israel

  1. JamiiForums Tanzania Israel yamuua kamanda wa kundi wa Islamic Jihad huko Gaza

    Shambulio la anga la Israel la mapema alfajiri limemuua kamanda mkuu wa kundi la Islamic Jihad (PIJ) na wanamgambo wengine wawili mjini Gaza. Ndege ya kivita ilishambulia ghorofa ya tano ya jengo la makazi la Hamad , karibu na Khan Younis kusini mwa eneo hilo. Siku ya Jumatano wanamgambo huko...
  2. JamiiForums Tanzania Hili ni swali langu kwenu mnaosema Israel ni ya wapelestina, Acheni kujitia upofu mtazame uhalisia

    Tusichanyanya mafile, hatuzungumzii biblia bali tunazungumzia uenyeji wa ardhi husika Tuliza kicha tafakari hili swali Hivi mfano pale Mecca pangevavamiwa na wagiriki kisha waarabu wa hapo wangesafirishwa kutumiskishwa huko ugiriki na hapo Mecca mgiriki angeuza viwanja kwa waisrael, baada ya...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi Iran walipanga ugaidi dhidi ya Israel, hawa ndio wanataka waachiwe wajihami kwa nyuklia

    Taarifa zimeibuka za namna Iran iliwasaidia magaidi wa kidini kushambulia Israel kwa rockets, uchunguzi zaidi unaendelea kufanywa, hili taifa la Iran hulia lia likitaka liachiwe lijihami kwa nyuklia..... Esmail Qaani, who leads Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps’ elite Quds Force, has...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa Uturuki aipa onyo Israel

    Katika kile kinachoonekana kama kuchoshwa na vitendo vya serikali ya Israel, Rais Erdogan ametoa onyo kali kwa israeli na kuwataka kutokuvuka red line wanapokuwa wanapamabana na wapigania Uhuru wa Palestine. Onyo hili limekuja baada ya askari wa Israeli kuuvamia msikiti mtakatifu wa Alakisa na...
  5. JamiiForums Tanzania UFC 287: Israel Adesanya vs Alex Pereira II. Stylebender akipoteza itakuwa mwisho wa career yake UFC (?)

    Pambano ni Jumapili tarehe 9 April, 2023. 5:00 AM GMT Israel Adesanya aka The Last Stylebender Record: 23-2-0 HEIGHT: 6' 4" WEIGHT: 185 lbs REACH 80" STANCE: Switch DATE OF BIRTH: Jul 22, 1989 NATIONALITY: NIGERIA/NEW ZEALAND Ikumbukwe pambano lililopita UFC 281 Israel Adesanya alipoteza...
  6. JamiiForums Tanzania Tukate mahusiano na Israel kama walivyofanya Afrika ya kusini

    Binafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini. Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu. Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo...
  7. JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel laua Wapalestina 10 huko Ukingo wa Magharibi

    Vikosi vya Israel vimewauwa Wapalestina tisa, wakiwemo watatu waliojihami kwa silaha, raia watatu, na kuwajeruhi wengine zaidi ya 90, katika Ukingo wa Magharibi. Watu walioshuhudia na madaktari wamesema kuwa mauaji hayo yamefanyika katika operesheni iliyoendeshwa kwenye eneo tete, lenye...
  8. JamiiForums Tanzania Israel Defence Forces wakiwa Uturuki kuwaokoa waathirika wa Tetemeko. Nchi zetu za Kiarabu zinasubiri nini? Iran

    Nimeshangaa sana hawa Waisrael ambao hatuishi kuwasema kwa ubaya wamekuwa mstari wa mbele kwenda kuokoa Waarabu wa Uturuki. Pamoja na Ukafir wao. But nashangaa Iran huyu ambaye nampenda sababu anajaribu sana kumsaidia Mrusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amenyamaa tu. Saud Arabia, Iraq,Pakistan...
  9. JamiiForums Tanzania Netanyahu anaangalia uwezekano wa msaada wa kijeshi wa Israel kwa Ukraine

    Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema Jumatano kwamba serikali yake haijaondoa uwezekano msaada wa kijeshi kwa Ukraine. Awali, Israeli ilisisitiza kuwa itatoa msaada wa kibinadamu pekee, ambao nchi hiyo imekuwa ikiutoa kwa Ukraine tangu mwanzoni mwa vita. Kulingana na Netanyahu...
  10. JamiiForums Tanzania Israel: Zaidi ya Watu 80,000 waandamana kupinga Serikali kupunguza Mamlaka ya Mahakama

    Maandamano hayo yamekuja siku chache baada ya Serikali mpya ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kupendekeza Marekebisho yatakayoruhusu Bunge kubatilisha maamuzi yoyote ya Mahakama ya Juu. Wakosoaji wanasema mageuzi hayo yatalemaza Uhuru wa Mahakama, Kustawisha Ufisadi, Kurudisha Nyuma Haki za...
  11. JamiiForums Tanzania Operesheni ThunderBolt: Mkakati wa Kuokoa Mateka wa Israel Entebe - Uganda

    Ni Juni 27, mwaka 1976 majira ya saa 12.30 jioni; ndege ya Airbus A300 inayomilikiwa na shirika la ndege la Ufaransa (Air France) ndege namba AF139 ilipaa kutoka uwanja ndege wa Athens. Ndege hii ilitua katika uwanja Athens ikiwa safarini kutoka Tel Aviv Israel kuelekea Paris Ufaransa. Mpaka...
  12. JamiiForums Tanzania Iran yalia lia na kulaumu Israel kwa masaibu yanayoikumba

    Maandamano yanaendelea Iran ya kupinga dhuluma za dini ya kiislamu, huku serikali ikiua wananchi, ila wakuu wa nchi wanalaumu Israel kwa yale yanayoendelea... ===================== "Various security services, the fake Israeli regime and some Western politicians have planned a civil war...
  13. JamiiForums Tanzania Vifaa made in Israel vyakutwa kwenye Drone za Iran

    Patashika la mbwai iwe mbwai tu... Ukrane imeanza kuzibomoa drone zote ilizoziangusha vitani ambazo zinatumiwa na Russia kuharibu miundo mbinu ya kiraia ambazo zinasemekana zimetengenezwa nchini Iran... baada ya Mvutano mkubwa na Nchi ya Kiislam ya Iran kugoma na kuzikana Drone zake kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya kupigwa mapambano matatu mfululizo, Israel Adesanya aomba warudiane (rematch) kwa mara ya nne

    Baada ya kupigwa katika pambano la tatu mfululizo, Isreael Adesanya hajakubaliana na matokeo. Kaomba liandaliwe pambano lingine dhidi ya mpinzani wake Alex. Izzy anachotafuta ni aibu zaidi, akubali tu kwamba Alex ni level nyingine lasivyo ataharibiwa career yake.
  15. JamiiForums Tanzania Kwisha habari yake: Israel Adesanya apigwa kwa mara ya tatu mfululizo na Alex Perreira

    Alex kamshushia kipigo Israel Adesanya kwa pambano la tatu mfululizo, Katika pambano hili tuliamini kwamba Israel anaenda kulipiza kisasi lakini kilichotokea kapigwa K.O ya aibu sana, kapewa makonde ya kutosha mpaka ikabidi refa amalize pambano, Kwa kuhitimisha ni Kwamba Israel hamuwezi Alex...
  16. JamiiForums Tanzania Nani alimuua Yasser Arrafat?

    Nani alimuua Yasser Arrafat? Novemba 11, 2004 wapalestina walijikusanya vikundi vikundi kuomboleza kifo cha Mohammed Abdel Rahman Abdel Raouf al-Qudwa al-Husseini, al maarufu Yasser Arafat au kunya Abu Ammar. Huyu mwamba alililiwa machozi ya kweli kutokana na kuwaacha wapalestina katika kipindi...
  17. JamiiForums Tanzania Inakuwaje nchi nyingi kubwa za Kiarabu mpaka leo hii zimeshindwa kuiteketeza nchi ndogo kama Israel?

    Hii nchi kwangu inanishangaza sana, Ni ka nchi kadogo lakini manchi mengi makubwa yaliyodhamiria kuifuta kwenye rmani ya dunia hayajaweza mpaka leo. Ni mwendo wa kupigana, Ni sawa na Sungura na Tembo wanapigana kitu ambacho ni kama mazingaombwe. Pia nimesoma historia kadhaa kuona kwamba nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Usalama wa Taifa wa Israel hujulikana tokea wakiwa wadogo, ila nchi zingine wale 'failures' ndiyo 'huajiriwa' huko?

    Kuna nchi Moja (nimeisahau kwa sasa) nimeambiwa recruiting yao kuingia huko ni mpaka uwe na 'Characters' zifuatazo: 1. Failure Academically 2. Ukiwa Msomi basi ujue Kujipendekeza 3. Uwe na God Fathers wengi huko 4. Uwe Mnafiki na Mfitini 5. Uwe Member wa Chama Dola 6. Ujue Kujiroga na Kuroga...
  19. JamiiForums Tanzania Kama tujuavyo Iran ni mnyonge wa Israel, sasa Israel wanaweza kutoa msaada wa suluhu dhidi ya drones

    Israel walikua wamekaa pembeni hawataki kuingia kwenye huu ugomvi, ila baada ya kuona Iran anajikweza kwa drones zake alizotoa kama msaada kwa Urusi ili zitumike kuua watu wa Ukraine, ameanza kutoa matamko na tujuavyo yeye haitakua shida kwake kudungua hizo drones. ================== Israel...
  20. JamiiForums Tanzania Kama mafanikio ya Taifa la Israel kwa sasa kunasababishwa na utukufu wao, Je kipindi walichokuwa wanafeli tuhesabu vipi?

    Habari za muda huu wana JF. Kumekuwa na mtizamo kuhusu Taifa la Israel watu wakisema ni Taifa la Mungu yaani limeshindikana ulianzishwa nao vita hautashinda sawa unashindana na Mungu ,baadhi ya hoja zinazotumika; Amezungukwa na maadui pande zote lakini hawamuwezi kila mipango yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…