo ametoa amri ya jeshi lake...
  11. JamiiForums Tanzania Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

    Kwa kweli kiaina hata mimi nimeanza kupata kaukakasi fulani, jameni mpaka sasa sidhani kama kuna yeyote hajapata adabu yake pale Gaza, hata hao HAMAS kama kuna siku nyingine wataichokoza Israel nitawakubali kweli ni ving'ang'anizi. Watu wa Gaza wameteseka vya kutosha, wamepigika na kubamizwa...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Misri imeshaweka jeshi lake sawa mpaka wa Rafah kuijibu Israel ambayo imenuia kuwaua Wapalestina zaidi na watakaobaki kuwasukuma nje?

    Pamoja na Israel kushindwa kufikia malengo yake ya kivita iliyojiwekea na japo imeshawahamisha wapalestina wa Gaza huku na huko bila mafanikio lakini bado imeweka nia thabiti ya kushambulia eneo la Rafah. Umoja wa mataifa na kila mmoja wameshatoa angalizo kuwa kushambulia eneo hilo...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mungu alikua na maana gani kuagiza kwenye amri ya 6 Usiue kisha akaagiza wana wa Israel kuua watu wa mataifa mengine?

    Historia ya biblia inasema Mungu alimpa Musa amri zake 10 kuu, kati ya amri hizo iko amri ya 6 ya usiue. Hii amri Mungu aliwakataza binadamu kuua ama kukatisha uhai wa binadamu wenzao. Cha kujiuliza na kushangaza, Mungu huyo huyo akaamuru wana wa Israel kuua watu wa mataifa mengine kama...
  14. JamiiForums Tanzania Hizbullah: Tumeishambulia Israel mara 961 tangu vilipoanza vita vya Gaza

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa tangu vilipoanza vita vya Gaza hadi sasa imetekeleza operesheni 961 dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel. Kwa mujibu wa IRNA, katika mashambulizi hayo kambi na vituo vya kijeshi vya utawala wa Kizayuni na askari wa...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi lini mwisho HAMAS kurusha roketi kuelekea Israel? Jamaa wamezimwa kabisa

    Wakati hivi vita vinaanza jamaa walikua wanarusha rockets kwa mamia kila siku, ila sasa hivi hawaskiki tena, wakirusha roketi moja, hapo hapo ilipotokea panapigwa kipigo cha mbwa koko..... --- Defense Minister Gallant claims Hamas leader moving ‘from hideout to hideout,’ IDF on his heels, as...
  16. JamiiForums Tanzania Uhusiano wa taifa la Israel na kanisa

    Taifa la Israel ndiyo msingi wa kanisa. Ukiangalia emblem ya Israel ni kinara cha TAA Saba kama kinavyoonekana hapo Kwa wale wanaoelewa maandiko, Kanisa LA Mungu limeundwa juu ya msingi wa makanisa Saba. Makanisa hayo ni efeso, smyrna, pergarmo, thytira, sardi, Philadelphia na leodecea. Hayo...
  17. JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 14 auawa kwa risasi akijaribu kumdunga kisu afisa wa polisi wa Israel

    Video kutoka eneo la tukio inamuonyesha gaidi mwenye umri wa miaka 14 akimkimbilia afisa wa Israel akiwa na kisu na kujaribu kumuua Afisa mwingine anakimbia kuelekea kwa gaidi huyo na kisha kumpiga risasi na kumuua ili kumzuia mshambuliaji aliyechanganyikiwa asimpige afisa huyo. Picha ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mataifa ya Waarabu yafaidi kwenye mashambulizi ya Houthi, yachukua soko la Israel

    Israel sasa inapitisha mizigo yake kwa njia ya barabara ndani ya mataifa ya Waarabu, huku magaidi ya dini yakipambana kushambulia meli, waarabu kwenye mataifa mengine wanafaidi, hamna cha dini wala mshikamano....kimsingi hela. Israel is using a land route for the import of goods through the...
  19. JamiiForums Tanzania Israel inazidi kupoteza ushindi katika mipaka ya Lebanon Kichapo ni cha Moto!

    Israel imeendelea kupoteza ushindi baada ya askari wake kuuwawa sasa hivi katika mpaka wa Lebanon, Baada ya rocket kutupwakatika ardhi ya Israel na kuua vikosi vyake na mapambano bado ni makali sana siya rocket wala ya Drone hali ni tete sana! tazama sasa hivi Live Hapa Kichapo wanachopewa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hezbollah waonyesha silaha zao wanazomchapa nazo Israel

    Hivi karibuni Hezbollah wameonyesha silaha zao wanazotumia kumchapa nazo Isael daily. Miongoni mwa operations ambazo hezbollah wamefanya katika siku hizi za karibuni ni kulipua assets za kijasusi, yaani mitambo ya kijasusi ya kuchunguza anga la Syria, Iraq hadi uturuki. Hezbollah wanatumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…