Hizbullah: Tumeishambulia Israel mara 961 tangu vilipoanza vita vya Gaza

LINGWAMBA

JF-Expert Member
Sep 30, 2023
419
946

Screenshot_20240206-205153.jpg

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa tangu vilipoanza vita vya Gaza hadi sasa imetekeleza operesheni 961 dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Kwa mujibu wa IRNA, katika mashambulizi hayo kambi na vituo vya kijeshi vya utawala wa Kizayuni na askari wa utawala huo katika eneo la kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu wamelengwa mara kadhaa na mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani.

Aidha, Hizbullah ya Lebanon ilitangaza jana Jumapili kwamba imevilenga kwa makombora vituo vya Roysat al-Alam na Zabadin katika mashamba ya Shabaa ya ardhi za Lebanon zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu.
4by72c21e3a73e1za8f_800C450.jpg

Sambamba na kuanza operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa iliyotekelezwa na makundi ya muqawama ya Palestina Oktoba 7, 2023, harakati ya Hizbullah ya Lebanon imekuwa nayo ikitekeleza oparesheni kali kila siku dhidi ya ngome za utawala wa Kizayuni ili kuzidi kuwashughulisha askari wengi wa jeshi la Kizayuni kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kupunguza mashinikizo dhidi ya muqawama katika eneo la Gaza.

Operesheni za Hizbullah zilianza siku moja tu baada ya kuanza operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa sambamba na uvamizi wa utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.

Kuhusiana na suala hilo, vyombo vya habari vya Kizayuni vimekiri mara kadhaa kwamba Hizbullah ingali ina nguvu kubwa zaidi za kijeshi katika eneo la kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kwamba jeshi la Israel limenasa kwenye mtego wa eneo hilo.../
 
Duuuh mara zote hzo na hata israel hastuki tu au walitumia mawe? Mara zote hzo bdo israel yupo anamiliki ardhi ya lebanon hata hana mpango wa kuachia.
Kwani Hizbullah alisema anaenda kukomboa ardhi
Akiamua ardhi anaibeba kama alivyo ibeba mwaka 2006 na hamna wakunfanya kitu
 
Wanstia aibu, mashambulizi 961 yalipaswa kuwa yameleta kama sio kuangamiza pa kubwa IDF, waendelee hivyo muda SI muda wataanza kupapaswa kama sio kuoelekewa moto kabisa
 
Kwani Hizbullah alisema anaenda kukomboa ardhi
Akiamua ardhi anaibeba kama alivyo ibeba mwaka 2006 na hamna wakunfanya kitu
Coment za kijinga za Muslim... 2016 mimi nilitizama live kipondo kwa Hezbollah Maandamano kila siku dunia nzima wakiomba Israel aache kupiga even Maislam ya Tz Nayo eti yaliandamana after Israel kuaacha wakaanza kutangaza ushindi Dunia ilicheka tu.. Ujinga Vita zao wanamshirikisha Allah so wakipigwa ili asionekane bwege wanasema walishinda.. upumbavu even Hamas wacha vita isimame utasikia same music.. ila wenzenu wanalia wanalala nje na nja pia full ukurutu
 
uislam ni dini ya wajinga , Saudia washastuka mdogo mdogo wanaukimbia ujinga
 
Coment za kijinga za Muslim... 2016 mimi nilitizama live kipondo kwa Hezbollah Maandamano kila siku dunia nzima wakiomba Israel aache kupiga even Maislam ya Tz Nayo eti yaliandamana after Israel kuaacha wakaanza kutangaza ushindi Dunia ilicheka tu.. Ujinga Vita zao wanamshirikisha Allah so wakipigwa ili asionekane bwege wanasema walishinda.. upumbavu even Hamas wacha vita isimame utasikia same music.. ila wenzenu wanalia wanalala nje na nja pia full ukurutu
Bro.
Huwa unaropokaga kwa mihemko.
Bora ungelikua unaongea kwa mihemko,ila unaropoka kwa mihemko.
Pia jifunze kuandika kwa utuo ili ueleweke,unaandika hovyo sana.
Hizbollah kuna makamanda wa kikristu pia,kile sawa ni kikundi kilichoanzishwa na shia ila kina mjumuiko wa dini mbalimbali kwa lengo kuu la kuitetea Lebanon.
Kile sio kikundi mahususi kwaajili ya harakati za kidini laa hasha.
Pia Lebanon hawajawahi kuandamana kisa Israel kashambulia Lebanon,USITAKE KUTUONGOPEA.
Lebanon waliandamana kuifunga balozi ya Israel kutokana na alichokifanya Israel Gaza.
Ila toka waanze kujibizana mapigano kuna kambi kuu zaidi ya nne mpakani mwa Israel zimechakazwa yani zinahitaji kujengwa upya.
Na katika mashambulizi yote Hizbollah waliofanya hakuna shambulizi Israel waliloweza kuzuia.
HIZBOLLAH SIO HAMAS MZEE.
 
Mkishabarikiwa hata Kumbu Kumbu zinafutika magaidi ya kizayuni hayakupigwa 2016 yalipelekewa moto 2006
 
Bro.
Huwa unaropokaga kwa mihemko.
Bora ungelikua unaongea kwa mihemko,ila unaropoka kwa mihemko.
Pia jifunze kuandika kwa utuo ili ueleweke,unaandika hovyo sana.
Hizbollah kuna makamanda wa kikristu pia,kile sawa ni kikundi kilichoanzishwa na shia ila kina mjumuiko wa dini mbalimbali kwa lengo kuu la kuitetea Lebanon.
Kile sio kikundi mahususi kwaajili ya harakati za kidini laa hasha.
Pia Lebanon hawajawahi kuandamana kisa Israel kashambulia Lebanon,USITAKE KUTUONGOPEA.
Lebanon waliandamana kuifunga balozi ya Israel kutokana na alichokifanya Israel Gaza.
Ila toka waanze kujibizana mapigano kuna kambi kuu zaidi ya nne mpakani mwa Israel zimechakazwa yani zinahitaji kujengwa upya.
Na katika mashambulizi yote Hizbollah waliofanya hakuna shambulizi Israel waliloweza kuzuia.
HIZBOLLAH SIO HAMAS MZEE.
Wazayuni wa jf wanaona kila mtu mjinga kama walivyo wao
Na mwambie kuna maelfu ya watu wamehamishwa huko mpakani mwa Lebanon sababu ya dozi inayotembea imekua kubwa
 
Bro.
Huwa unaropokaga kwa mihemko.
Bora ungelikua unaongea kwa mihemko,ila unaropoka kwa mihemko.
Pia jifunze kuandika kwa utuo ili ueleweke,unaandika hovyo sana.
Hizbollah kuna makamanda wa kikristu pia,kile sawa ni kikundi kilichoanzishwa na shia ila kina mjumuiko wa dini mbalimbali kwa lengo kuu la kuitetea Lebanon.
Kile sio kikundi mahususi kwaajili ya harakati za kidini laa hasha.
Pia Lebanon hawajawahi kuandamana kisa Israel kashambulia Lebanon,USITAKE KUTUONGOPEA.
Lebanon waliandamana kuifunga balozi ya Israel kutokana na alichokifanya Israel Gaza.
Ila toka waanze kujibizana mapigano kuna kambi kuu zaidi ya nne mpakani mwa Israel zimechakazwa yani zinahitaji kujengwa upya.
Na katika mashambulizi yote Hizbollah waliofanya hakuna shambulizi Israel waliloweza kuzuia.
HIZBOLLAH SIO HAMAS MZEE.
Huwa mnajitoaga ufahamu! Nani alikwambia hezibollah ina christian fighters, wakristo na waislam safi wako kwenye jeshi la Lebanon siyo Hezibolla, pia tuambie hiyo mwaka 2006 Hezibollah alishinda vita gani? Na kama alishinda alikomboa ardhi gani hiyo? Faya zote zipo kwenye vita ya 2006, Israel ilishinda vita, Hezbollah alipofika sana, kitu tu ambacho ungesema nikaelewa ni Israel kupata hasara kubwa hasa ya kupoteza baadhi ya majenerali kwenye vita ile tofauti na operation ndogo zingine.
 
Akili yako inafanya kazi vizuri kijana?
Hizbollah akati inaandaa wanamgambo wapo ambao waliokuwa wakristo takriban 103 waliotoka kusini mwa mji wa Bint jubeir.
Na wapo wakristo kutoka ndani ya jeshi la Lebanon walioleta nguvu katika jeshi la Hizbollah.
Ila we pimbi huwezi elewa umemezeshwa stori za vijiweni.
ISRAEL 2006 ILIPIGWA,NARUDIA TENA ILIPIGWA NA KURUDISHWA NYUMA MPAKA SHEBAH FARMS.
Na ile shebah farms nusu Israel nusu Lebanon.
WE UNAKUJA KUTAPIKA UHARO HAPA USIOELEWEKA.
KAMA HIZBOLLAH HAIKUSHINDA BINT JUBEIR ILIKOMBOLEWAJWE????
Kaifuatilie OPERATION BINT JUBEIR.
Bint jubeir ni mji wa kusini na Lebanon ambao Israel aliuachia 2000 baada ya kuondoa buffer zone pale,ila hakuuachia mji wote kuna baadhi ya vitongoji alikalia ndipo Hizbollah 2006 walianzisha mtiti na kuikomboa BINT JUBEIR YOTEEE MPAKA SHEBAH FARMS.
Au Bint Jubeir ilitolewa bure ile???
Kama ilitolewa kidiplomasia NILETEE WARAKA ULIOSAINIWA KUIACHIA BINT JUBEIR??
NASUBIRI JIBU.
 
Huwa mnajitoaga ufahamu! Nani alikwambia hezibollah ina christian fighters, wakristo na waislam safi wako kwenye jeshi la Lebanon siyo Hezibolla, pia tuambie hiyo mwaka 2006 Hezibollah alishinda vita gani? Na kama alishinda alikomboa ardhi gani hiyo? Faya zote zipo kwenye vita ya 2006, Israel ilishinda vita, Hezbollah alipofika sana, kitu tu ambacho ungesema nikaelewa ni Israel kupata hasara kubwa hasa ya kupoteza baadhi ya majenerali kwenye vita ile tofauti na operation ndogo zingine.
Usome huo waraka huwenda ukakusaidia.
Toka 2006 wakristu wamekua na ushirikiano na Hizbollah kwa namna mpaka za kisiasa sio tu kijeshi.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-02-07-13-54-43-73_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-07-13-54-43-73_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    120.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom