iran

  1. M

    Iran: Makamanda wa US wapo Tel Aviv kuongoza mauaji ya kimbari Gaza

    Kamanda wa Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya ya Jeshi la Iran amesema makamanda wa Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani katika eneo la Asia Magharibi (CENTCOM), na vile vile makamanda wa Kikosi cha Majini cha nchi hiyo wapo Tel Aviv kuwasaidia maafisa wa utawala haramu wa Israel kufanya mauaji ya...
  2. Webabu

    Mstari mwekundu wa Iran umeshavukwa lakini bado wanatii amri

    Tangu jeshi la IDF liweke vifaru vyake pembezoni mwa Gaza ikitishia kuingia ndani ya Gaza kuwasaka Hamas,Iran imekuwa ikitoa maonyo makali kwa Israel isithubutu kufanya hivyo kwani itakuwa ni kuvuka mstari mwekundu katika mzozo huo ikiashiria na wao wataingilia kati kupambana kuwatetea...
  3. MK254

    Rais wa Iran aishia kulalamika kwenye Twitter kwamba Israel wameshavuka mstari mwekundu

    Israel wanaendelea kuvuka mistari yote inayochorwa na Waarabu na Iran, mistari ya blu, nyekundu inafyatua yote.... Rais wa Iran kaambulia kulalamika kwenye mitandao ya kijamii.... Katukanwa sana huko kwenye comments maana Iran ndio ilikua tegemeo la pekee la watu wa hiyo dini...
  4. 2019

    Iran ndio taifa pekee la Uislamu wa ukweli wengine wanafiki tu

    Toka Gaza ikumbwe na mashambulizi ya Israel hakuna nchi ya Kiislamu iliyothubutu kukemea unyanyasaji huyo kwa raia lakini 🇮🇷 imethubutu mara kadhaa kusema huenda ikaingia na kusababisha mzozo kuwa mkubwa zaidi. Saudia iko wap na uwezo wake? Qatar je kwann wasitoe hata vifaa? Misri jirani kabisa...
  5. K

    Iran yaondolewa vikwazo vya uuzaji silaha na UN

    Mnamo tarehe 18 Oktoba, 2023 UN imeondoa vikwazo vya Iran kufanya biashara ya silaha na imeiruhusu Iran iuze silaha yeyote na taifa lolote. Jumamosi ya tarehe 21 Oktoba, 2023 UN ndio imetangaza uamuzi huo ambao ulijadiliwa na kuamuliwa Jumatano. USA aliongeza vilwazo kwa Iran baada ya uamuzi...
  6. Mhaya

    TANZIA Muongoza filamu maarufu Iran, Dariush Mehrjui na Mkewe wauawa

    Mkurugenzi maarufu wa filamu nchini Iran pamoja na mke wake wameuawa wakiwa nyumbani kwao nje kidogo ya Mji Mkuu wa nchi hiyo, Tehran. Taarifa kutokea kwenye vyombo vya habari vya nchini Iran zinasema kuwa Dariush Mehrjui (83) na mkewe Vahideh Mohammadifar (54) aliyekuwa Mwandishi wa vitabu na...
  7. John abruzzi

    Marekani yaipiga chenga Iran, yakiuka makubaliano

    Wiki kadhaa zilizopita Iran na marekani walifikia makubaliano ya kubadilishana wafungwa. Makubaliano hayo yalihusisha kuachiliwa zaidi ya Dolla billion 6 (zaidi ya trillion 12 za kitanzania) , Mali ya Iran ambazo marekani ilizizuia kutokana na vikwazo vyake kwa taifa Hilo kwa ajili ya matumizi...
  8. MK254

    Iran yasema kama Israel hawatavamia, basi HAMAS wataachia mateka, wanaweweseka sana hawa

    Hawa hawa Iran ndio wamekua wakibwatuka maneno mengi na mikwara, leo wanabadilisha gia eti israel ikiacha mipango ya kuvamia basi mateka wataachiwa huru, kitu ambacho HAMAS wamekana na kupishana kauli na mfadhili wao Iran. Ukweli Iran wanajua Israel itavamia na hamna chochote wanachoweza...
  9. B

    Mkwara tu, Biden abadili gia angani, Mbona wanapigika?

    Iran amekuwa wazi ya Israeli ni uovu usiokubalika na wao kama nchi hawatakuwa watazamaji. Israel kaamuriwa na baba yake, hakuna kuivamia Gaza isije kuwa taabu Bure! Aachie maji na mafuta haraka kwenda Gaza. Kisha wote wajipange upya. Yasije yakawa makubwa, maana madogo yana nafuu. Kwamba...
  10. Allen Kilewella

    Iran ikiishambulia Israel Uarabuni wataruhusu maandamano ya kujiunga mkono Israel?

    Iran ndiyo tishio na miongoni mwa madui wa Israel huko Mashariki ya Kati. Israel imevamiwa na kulipa kisasi dhidi ya Palestina kwa siku kadhaa sasa. Nchi za Magharibi zinashutumiwa kuiunga mkono Israel dhidi ya Palestina, lakini kwenye nchi hizo hizo za Magharibi (isipokuwa Ufaransa)...
  11. Webabu

    Iran yaiambia Israel isitishe vita haraka kabla haijachelewa

    Kwa mara nyengine viongozi wa Iran wameionya Israel iache unyama wake inaoufanya huko Gaza haraka kabla haijakumbwa na tetemeko la upinzani. Kauli hiyo imetolewa na Iran huku wanamgambo wa Hezbollah wakisema wameshajirayarisha vya kutosha kupigana na Israel muda utakapokuwa sawa. Kundi hilo...
  12. Webabu

    Viongozi wa Saudia na Iran wajadili vita na kusema wako pamoja na Palestina

    Mwana mfalame wa Saudia Mohammed Salman na raisi wa Iran Brahimi RAaisi wamezungumza kwa simu kwa mara ya mwanzo hapo juzi na kukubaiana kuiunga mkono Palestina katika madai yao. Mohammad Jamshidi amabaye ni naibu wa masuala ya mambo ya nje aliandika kwenye akaunti yake ya X kuwa mazungumzo...
  13. MK254

    Iran yajitetea na kukana haikuhusika, ila uchunguzi unafanywa, wakae mkao wa kula soon

    Babkubwa la magaidi ya dini limekana halikuhusika kwenye ugaidi wa juzi wa HAMAS ambao umepelekea Israel kujibu kwa nguvu nyingi hadi dunia imechanganyikiwa, wengi tunasema sasa basi, tosha, hadi hapo Israel inapaswa kupunguza kipigo zaidi maana maafa ya Wapalestina kuna namna yanasababisha moyo...
  14. Gol D Roger

    A short history of Iran (Hamas financial and artillery supporter)

    Iran was not a Muslim country. Iran i.e. Persia, was Zoroastrian country in 600 BC year. Persians or Parsi people migrated to India (Tatas are Parsi from Persia). Main religion of Iran was Zoroastrian. 1) In 600 BC year, Zoroastrian religion existed in Iran (Persia). 2) In 1 AD year...
  15. MK254

    Taarifa za intelijensia zinaonesha hata Iran walishtukizwa na mashambulizi ya Hamas

    Babkubwa la magaidi Iran linaonekana halikua na taarifa za HAMAS, bado uchunguzi unaendelea kufanyika huku Israel ikiendelea kusambaratisha kila kitu, wakimbizi wamefika 250,000 hadi sasa wamekusanyika wanategemea chakula cha wazungu (UN) =========== WASHINGTON, Oct 11 (Reuters) - Iran likely...
  16. MK254

    Marekani yaionya Iran kuhusu kinachoendelea Israel, inabidi Iran iendelee kukaa kimya

    Iran inapaswa iendelee kufyata mdomo na isiongee chochote huku mabomu yakishuka Palestina kama mvua. Kuna ripoti zimejitokeza kwamba hata Iran wameshtukizwa kwenye hili shambulio, inaonekana HAMAS hawakushirikisha mabwana zao wao wa kidini na ugaidi. =========== WASHINGTON — President Joe...
  17. MK254

    Marekani yaipa Ukraine risasi milioni moja walizonyang'anya Iran

    Hizi risasi zitasaidia pakubwa kwenye mapambano dhidi ya mvamizi Urusi. ============== Ukraine has been given the opportunity to replenish military supplies with confiscated ammunition from Iran thanks to a US operation last December. The move comes amid warnings from Ukraine's Western allies...
  18. Webabu

    Iran yafanikiwa kurusha chombo kufikia Orbit za dunia

    Marekani imethibitisha na kukubali kuwa kweli Iran imefanikiwa kuingiza satelite yake N3 kufikia orbit ambako huogelea satelite za mataifa mengine yaliyowahi kufanya hivyo. Pamoja na kukubali huko Marekani imesema kitendo hicho cha Iran ni kukiuka maazimia ya vikwanzo kwa nchi hiyo jambo ambalo...
  19. Mto Songwe

    Kutambua uwezo wa akili kati ya mtu mweusi na mweupe angalia Korea Kaskazini na Iran dhidi ya Mataifa ya Afrika

    Ukitaka kutambua utofauti wa uwezo wa akili baina ya mtu mweusi na mweupe. Tazama namna North Korea yenye vikwazo chungu nzima, Iran yenye vikwazo chungu nzima dhidi ya mataifa ya kusini mwa jangwa la Sahara usiisahau nchi ya Tanzania. NB: Napo sisitiza kuwa uwezo wa kiakili wa mtu mweupe...
  20. Webabu

    Iran imepata kibunda kinono kwa kuwaachia mashushushu wa US

    Kuna nchi ni mahodari sana katika mazungumzo panapokuwa na mzozo na katika kutumia fursa walizonazo.Miongoni mwa nchi hizo ni Iran na Afghanistan. Jumla ya raia watano wa Marekani wameachiwa warudi kwao hapo juzi baada ya Iran kupokea pesa zake zilizozuliwa na Marekani. Pesa hizo ni dola...
Back
Top Bottom