iran

  1. F

    JamiiForums Tanzania Trump atangaza makubaliano ya kuacha vita na Iran, je utakuwa utapeli kama ule wa Gaza?

    Rais Donald Trump ametangaza kuingia mkataba wa amani na Iran. Amefanya hivyo kwenye maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwake? Je, mkataba huu utafuatwa au kuvunjwa kama ilivyokuwa huko Gaza ambapo ni utapeli mtupu au DRC? Je, ni baada ya kushindwa kufikia malengo yake kisiasa au kuchapwa kimya...
  2. JamiiForums Tanzania Iran yawataka raia wa Israel kukaa mbali na kambi za jeshi kwa ajili ya usalama wao. Yasema shambulio la Israel nchini Lebanon haliwez kuachwa ivi ivi

    Niaje waungwana Iran inajiamini sana, ndio maana haiwezi kufanya shambulio bila kutoa taarifa mapema ili kuepusha maafa kwa kina mama na watoto kama Gaza na Lebanon. Ila sasa taarifa hizi za kuwaepusha raia na maafa, hutumiwa na viongozi wa Israel kukimbilia kujificha kwenye bunker ili kuepuka...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi sasa Iran inapendwa dunia nzima ikiwemo Tanzania

    Angalia bungeni
  4. JamiiForums Tanzania UAE yaipa Iran dola bilioni 3, ikakubali kutoa dola bilioni 10 zaidi wasiwashambulie - Reuters

    Wanaukumbi. Falme za Kiarabu tayari zimewasilisha takriban dola bilioni 3 kwa Iran na kukubali kutoa mabilioni zaidi chini ya mpango unaolenga kusimamisha mashambulizi ya Iran dhidi ya taifa la Ghuba ya Uajemi, Reuters iliripoti ikinukuu vyanzo vinne. Vyanzo viwili vya kikanda vilisema UAE...
  5. JamiiForums Tanzania Iran wamesema hakuna makubaliano yeyote yaliyofikiwa kati yake na Marekani makubaliano yoyote lazima yakidhi mahitaji yake ya msingi,

    Wanaukumbi. 🇮🇷 Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekataa madai ya Rais Trump kwamba pande zote zimeidhinisha makubaliano yaliyopendekezwa kati ya Marekani na Iran. Maafisa mjini Tehran walisema: ❌ "Hakuna makubaliano yaliyofikiwa." ❌ "Hakuna mtu aliyekubali makubaliano hayo." Iran inasema...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo vipengele vya Iran vs Marekani

    Baadhi ya vipengele muhimu vya makubaliano hayo ni; Kusitishwa kwa mapigano kwa siku 60 katika nyanja zote, ikiwemo nchini Lebanon. Mlango bahari wa Hormuz kufunguliwa mara moja, bila Iran kutoza ada zaidi kwa meli, na usafirishaji kupitia mlango huo kurudi viwango vya awali kabla ya vita...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Trump Kainua Bendera Nyeupe Kama Kweli Kakubali Masharti Haya ya Iran

    Masharti ni haya yafuatayo 1 Aondoe sunction zote za Iran na aondoe maheshi yake karibu na Iran 2 Wasimamishe vita mpaa Lebanon (mimi naona hapo Israel akijidai mbabe wamwachilie Iran amtie adabu Israel hahaha) 3 Wasingile mambo ya ndani ya Iran 4 Waondoe sunction ya baharini 5 HORMUZ...
  8. JamiiForums Tanzania Trump: Usiku wa leo tunaenda kuishambulia vibaya sana Iran.

    Trump anaenda kujitia kidole cha macho.
  9. JamiiForums Tanzania Kabla ya waislamu kuichukua kinguvu uajemi, je waajemi walikuwa ni watu wa dini ipi?

  10. U

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa Mashariki ya Kati: Marekani yaishambulia upya Iran, na Iran yajibu mapigo!

    Hali si shwari kabisa huko Mashariki ya Kati, hususan kwenye mvutano kati ya Marekani, Israel, na Iran. Kwa wale ambao wamekuwa wakifuatilia, huenda mnajua kuwa kulikuwa na usitishaji vita (ceasefire) wa muda kuanzia mwezi Aprili, lakini mambo yamebadilika ghafla. Usiku huu, mambo haya...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Iran Yatangaza Maofisa Wake Wawili Kuuawa na Mashambulizi ya Israel

    Juzi Iran iliishambulia Israel ikidai ni kutokana na kitendo cha Israel kuendelea Kuwashambulia Hezbollah huko Lebanon. Baada ya shambulio la Iran nchini Israel, Rais Trump alimsihi Netanyahu asijibu mashambulizi ili mazungumzo ya kumaliza vita yasiharibike. Lakini Israel iliishambulia Iran...
  12. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Zimetimu Siku 100

    https://youtu.be/X3fwMLuxl1Y?si=rLRYL_eeUQ-SpxJv
  13. JamiiForums Tanzania Pamoja na Tishio la Iran kwa Israel isiipige Hezboullah magaidi hao wanapigika tu!!

    Baada ya Iran kuishambulia Israel usoku kuamkia leo na IDF kujibu mapigo sawasawa Iran imebwaga manyanya kwa kutangaza haitaishambulia tena Israel kama Israel nayo haitawashambulia magaidi hao!! Ombi hilo la Iran limekataliwa kwa vitendo ambavyo Israel imeendelea kuwashambulia Hezbollah ndani...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kundi la Hezbollah ladaiwa kuanza mashambulizi dhidi ya kambi za jeshi la Israel baada ya Iran kusitisha mapigano

    Ripoti mbalimbali za kimataifa zimedai kuwa ndani ya muda mfupi baada ya kusitishwa kwa mapigano kati ya Iran na Israel, kundi la Hezbollah lilianzisha mashambulizi dhidi ya malengo ya kijeshi ya Israel, hatua iliyoongeza hofu ya kuendelea kwa mvutano katika eneo la Mashariki ya Kati. Kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Iran just launched ballistic missiles directly at Israel

    FOR THE FIRST TIME IN TWO MONTHS. ISRAEL STRUCK BACK INSIDE IRAN WITHIN HOURS. AND AN IRANIAN OFFICIAL JUST SAID THE PEACE DEAL IS "NO LONGER FEASIBLE." --- Here is exactly what happened today: Israel struck a Hezbollah command center in the Dahieh area of Beirut this morning in response to...
  16. JamiiForums Tanzania Israel imeanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Iran muda huu

    Israel inaishambulia Iran muda huu kama kujibu mashumbulizi ya iran ambapo, chombo Cha habari cha Israel cha chanel 14 kimeripoti kuwa milipuko ya mabomu imesikika muda huu nchini Iran katika jiji la Tehran
  17. JamiiForums Tanzania Israel Wameshambulia Beirut Lebanon, Iran walisema Beirut Ikipigwa Watajibu

    Masaa machache yaliyopita Israel imefanya mashambulizi ya nguvu Beirut Lebanon Iran walisema kuwa endapo Israel watashambulia Beirut basi wao Watajibu kwa kushambulia ndani ya Israel. Iran sasa tunasubiri wajibu maana walibweka sana. Israel Kila siku wanashambulia kusini mwa Lebanon...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Trump asema yuko tayari kukutana ana kwa ana na kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei

    BREAKING: TRUMP ASEMA YUKO TAYARI KUKUTANA ANA KWA ANA NA KIONGOZI MKUU WA IRAN AYATOLLAH KHAMENEI. Rais wa Marekani Donald Trump asema yuko tayari kukutana na Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, huku mazungumzo ya kidiplomasia kati ya Washington na Tehran yakiendelea...
  19. JamiiForums Tanzania Tishio la Iran lagonga Mwamba IDF yaendelea na kipondo kwa Magaidi wa Hezbollah huko Lebanon

    Tangu mwendo wa saa 10 asubuhi ya leo, Israel ilishambulia Hezbollah kusini mwa Lebanon kama ifuatavyo: ● Mashambulizi ya angani ya ndege za kivita au ndege zisizo na rubani: Al-Mansouri, Deir al-Zahrani, Choukin, Haris, Kafra, Srifa, Kfar Tebnit, Nabatieh al-Fawqa, Tebnine, Jebchit, Doueir...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Leo hii Trump anaomba kukutana na Ayatollah Mojtaba: Kongole Iran

    Raisi Trump amesema anataka kukutana na Ayatollah Mojtaba ili wayamalize😂.. Aise dunia inaenda kasi, kuanzia tumewavuruga, mpaka kuomba kukutana na Mjuba mwenyewe, tutaona mengi sana. Tulimcheka Mrusi anapelekeshwa na Ukraine. Leo hii supa pawa wa wamarekani wa kwa mtogole anaomba poo🤣 Aibu....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…