iran

  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Muongoza filamu maarufu Iran, Dariush Mehrjui na Mkewe wauawa

    Mkurugenzi maarufu wa filamu nchini Iran pamoja na mke wake wameuawa wakiwa nyumbani kwao nje kidogo ya Mji Mkuu wa nchi hiyo, Tehran. Taarifa kutokea kwenye vyombo vya habari vya nchini Iran zinasema kuwa Dariush Mehrjui (83) na mkewe Vahideh Mohammadifar (54) aliyekuwa Mwandishi wa vitabu na...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani yaipiga chenga Iran, yakiuka makubaliano

    Wiki kadhaa zilizopita Iran na marekani walifikia makubaliano ya kubadilishana wafungwa. Makubaliano hayo yalihusisha kuachiliwa zaidi ya Dolla billion 6 (zaidi ya trillion 12 za kitanzania) , Mali ya Iran ambazo marekani ilizizuia kutokana na vikwazo vyake kwa taifa Hilo kwa ajili ya matumizi...
  3. JamiiForums Tanzania Iran yasema kama Israel hawatavamia, basi HAMAS wataachia mateka, wanaweweseka sana hawa

    Hawa hawa Iran ndio wamekua wakibwatuka maneno mengi na mikwara, leo wanabadilisha gia eti israel ikiacha mipango ya kuvamia basi mateka wataachiwa huru, kitu ambacho HAMAS wamekana na kupishana kauli na mfadhili wao Iran. Ukweli Iran wanajua Israel itavamia na hamna chochote wanachoweza...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mkwara tu, Biden abadili gia angani, Mbona wanapigika?

    Iran amekuwa wazi ya Israeli ni uovu usiokubalika na wao kama nchi hawatakuwa watazamaji. Israel kaamuriwa na baba yake, hakuna kuivamia Gaza isije kuwa taabu Bure! Aachie maji na mafuta haraka kwenda Gaza. Kisha wote wajipange upya. Yasije yakawa makubwa, maana madogo yana nafuu. Kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Iran ikiishambulia Israel Uarabuni wataruhusu maandamano ya kujiunga mkono Israel?

    Iran ndiyo tishio na miongoni mwa madui wa Israel huko Mashariki ya Kati. Israel imevamiwa na kulipa kisasi dhidi ya Palestina kwa siku kadhaa sasa. Nchi za Magharibi zinashutumiwa kuiunga mkono Israel dhidi ya Palestina, lakini kwenye nchi hizo hizo za Magharibi (isipokuwa Ufaransa)...
  6. JamiiForums Tanzania Iran yaiambia Israel isitishe vita haraka kabla haijachelewa

    Kwa mara nyengine viongozi wa Iran wameionya Israel iache unyama wake inaoufanya huko Gaza haraka kabla haijakumbwa na tetemeko la upinzani. Kauli hiyo imetolewa na Iran huku wanamgambo wa Hezbollah wakisema wameshajirayarisha vya kutosha kupigana na Israel muda utakapokuwa sawa. Kundi hilo...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Saudia na Iran wajadili vita na kusema wako pamoja na Palestina

    Mwana mfalame wa Saudia Mohammed Salman na raisi wa Iran Brahimi RAaisi wamezungumza kwa simu kwa mara ya mwanzo hapo juzi na kukubaiana kuiunga mkono Palestina katika madai yao. Mohammad Jamshidi amabaye ni naibu wa masuala ya mambo ya nje aliandika kwenye akaunti yake ya X kuwa mazungumzo...
  8. JamiiForums Tanzania Iran yajitetea na kukana haikuhusika, ila uchunguzi unafanywa, wakae mkao wa kula soon

    Babkubwa la magaidi ya dini limekana halikuhusika kwenye ugaidi wa juzi wa HAMAS ambao umepelekea Israel kujibu kwa nguvu nyingi hadi dunia imechanganyikiwa, wengi tunasema sasa basi, tosha, hadi hapo Israel inapaswa kupunguza kipigo zaidi maana maafa ya Wapalestina kuna namna yanasababisha moyo...
  9. JamiiForums Tanzania A short history of Iran (Hamas financial and artillery supporter)

    Iran was not a Muslim country. Iran i.e. Persia, was Zoroastrian country in 600 BC year. Persians or Parsi people migrated to India (Tatas are Parsi from Persia). Main religion of Iran was Zoroastrian. 1) In 600 BC year, Zoroastrian religion existed in Iran (Persia). 2) In 1 AD year...
  10. JamiiForums Tanzania Taarifa za intelijensia zinaonesha hata Iran walishtukizwa na mashambulizi ya Hamas

    Babkubwa la magaidi Iran linaonekana halikua na taarifa za HAMAS, bado uchunguzi unaendelea kufanyika huku Israel ikiendelea kusambaratisha kila kitu, wakimbizi wamefika 250,000 hadi sasa wamekusanyika wanategemea chakula cha wazungu (UN) =========== WASHINGTON, Oct 11 (Reuters) - Iran likely...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani yaionya Iran kuhusu kinachoendelea Israel, inabidi Iran iendelee kukaa kimya

    Iran inapaswa iendelee kufyata mdomo na isiongee chochote huku mabomu yakishuka Palestina kama mvua. Kuna ripoti zimejitokeza kwamba hata Iran wameshtukizwa kwenye hili shambulio, inaonekana HAMAS hawakushirikisha mabwana zao wao wa kidini na ugaidi. =========== WASHINGTON — President Joe...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani yaipa Ukraine risasi milioni moja walizonyang'anya Iran

    Hizi risasi zitasaidia pakubwa kwenye mapambano dhidi ya mvamizi Urusi. ============== Ukraine has been given the opportunity to replenish military supplies with confiscated ammunition from Iran thanks to a US operation last December. The move comes amid warnings from Ukraine's Western allies...
  13. JamiiForums Tanzania Iran yafanikiwa kurusha chombo kufikia Orbit za dunia

    Marekani imethibitisha na kukubali kuwa kweli Iran imefanikiwa kuingiza satelite yake N3 kufikia orbit ambako huogelea satelite za mataifa mengine yaliyowahi kufanya hivyo. Pamoja na kukubali huko Marekani imesema kitendo hicho cha Iran ni kukiuka maazimia ya vikwanzo kwa nchi hiyo jambo ambalo...
  14. JamiiForums Tanzania Kutambua uwezo wa akili kati ya mtu mweusi na mweupe angalia Korea Kaskazini na Iran dhidi ya Mataifa ya Afrika

    Ukitaka kutambua utofauti wa uwezo wa akili baina ya mtu mweusi na mweupe. Tazama namna North Korea yenye vikwazo chungu nzima, Iran yenye vikwazo chungu nzima dhidi ya mataifa ya kusini mwa jangwa la Sahara usiisahau nchi ya Tanzania. NB: Napo sisitiza kuwa uwezo wa kiakili wa mtu mweupe...
  15. JamiiForums Tanzania Iran imepata kibunda kinono kwa kuwaachia mashushushu wa US

    Kuna nchi ni mahodari sana katika mazungumzo panapokuwa na mzozo na katika kutumia fursa walizonazo.Miongoni mwa nchi hizo ni Iran na Afghanistan. Jumla ya raia watano wa Marekani wameachiwa warudi kwao hapo juzi baada ya Iran kupokea pesa zake zilizozuliwa na Marekani. Pesa hizo ni dola...
  16. JamiiForums Tanzania Iran yakamata meli ya mafuta yenye bendera ya Tanzania kwa madai ya kusafirisha mafuta kwa njia ya magendo

    Iran seizes Tanzania-flagged tanker for alleged oil smuggling Iran has seized two oil tankers allegedly carrying smuggled fuel in the Gulf and arrested their crews, state television announced on Friday. "The Revolutionary Guards naval forces seized two ships over the course of the last two...
  17. JamiiForums Tanzania Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania na Panama yakamatwa Irani kwa magendo ya mafuta

    Serikali ya Iran imetangaza kukamatwa kwa meli iliyosheheni mafuta ya magèndo inayopeperusha benders ya Tanzania. Ni wakati muafaka kufahamu ni nani yupo nyuma ya haya magendo kulinda taswira ya nchi kimataifa na kulinda biashara ya mafuta hapa nchini. --- Iran has seized two oil tankers...
  18. JamiiForums Tanzania KAMIKAZE zimebadili mwenendo wa vita ya Ukraine

    Mnamo mwaka 1976, Mwanamuziki maarufu nchini Kongo Franco Luambo Makiadi aliachia kibao chake "Kamikaze". Kupitia kibao hicho, Franco ameeleza namna alivyovurugwa kimapenzi na binti mrembo "Kamikaze" aliyemsaliti kisha kwenda kuolewa na mwanaume mwingine. Alichukulia kitendo hicho kama uasi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Iran imezipita Ethiopia na Liberia?

    Zote, hasa Ethiopia na Iran, ni nchi kongwe. Zimekuwepo tokea kipindi Biblia inaandikwa. Nchi zote tatu hazikuwahi kutawaliwa na Wazungu. Lakini Iran imezipita zote kwa mambo mengi. Kwa ubabe, imo! Inatunishiana misuli na mataifa makubwa kama Israel na Marekani. Kama ni nguvu ya kiuchumi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia, UAE, Iran, Egypt, Ethiopia na Argentina zakubaliwa kujiunga BRICS

    Sasa BRICS itakuwa na wanachama 11 wenye sifa zifuatazo ● BRICS itakuwa na mataifa 6 kati ya 9 ambayo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi duniani. ● BRICS itakuwa na mataifa ambayo yana 80% ya oil reserve duniani. ● BRICS itakuwa na mataifa yenye jumla ya GDP $30.76 trillion. Asilimia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…