Misri watishia kuvunja mkataba wa Camp David iwapo Israel itashambulia Rafah

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,190
10,925
Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimae Misri imetoa tamko kwamba iwapo Israel itashambulia eneo la Rafah basi itafuta mkataba wake wa muda mrefu uliotiwa saini baina yao.

Mkataba huo uliotiwa saini mwaka 1979 baina ya rais Anwar Saadat wa Misri na waziri mkuu wa Israel wa wakati huo Menakhen Begin ulisimamiwa na raisi Carter wa Marekani.

Tishio kama hilo pia limewahi kutolewa na Jordan japokuwa bado hawajafanya hivyo juu ya kwamba maeneo yanayosimamiwa na nchi hiyo ndani ya Ghaza yameshashambuliwa mara nyingi.

1707761584970.png

Egypt Is Threatening to Void Its Decades-Old Peace Treaty with Israel. What Does That Mean?

Huu mkataba wakilaghai ukifa huu ndio ntaanza kua na imani na misri kwa kweli
Ila mpaka sasa hata hayo wanayoyaongea siyaamini na sina imani nao
Misri wanafiq sana na unafiq wao mkubwa unaletwa na huo mkataba wa kijinga waliosaini na magaidi mauaji makatili mazayuni
 
View attachment 2902040

Egypt Is Threatening to Void Its Decades-Old Peace Treaty with Israel. What Does That Mean?

Halafu wakishauvunja ndiyo itakuwaje?
 
Huu mkataba wakilaghai ukifa huu ndio ntaanza kua na imani na misri kwa kweli
Ila mpaka sasa hata hayo wanayoyaongea siyaamini na sina imani nao
Misri wanafiq sana na unafiq wao mkubwa unaletwa na huo mkataba wa kijinga waliosaini na magaidi mauaji makatili mazayuni
Huwezi kuilaumu Misri , vita zote mbili ya 1967, na 1973 , Misri ilipojaribu kupigana na Israel ilikuwa inapata hasara kubwa sana na inashindwa vibaya sana, mpaka IDF inakaribia kuikamata Cairo. Hata leo Misri ikiingia front na Israel Misri atachapwa mapema sana , vita kati ya nchi na nchi ni hatari sana, air force ya Israel Misri atachapwa mapema, vita inaweza kuchukua wiki 2 tu mshindi atakuwa ameshapatikana
 
Labda Iran ndo anaweza kuisumbua kidogo Israel lakini siyo Egypt , hata Iran air force yake bado hawezi kuishinda Israel
 
Unayozungumza kuhusu Israel ni hapo zamani.
Hakuna IDF wanaoweza kukaribia Cairo sasa.Hao walioko Gaza wanatafuta upenyo wakimbie ndio maana wakirudishwa nyumbani wanashangilia
 
Huwezi kuilaumu Misri , vita zote mbili ya 1967, na 1973 , Misri ilipojaribu kupigana na Israel ilikuwa inapata hasara kubwa sana na inashindwa vibaya sana, mpaka IDF inakaribia kuikamata Cairo. Hata leo Misri ikiingia front na Israel Misri atachapwa mapema sana , vita kati ya nchi na nchi ni hatari sana, air force ya Israel Misri atachapwa mapema, vita inaweza kuchukua wiki 2 tu mshindi atakuwa ameshapatikana
Israhell ipi ya kuichapa misri😁😂😁 hizo filamu za huli wudi hamjazistuki tu kama zakutungwa
 
Labda Iran ndo anaweza kuisumbua kidogo Israel lakini siyo Egypt , hata Iran air force yake bado hawezi kuishinda Israel
Mgambo wa israhell walikua over rated sana
Hamas tu wamewashindwa ndionwawaweze misri
 
Huwezi kuilaumu Misri , vita zote mbili ya 1967, na 1973 , Misri ilipojaribu kupigana na Israel ilikuwa inapata hasara kubwa sana na inashindwa vibaya sana, mpaka IDF inakaribia kuikamata Cairo. Hata leo Misri ikiingia front na Israel Misri atachapwa mapema sana , vita kati ya nchi na nchi ni hatari sana, air force ya Israel Misri atachapwa mapema, vita inaweza kuchukua wiki 2 tu mshindi atakuwa ameshapatikana
EMBU USITUDANGANYE WE JAMAA HAKUNA WATOTO HUMU NDANI.
1967 palivamiwa Sinai tu ambako kulikua kuna Airbase ya Egypt na pakatekwa IDF haikuwa na lengo la kufanya wider escalation ila walitaka kuiteka Sinai ambayo ilikua ni kambi ya jeshi la anga la Egypt.
1973 MISRI ILIFANIKIWA KUIPIGA IDF TENA KUITWANGA IDF KISAWASAWA NA SINAI IKARUDISHWA KWA EGYPT 70% YA ENEO.
HIYO 30% ILOBAKI AMBAYO ILIKUA INAPAKANA NA RAFAH IDF WALIWEKA MAJESHI YENYE NGUVU NA VITA ILIPIGANWA HAPO KWA MUDA MREFU NA ILE VITA ISRAEL NDIO ILIPATA HASARA SANA NA HATA MATEKA WA IDF WALIKUA WENGI SANA ZAIDI YA MAELFU WA ASKARI WA IDF WALITEKWA.
UACHE UONGO HAKUNA WATOTO HUMU NDANI.
 
Huu mkataba wakilaghai ukifa huu ndio ntaanza kua na imani na misri kwa kweli
Ila mpaka sasa hata hayo wanayoyaongea siyaamini na sina imani nao
Misri wanafiq sana na unafiq wao mkubwa unaletwa na huo mkataba wa kijinga waliosaini na magaidi mauaji makatili mazayuni
Maneno yako ni kweli pia hizi mbwebwe zote ni sababu Israel kashindwa kukomboa hata mateka wake mmoja na Hamasi bado wako strong hakuna hata target yake mmoja iliyo muingiza vitani imefanikiwa, hizo ni siasa kuonyesha Israel atasimamisha vita kutokana anamatatizo na Egypt hizo ni plan wanazo zifanya hizo nchi ili aonekeane Israel hajashindwa vita 😄

Leo Biden na Anthony Blinken ndio wana uchungu na watoto/wanawake wa Gaza bada ya kuwauwa karibu 28,000 😄 Leo pia nchi za kiarabu kama Saud Arabia, Jordan, Egypt, Morocco, UAE, Baharain na kibaraka wao Mahamoud Abbas wanauchungu na watoto wa Gaza hi kweli inawezekana? Sidhani hizi zote ni filim wameona Israel kashindwa vita hawataki kusema Hamasi kawashinda.

We huoni wananza kama kushambuliana wao kwa wao ili wajinge wamini kama kweli kuna matatizo kati yao, hi si kweli ni propoganda tu. Siasa kitu kibaya sana hawataki kuwapa Haki zao Hamasi kwa kusema wameshinda hi vita.

Israel kafail kwenye kila kitu, kafail kwenye vita, kwenye utu, kwenye siasa, kwenye economy yani kila kitu kafail kajidhalilisha sana duniani yeye na hizo nchi za European na za kiarabu.

Big up to Hamasi nyie ndio masuper power wa Middle East pamoja na Yemen.
 
Maneno yako ni kweli pia hizi mbwebwe zote ni sababu Israel kashindwa kukomboa hata mateka wake mmoja na Hamasi bado wako strong hakuna hata target yake mmoja iliyo muingiza vitani imefanikiwa, hizo ni siasa kuonyesha Israel atasimamisha vita kutokana anamatatizo na Egypt hizo ni plan wanazo zifanya hizo nchi ili aonekeane Israel hajashindwa vita

Leo Biden na Anthony Blinken ndio wana uchungu na watoto/wanawake wa Gaza bada ya kuwauwa karibu 28,000 Leo pia nchi za kiarabu kama Saud Arabia, Jordan, Egypt, Morocco, UAE, Baharain na kibaraka wao Mahamoud Abbas wanauchungu na watoto wa Gaza hi kweli inawezekana? Sidhani hizi zote ni filim wameona Israel kashindwa vita hawataki kusema Hamasi kawashinda.

We huoni wananza kama kushambuliana wao kwa wao ili wajinge wamini kama kweli kuna matatizo kati yao, hi si kweli ni propoganda tu. Siasa kitu kibaya sana hawataki kuwapa Haki zao Hamasi kwa kusema wameshinda hi vita.

Israel kafail kwenye kila kitu, kafail kwenye vita, kwenye utu, kwenye siasa, kwenye economy yani kila kitu kafail kajidhalilisha sana duniani yeye na hizo nchi za European na za kiarabu.

Big up to Hamasi nyie ndio masuper power wa Middle East pamoja na Yemen.
Kabisaaaa wanataka wamtoe kwenye aibu aloipata
Maana kaaibika si haba kwakweli leo ndio wanajifanya kuleta siasa zao zakijinga na kipuuzi
Hamas wanaume haswa sio maskhara maskhara
 
Mgambo wa israhell walikua over rated sana
Hamas tu wamewashindwa ndionwawaweze misri
Gaza Hamas walikuwa na brigedi 8 za kijeshi Sita wamesha angamiza na kuzisambaratisha zimebaki mbili tu wanataka wamalizane nazo hapo Raphah na operation hiyo wamejipa miezi minne wakimalizana nao wanasema Kuna miezi mwingine minne ya. Operation malizia sehemu yeyote kama wako wale gaidi moja moja.Kuanzia mwezi huu wa February Hivyo wataendelea na vita Gaza Kwa miezi nane Hadi mwezi wa kumi
 
Hizo habari za kuangamizwa Brigedia kakupa nani
Hao hao waliwaambia watamaliza vita kwa week ndio hao hao 😀
Hamas ipo ipo sana vita inapiganwa sana
Kwahio mpaka lini vita itakua imeishakwisha 😀😀
 
Waziri wa Ulinzi wa Israel ndie alitamka Hilo

Kuwa brigade sita za Hamas walishamalizana nazo zimebaki mbili tu

Wiki mbili zilibadilika baada ya kugundua kuwa vita na Hamas Iko tofauti muda ukaongezwa

Kawaida vita hupiganwa maeneo matatu vita ya kwanza angani,ya pili ardhini ya tatu majiji

Vita ilipoanza wataalamu wa vita wa Israel walijua kuwa ni maeneo hayo matatu lakini vita ilivyokuwa ikiendelea wakagundua kuwa Hamas ni wapiganaji wa chini ya Ardhi kwenye zile Tunnels zao .Aina hoi ya vita ni tofauti Jeshi la IDF la Israel walikuwa hawajawahi pigana vita ya aina hiyo ikabidi waanze kupiga hiyo mi tunnels na kwenda huko ndani kuwaua Hamas Kwa vita za ana Kwa ana

Kilichosogeza muda ni hiyo mi tunnels lakini Kwa angani,na majini na juu ya Ardhi Israel walishawadhibiti barabara .Hamas wamebakia wenye hizo tunnels na ni nyingi mno chini ya Ardhi ya Gaza. Sasa vita ya chini ya Ardhi Sio nyepesi kama maeneo Mengine ndio maana muda umekuwa mrefu ila Hamas waliofikiwa huko kwenye Tunnels na wengine kufa Kwa kukosa hewa baada ya Jeshi la Israel kukata Umeme wa Air condition walizokuwa nazo huko ndani na kuziba milango yote ya kuingiza hewa huko chini ya Ardhi ni wengi

Hamas wengine kibao wamekufa huko chini baada ya IDF kumwaga maji ya Bahari huko kwenye Tunnels ili wafe maji huko kwenye Tunnels hao hakuna atakayeona maiti zao milele wanahesabika tu kuwa walipotea
 
Back
Top Bottom