iran

  1. U

    JamiiForums Tanzania Netanyau kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri usiku huu kwenye makao makuu ya jeshi Kirya, maandalizi ya kuishambulia Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Israel imeamua na haipoi Kuanzia saa 2:30 usiku huu Waziri Mkuu Benjamin Netanyau ataongoza kikao maalumu cha baraza la mawaziri kujadili maandalizi ya kujibu shambulizi la makombora ya Iran hivi karibuni Wajumbe watakaohudhuria kikao cha baraza la mawaziri (usalama)...
  2. USSR

    JamiiForums Tanzania Baada ya mfumo wa ulinzi wa THAAD kufungwa Israel ni bora raia wa iran kuhama nchi yao bila shuruti

    Mfumo wa Arrow 1,2,3 na Iron dome kushindwa kuzuia makombora ya Ballistic ya Iran kwenye anga la Israel na mwishowe baadhi kupenya na kufikia ardhi ya Israel kamati ya vita ya IDF ilikubalina na washirika wake kufunga THAAD ndio kujibu mashambulizi makubwa ndani ya Iran. Jana Rais Joe Biden...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kitendo Cha Israel kufanya Cyber attack kwenye mifumo ya nyuklia na silaha za Iran amewahi control ya silaha anaweza kuwalipua kwa silaha zao

    Kweli vita sio manguvu Ila ni akili alizokujalia Mwenyenzi Mungu unavyozitumia. Kuna tofauti kubwa ya MTU anayegundua Tech mpya na anayesubiri auziwe Tech mpya. Kuna Tofauti ya MTU anayetumia Mfumo na aliyegundua na kutengeneza Mifumo. MTU akikuwahi kwenye control ya mifumo yako kubali tu...
  4. ward41

    JamiiForums Tanzania Israel VS Iran kwenye sekta ya Uchumi

    Iran ina population kubwa ya watu, reserve kubwa ya mafuta, shaba, eneo kubwa lakini wamezidiwa Uchumi na Israel Israel ni nchi ndogo Sana ki eneo na resources ndogo Sana lakini wamefanikiwa pakubwa kwenye kilimo, high tech, kijeshi. Uchumi wao ni GDP 550 billion usd. Uchumi wa Iran ni GDP 450...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka mfumo wa THAAD Israel kuwalinda dhidi ya Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Mambo bado mazito huku maandalizi mazito yanazidi kufanywa. Jeshi la Marekani limeamua kufunga mitambo ya kisasa kabisa ya ulinzi dhidi ya makombora ya masafa marefu huko Israel Yadaiwa ni sehemu tu ya maandalizi ya Israel kuishambulia Iran. Mitambo hiyo aina ya...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Donald Trump ahofia njama za Iran kumuua, aomba ulinzi wa ndege na magari ya kijeshi wiki za mwisho kampeni uchaguzi Mkuu Marekani

    Wadau hamjamboni nyote? Rais Biden asema ameshatoa kibali trump apewe ulinzi sawa na Rais aliyeko madarakani Soma Pia: Marekani yasema Iran ndo ilitaka kumuua Trump Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: October 11...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Iran: Takribani lita milioni 20 hadi 50 za mafuta huuzwa kimagendo nje ya nchi kwa siku, vigogo Serikalini na Jeshi wahusishwa

    Nchini Iran takribani lita milioni 20 hadi 50 za mafuta huuzwa kimagendo nje ya nchi kwa siku, vigogo Serikalini na Jeshi wahusishwa Wadau hamjamboni nyote? Huu ni utafiti kuhusu biashara ya magendo ya mafuta nchini Iran na uhusika wa Viongozi waandamizi kisiasa na kijeshi kufanikisha biashara...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Ndege za jeshi la Israel lashambulia jirani na ubalozi wa Iran Damascus Syria, naibu kamanda kikosi cha Jeshi Quds la iran auawa

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limefanya shambulizi Jirani na ubalozi wa Iran uliopo Damascus Syria na kumuua Jenerali Mohammad Reza Fallahzadeh ambaye ni naibu kamanda kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran Shambulizi hilo lililotokea katika wilaya ya Mezzah huko Damascus, lilisababisha...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mkuu kikosi cha Jeshi la Iran cha Quds apatwa na shambulizi la ghafla la moyo akihojiwa uhusika wake mauaji ya Hassan Nasrallah

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa ambazo hazijathibitishwa - Kamanda huyo Jeshi la Iran Meja Jenerali Esmail Qaani hajaonekana hadharani na hajulikani alipo tokea kuuawa Kwa Kiongozi Mkuu wa Hezbollah hivi karibuni! --- Unconfirmed report: Quds force commander suffers heart attack during...
  10. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Linasubiriwa tukio lolote litokee nchini Iran ili liunganishwe na shambulizi la Israel

    Niaje waungwana, Waungwana najua wengi humu mnashauku kubwa sana ya kutaka kujua ni kwanini Israel mpaka leo tar 10/10 haijaishambulia Iran, licha ya kusema na kuapa kuwa itaishambulia na kuiangamiza Iran from day one ya shambulizi lile la pili la Iran nchini Israel ambalo lililenga shabaha...
  11. Darkish

    JamiiForums Tanzania Israel yaitishia Iran

    Israeli inaonekana kupoteza akili yake ya pamoja. Wanaitishia Iran waziwazi kama "jibu" lao kwa Iran kurusha makombora kwao. Shida ni kwamba, kurushwa kwa makombora ya Iran ILIKUWA ni "jibu" kwa mashambulizi ya Israel! Israeli hawana haki ya "kujibu," wao ndio walianza! Majibu ya Israel kwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Marekani na Israel ni mataifa tofauti yenye baadhi ya siri za pamoja, bila kulijua hilo, Iran au yeyote dhidi yao, ni mfu atembeaye!

    Hili si suala la ushabiki wala kiimani. Uungwana siku zote ni kujitendea haki mwenyewe kwa kuukabili ukweli hata kama ni mchungu. Sote ni wafu watarajiwa na kwa mola tutarejea. Hata ipo tofauti linapokuja suala la kurejeshwa na binadamu wengine, ndiyo maana kelele zinapigwa. Rejea "Operation...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Iran, Hezbollah na wenzao mfano mzuri wa upendo wa Yesu Kristo aliyetufia msalabani

    Nimeguswa kuandika uzi huu kutokana na bandiko ninaloliweka hapo juu. Injili imesheni upendo mkuu usiokuwa na kifani aliokuwa na Yesu Kristo na Mungu baba kutupenda mno sisi hata akamtoa mwanawe wa pekee kuja kutufia ili tusipotee. Yohana 3:16 - 17: "Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda sana...
  14. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Israel yatangaza haitagusa kamwe Nuke sight za Iran ili kuepisha Vita

    Katika kikao cha Leo Benjamini Netanyahu pamoja na majenerali wa Wanamgambo wa Israel wameafiki kushambulia sehemu zingine za Kijeshi za Iran ila kamwe hawatathubutu kugusa Kambi ya Nyuklia ya Iran ili kuepuka kipigo kingine Cha aibu. BREAKING: ISRAEL WILL NOT TARGET NUCLEAR SITES IN IRAN...
  15. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Marekani kulipa fidia kama njia ya kuizuia Israel kuishambulia Iran! Iran yasema ipo tayari kwa lolote!

    Katika hali inayoonekana kama njia ya kupunguza na kuondoa taharuki huko mashariki ya kati, serikali ya Marekani imesema ipo tayari kulipa fidia kutokana na madhara ya mashambulizi ya makombora kutoka Iran wiki iliyopita! On Sunday, Israeli TV channel Kan11 claimed that Washington had offered...
  16. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Israeli yaendelea kukiwasha Lebanon licha ya onyo la Iran

    Jeshi la Israel limesema Jumanne hii limeanza operesheni za ardhini kusini-magharibi mwa Lebanon, likipanua uvamizi wake hadi eneo jipya ikiwa ni mwaka mmoja tangu IDF na Hizbollah waanzishe uhasama wa kubadilishana vichapo. The regional tensions triggered a year ago by Palestinian armed group...
  17. Ritz

    JamiiForums Tanzania Rais Putin amekubali kuuza Su-35 kwa Iran!

    Wanaukumbi. Rais Putin amekubali kuiuzia Iran Su-35s! Marubani 40x wa Iran wanaelekea Urusi kuanza mazoezi ya ndege za kivita za hali ya juu!! Iran inazidi kuwa nchi yenye nguvu kikanda!! kuhusu uuzaji wa ndege za kivita aina ya Su-35 kutoka Urusi hadi Iran, pamoja na mafunzo ya marubani wa...
  18. Jackal

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Mlipuko Watokea Iran Kwenye Mji Wa Isfahan Ambako Kuna Kinu Cha Nyuklia

    Mlipuko Watokea Iran Kwenye Mji Wa Isfahan Ambako Kuna Kinu Cha Nyuklia. Iran wakanusha mji huo kushambuliwa. Mytake: Huenda Mazayuni wameshafanya yao 🤔 --- 🚨Just In - Initial reports of explosions heard near the cities of Isfahan and Tehran in Iran. Iranian media has denied any violation...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Isreal Kakacha Baada ya US kumuambia Hawezi Kupigana na Iran

    Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran yasimamisha safari zote za ndege usiku wa leo

    Jamaa wanaweweseka balaa! Ndege zote kutoka viwanja vya ndege vya Iran zimefutwa kuanzia saa 3 usiku leo hadi saa 12 asubuhi kesho kwa saa za huko, kwa mujibu wa shirika la habari la Mehr la Iran, likinukuu msemaji wa Shirika la Usafiri wa Anga la Iran. Taarifa kwa marubani, au NOTAM...
Back
Top Bottom