iran

  1. B

    JamiiForums Tanzania Iran imedhamiria, waziri wake atua Beirut kibabe

    Hii ni pamoja na makombora anayo vurumisha Israel: Murua kabisa kuwa, haogopwi mtu!
  2. G

    JamiiForums Tanzania Makombora ya Iran yametua Israel bila kipingamizi cha mitambo ya Iron Dome. Je, Israel imefanya makusudi ili ipate backup nzito ya Kuitindua Iran?

    Iran Imerusha makombora mengi yaliyoweza kufikia israel bila kizuizi cha Iron Doma kala ilivyozoeleks, Hakuna watu waliopata maafa kwasababu walijificha kwenye kumbi maalum za kujikinga na mabomu. - Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini naamini Iran Ilikirupuka kuishambulia Israel kwa sababu lemavu?

    Ayatollah na wadau wake walisema sababu ya kurusha makombora ni 1: Kisasi kwa kiongozi wa Hamas aliyeuwawa ndani ya ardhi yake na watu wanaodhaniwa ni waisrael. 2: Kuuwawa kwa kiongozi wa Hesbullah huko Lebanoni. Ukiangalia sababu hizo zote hazina mashiko ukilinganisha sababu za mashambulizi...
  4. JamiiForums Tanzania C.I.A imetangaza ajira kwa Wachina, Korea Kaskazini na Iran

    Tangazo kwa lugha za kichina ,mandarini, korea na kiajemi limewataka watu walio na sifa na walio na siri za yale wanayoyatafuta watume maombi ya kazi ili wafikie msimbo wa website yao. Hii inamaa kuwa CIA sasa inapanua kufikia nchi hizo kama ilivyofanikiwa kwa urusi na hilo ni sera ya kipekee...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Israel kuishambulia Iran leo usiku, Marekani yaja juu

    Kwa mujibu wa tovuti mbali mbali za kimataifa zimesema kuwa kuna uwezekano wa Israel KUISHAMBULIA IRAN leo usiku kama Kujibu shambulio la Iran la apo juzi. Inasemekana Israel tayari umeanza mipango ya kuishambulia Iran leo huku kukiwa na hofu ya Israel KUISHAMBULIA visima vya mafuta vya Iran...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Israel inavyojipanga kujibu mapigo dhidi ya shambulio lililofanywa dhidi yake na Iran

    Shambulio la Iran dhidi ya Israel hapo majuzi lilikuwa la kushangaza. Usikose. Shambulio linalokuja la Israel dhidi ya Iran litakuwa mshangao mkubwa kwa ulimwengu pia. Baraza la mawaziri la usalama la Israeli na wakuu wa ulinzi wanajadili chaguzi kadhaa za kulipiza kisasi dhidi ya Iran 🇮🇷 kwani...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mayahudi wa Iran walazimishwa na Serikali kuomboleza kifo cha hassan nasrallah kiongozi mkuu wa magaidi wa Hezbollah aliyeuawa na Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Iranian Jews compelled to mourn Nasrallah's death amid oppressive climate Oct 1, 2024, 16:43 GMT+1 Updated Oct 2, 2024, 08:01 GMT+1 Jews in Iran are being pressured by the authorities to publicly mourn the death of Hezbollah...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mfahamu kwa picha Brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh Waziri wa ulinzi wa Serikali ya Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Mfahamu kwa picha brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh Waziri wa ulinzi wa Iran.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Rais Biden amsihi sana Netanyau asishambulie vinu vya nyuklia vya iran

    Wadau hamjamboni nyote? Rais Biden amuomba Netanyau asilipue kinu cha nyuklia Iran Soma Pia: Naftali Bennett ataka kinu cha nyuklia na mfumo wa kuzalisha nishati Iran kulipuliwa ====== Biden urges against attack on Iran nuclear sites as Israel mulls payback Remains of a ballistic missile...
  10. JamiiForums Tanzania Wamagharibi wanajadili Hypersonic missiles za Iran! Hawaamini kama anazo!

    Mara baada ya madhara kutokea huko Israel kufuatia mashambulizi ya makombora kutoka Iran,wataalamu wa makombora kutoka magharibi wanatoa sababu mbalimbali. Miongoni mwa sababu hizo ni kutumika kwa makombora ya Hypersonic ambayo mpaka sasa hakuna teknolojia inayoweza kuyatungua! Walikuwa...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza taifa mwanachama UN kumpiga Maarufuku Katibu wa UN , Alipaswa akemea uvamizi wa Iran kwa Israel, Hongera Israel no unafiki

    Katibu wa UN Kama kiongozi wa umoja wa mataifa yote alipaswa akemea hadharani uvamizi wa Iran nchini Israel. Ila naamini Israel wanaweka rekodi sawa ili siku akivamia Iran katibu wa UN usiingize mdomo Pia Israel inaendelea kutengeneza ushahidi wa kuonyesha anavyochokozwa na mataifa mengine na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dakika 5 za mashambulizi ya makombora ya Iran ndani ya Israel!!

    Mods msiunganishe huu Uzi tafadhali ili kuweka mizani sawa ya kile kilichojiri kwenye mashambulizi ya Iran ndani ya Israel, hii ni kuonyesha uhalisia baada ya Israel na vyombo vya habari vya magharibi kudai kua 90% ya makombora yalidunguliwa. Tutazame dakika 5 za maeneo yaliyopigwa,yakijumuisha...
  13. JamiiForums Tanzania Israeli yapima namna ya kujibu mashambulizi yalofanywa na Iran jana, lakini kiuhalisia Israeli haina uwezo wa kushambulia Iran peke yake

    Baada ya Iran kutuma makombora ya Ballisctic jana kaskazini mwa Israeli na kuharibu baadhi ya miundombinu ikiwemo majengo ya idara ya ujasusi ya Mossad, Israeli imekuwa kimya ikifanya vikao vya kupanga namna ya kujibu mapigo. Kwa mujibu wa wachambuzi kadhaa wa masuala ya vita, Iran ilifanikiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Tuwafahamu washirika muhimu wa Israel na Iran duniani

    Washirika muhimu wa haya mataifa mawili hasimu[ Israel na Iran ] hapo mashariki ya kati ambao wapo bega kwa bega nao katika ushirika muhimu wa kiuchumi, kiulinzi na kiushawishi leo tuwafahamu kidogo in case huu uhasimu ukizaa vita kubwa tegemea kuona kishindo kikubwa sana mashariki ya kati...
  15. JamiiForums Tanzania Naftar Benet: Tutaigawa Iran vipande elfu kwa miaka hamsini, jibu letu litakuwa kali na chungu

    Waziri mkuu wa zamani wa Israel Naftari Bennet amesema kuwa zamani Biden alisema acheni kwanza sasa amesema pambaneni tuko nyuma yenu hivyo tunachagua pakuanzia viwanda vya uchimbaji mafuta,nyuklia ,kambi za jeshi au makazi ya viongozi, kutakuwa na machungu makali na vilio. Waziri huyo anayeona...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Iran yatoa onyo kwa nchi za kiarabu zitakazoisaidia Israel kwa namna yoyote dhidi yake

    Waziri wa mambo ya nje wa Iran amezionya nchi za kiarabu zitakazojitia kiherehere kuisiaidia Israel kufanya ugaidi dhidi yake. Bila kuzitaja majina bila shaka Waziri huyo anamaanisha nchi kama Jordan ambazo hata kwenye shambulio la jana ilijifanya kimbelembele kujaribu kutungua makomora ya...
  17. JamiiForums Tanzania Athari za mashambulizi ya makombola ya Iran dhidi ya Israel

    Sulbakheri Tehrani...Shkamooni Dar es salaam......Asalam aleykum Tehran, Baghdad na Syria... Mpaka jioni hii Kwa majira ya Africa Mashariki hakuna tunachoweza kuficha kuhusu athari zilizojitokeza kuhusiana na makombora yaliyofurushwa na iran. Iran ilirusha takribani makombora 180 kuelekea...
  18. JamiiForums Tanzania Iran imetoa orodha ya Magaidi wanaotakiwa kukatwa vichwa

    ⚡️BREAKING: Wizara ya Ujasusi ya Iran imetoa orodha ya magaidi wa Israel wanaotakiwa wakiwa maiti. Just like Israel, now Iran's Intelligence Ministry releases a list of individuals it want to eliminate.
  19. JamiiForums Tanzania Ukifuatilia sana yanayojiri huko Israel, Lebanon, Iran, Palestina, Russia na Ukraine unaweza fikiri Dunia itawaka moto usiku huu na Kuteketea kabisa

    Wakuu, Kichwa cha thread chahusika. Yaani ukijifanya kuwa mfuatiliaji sana wa kinachojiri huko kwa wenzetu unaweza pata wasiwasi na kuhisi dunia itafikia mwisho usiku wa leo. Kumbe maisha yapo tu na yataendelea kuwepo sana. Mwanzoni wakati nasikia Russia ikiwapiga beat Ukraine pamoja na...
  20. JamiiForums Tanzania Al-Jazeera: Kwaashambulizi ya Makombaora ya Jana, Iran Imeua Wapalestina Zaidi Kuliko Wayahudi

    Kwa taarifa rasmi ya Al Jazeera, waathirika wa mtafaruku huu ni Wapalestina. Kumbe Iron Dome inalinda Wayahudi vuzuri sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…