Enzi za Nyerere tulikuwa na msimamo wa kitaifa wa wa kusimamia haki..
Leo unakuta mtanzania ana support Israel.. shame
Mwendazake ndiyo alirejesha uhusiano na Israel, na kuipa Morocco kiti AU.Siku hizi kuna Watanzania Wapumbavu sana ambao hawajui lolote kuhusu dhuluma na udhalimu mkubwa uliofanywa na unaoendelea kufanywa na Israel kwa Wapalestina ambao ulisababisha Tanzania na nchi nyingi za Kiafrika kuvunja uhusiano na Israel.
Mwendazake ndiyo alirejesha uhusiano na Israel, na kuipa Morocco kiti AU.
Hayati Mugabe alibwata sana, akilalamika vijana hawajui historia ya ukombozi.
Everyday is Saturday...............................

Sa hilo jumba halina silaha we huoni kama Israel kisha filisika Iron dome imeisha tumbuliwa na jeshi lake halina uwezo wakuingia ground war.Hakuna cha war crimes,wapalestina walilianzisha israel wanamaliza.
Sasa tunapangiana mkuu?Enzi za Nyerere tulikuwa na msimamo wa kitaifa wa wa kusimamia haki..
Leo unakuta mtanzania ana support Israel.. shame
Upumbavu, kwani Mawazo ya nyerere ni ya Watanzania? Baadhi ya Mawazo ya nyerere ni ya kipumbavu.Enzi za Nyerere tulikuwa na msimamo wa kitaifa wa wa kusimamia haki..
Leo unakuta mtanzania ana support Israel.. shame
Unaongea pumba gani sijui, au Ndio kichapo Cha chiefs kimekulevya?Sa hilo jumba halina silaha we huoni kama Israel kisha filisika Iron dome imeisha tumbuliwa na jeshi lake halina uwezo wakuingia ground war.
Leo kuanzia saa 7GMT mpaa saa 9GMT tel aviv wameambiwa watembe wale bada ya saa 9GMT vitu vinanza kuzama Tel Aviv.
Yani wanambiwa wakae kwenye mashimo vitu vinakuja.
Nyatanyahu kawa Panya