iran

  1. A

    JamiiForums Tanzania Haiwezi kutokea hata kidogo urusi ,china , na korea kuingiza raia wao katika vita vya nuclia kisa iran

    Kuna watu wana comment kwa post hii kuwa usa akimpiga iran kwa nuclia sijui urusi, china , korea zitajibu Thubutu hakiwezi kutokea icho zaidi sana ni malalamiko urusi ,china na korea watalaumu usa sio kumshambulia maana katika hawa hakuna ambaye atakuwa tayari kupoteza raia wao pia kwasababu...
  2. JamiiForums Tanzania Sipendi ugaidi wa Iran, ila hiki Trump anataka kufanya leo ni kosa kubwa

    Masaa machache yamesalia kabla Marekani haijapiga mifumo yote ya umeme na madaraja na miundo mbinu mingine, naona Trump anaendelea kutokwa na maneno makali kwamba amedhamiria kufanya kweli. Jameni ifahamike idadi kubwa ya Wairan ni watumwa tu wa hiyo dini na kwamba hawaungi mikono maugaidi yake...
  3. A

    JamiiForums Tanzania America na Israel Wanetangazia Dunia Nzima Iran KawashiNda Vita

    Unapo ona taifa lolote limeanza kupiga Energy Infrastructure, Bridges, kiujumla miundombinu ujuwe limeisha zidiwa au yamezidiwa. Ukifatilia hi vita tokea mwanzo wao wakipiga civilian target Iran anapiga na yeye kulipisha walicho kipiga mfano power station na yeye anapiga vile vile lakini...
  4. JamiiForums Tanzania Iran yaomba wananchi wake wajikusanye kwenye maeneo ambayo Marekani inakusudia kupiga, ili waonewe huruma

    Iran imeishiwa hadi inataka kutumia wananchi kama ngao, namna HAMAS walikua wanafanya.... The post came hours before an Iranian official urged young people to form human chains around the country’s power plants as fears mounted over possible US strikes on civilian infrastructure. Pezeshkian...
  5. JamiiForums Tanzania Iran imetoa wito raia walale kwenye vituo vya Umeme na Madaraja ili kuvilinda

    Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinatoa wito kwa umma kuunda ngao za kibinadamu(Human-Shield) kuzunguka vituo vya umeme na miundombinu mingine muhimu ili kuzuia Marekani na Israeli kushambulia maeneo hayo. Hata waislamu wanajua kwamba Amerika na Israeli ni watu wenye utu zaidi kuliko...
  6. M

    JamiiForums Tanzania KASHESHE: Trump awaka! Marekani ilituma silaha kuwasaidia waandamanaji wa Iran, lakini 'wajanja' wamezidhulumu katikati!

    Huko Mashariki ya Kati mambo yanazidi kupamba moto katika huu mgogoro unaoendelea kati ya Marekani, Israel na Iran. Lakini safari hii, kuna sarakasi mpya imeibuka ambayo inaacha maswali mengi kuliko majibu, na inamuhusisha moja kwa moja Rais wa Marekani, Donald Trump. Kwa mujibu wa ripoti mpya...
  7. JamiiForums Tanzania Trump amekiri rasmi kwamba hakuna mshirika wake aliyejitokeza kumsaidia dhidi ya Iran

    Wanaukumbi. Trump amekiri rasmi kwamba hakuna mshirika wake aliyejitokeza kumsaidia dhidi ya Iran 😭 Kwa mujibu wake, ametengwa kimataifa sasa. Yeye mwenyewe alitoa orodha hii 👇 🇰🇷 Korea Kusini haikumsaidia 🇯🇵 Japani haikumsaidia 🇦🇺 Australia haikumsaidia 🇦🇱 Albania haikumsaidia 🇧🇪...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Binafsi niwapongeze Pro Iran wanafanya kazi ngumu sana kutetea Iran ambayo hata intelligence inashindwa kulinda mkuu wa Intelligence

    Kiukweli Iran imewangusha sana wafuasi wake kote duniani Kwa aibu kubwa aliyoipata ya kushindwa kulinda viongozi wao Wanazidiwa hadi na mchwa wanaolinda Malkia wao Kwa gharama kubwa Pili intelligence Yao imeonyesha udhaifu mkubwa Hongereni sana team Iran mmeamua kufa na tai shingoni msife...
  9. J

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Rubani wa Marekani aliyekamatwa Iran, akihojiwa

  10. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika ni nyani tunaoelekea kuwa binadamu. Kama unabisha Tazama vita ya Israel na Iran

    Israel ni taifa dogo sana sawa na mkoa wa Morogoro kila siku wanarusha ndege kwenda Iran na Wanarudi, Kila siku makombora yanaanguka kwenye miji yao lakini umeme, maji, mafuta na huduma zote za kijamii haziathiriki. Tanzania na Waafrika tuna mataifa makubwa yanakila kitu lakini hata vyanzo vya...
  11. JamiiForums Tanzania Iran yakataa usitishaji vita wa muda uliopendekezwa na wapatanishi wa Pakistan

    Wanaukumbi. 🇺🇸🇮🇷 Iran yakataa usitishaji vita wa muda uliopendekezwa na wapatanishi wa Pakistan Afisa wa ngazi ya juu wa Iran alisema Tehran haitafungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz kwa kubadilishana na usitishaji mapigano kwa muda na anaamini kwamba Marekani "haina utayari wa kusitisha...
  12. JamiiForums Tanzania Wakristo mnaoishangilia Israeli inapoipiga Iran, mnakosea sana

    Wakristo wengi wamekuwa wakishangilia maumivu, vita na vifo vinavyosababishwa na majeshi ya Israeli, kwa kisingizio cha kuiunga mkono au kulibariki taifa la Israeli. Je, msimamo huo unaendana na mafundisho ya Yesu Kristo? Karibu tudadavue jibu la swali hilo kwa pamoja. Kwanza kabisa, Yesu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kama Kulivyo Kupotea kwa Utawala wa Kiayatollah Iran, ndivyo Inaelekea Kupotea kwa Ufalme wa Uingereza

    Nimezungumza humu JF kuhusu Serikali kupiga Marufuku Dini. Basis kubwa ya dai hilo ni Unabii wa Biblia tafadhali soma Ufunuo Sura 17. Sura hiyo kwa lugha ya mfano inamtambulisha mwanamke kahaba na pia inamtaja kuwa ni Babilon Mkuu (kitovu cha mafundisho ya uongo yanayokinzana na Mungu). Ingawa...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya ushindi wa kuokoa rubani, Trump aingiwa na mzuka na kutukana na kusema anaipa Iran hadi jumanne

    Jamaa amechafukwa, ameingiwa na mzuka anatukana na kutoa onyo kama kesho jumatatu itapita bila Iran kuachia mfereji, ataangusha humo mavitu ambayo mpaka leo Iran hawajawahi kuyaona, nchi itakua kiza tupu kote, atapiga umeme na madaraja yote na kurudisha Iran mbali............ Warning: The below...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanza biashara ya mafuta kipindi hiki cha mzozo wa Iran vs Israeli-Marekani

    Pipa moja la mafuta ghafi linauzwa $70 hadi $90 linakua na ujazo wa lita 159. ukienda kusafisha crude oil unapata petrol, diesel, kerosine, gas na lami. hivi vitu vyote ukivipima ujazo wake unafika lita 170 maana ujazo una expand garama za kusafisha ni $1 kwa lita, cha kuganya ili kumaximize...
  16. JamiiForums Tanzania Hii vita ya Marekani na Washirika wake dhidi ya Iran ndio imeonyesha siasa ni unafiki duniani kote

    Ukiziondoa nchi Kama Spain,India,Brazil na South Africa ambazo zimejitenga na uongo na unafiki wa dunia. Nchi nyingi duniani zimeonyesha unafiki na mnafiki mkuu wa hii duniani ni Marekani. Imagine nchi inayoitwa ya kidemocrasia baba wa democracy mpaka Sasa vita mwezi kafukuza majenerali 8...
  17. JamiiForums Tanzania Operation ya uokozi ya Mareka & Israel huko Iran!!!

    Maelezo kuhusu operesheni ya uokoaji kulingana na vyombo vya habari vya Marekani na Iran: Rubani wa Marekani alijificha kwenye kilima kilichoinuliwa katika eneo la milimani na misitu ambapo alitua. Alitembea kwa miguu mbali na mahali aliposhuka kwa parachuti kisha akawasha Signal ya kuonyesha...
  18. JamiiForums Tanzania Yote 9 Jicho langu likamuangukia Iran

    Wakuu mchuano wa world cup unavutia unapoona iran anakipiga jirani na nchi hasimu si mchezo
  19. H

    JamiiForums Tanzania Uokozi wa Afisa wa Silaha wa USA wa Ndege Iliyodunguliwa, Iran Yafanya Makosa Makubwa, na Kusababisha Vifo vya Raia

    Baada ya ndege ya Marekani F-15E kudunguliwa na Iran, na rubani na mtaalam wa silaha kutoka ndani ya ndege kabla haijadondoka chini, pande zote mbili, Iran na Marekani zilianza kuwasaka manusura. Ni Marekani ndiyo ilipata mafanikio ya awali yaliyowezesha kumwokoa rubani. Huku mtaalam wa silaha...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ni aibu sasa, US wameingia Iran na kumuokoa rubani wa pili

    Yaani kama movie vile, marubani wote wawili wameokolewa ndani ya ardhi ya Iran, hainingii akilini kwamba makobaz wamechapika kiasi cha kushindwa hata kujishikia hao marubani wawili. Hata hivyo Marekani mbona walitumia ndege ya F-15 ambayo ni non-stealth mode, kwa sasa waendelee kupiga kwa F-35...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…