ipi

The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Swali: Ni timu ya nchi gani inayoimba wimbo wao wa Taifa kwa HAMASA kubwa? Na ipi haiimbi kwa hamasa?

    Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uzalendo na hamasa ya kuimba wimbo wa Taifa, na kati ya kujiamini na kuimba wimbo wa Taifa. Je ni timu ipi inaimba wimbo wake wa Taifa kwa hamasa kubwa? Nadhani huiyo inaweza kuwasaidia kubeba kombe la dunia! Kwa maoni yangu Ureno ina hamasa kubwa sana katika...
  2. K

    Kazi za Rais na Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni zipi?

    Kwa wale wabobezi wa jinsi Serikali ya JMT inavyofanya kazi mnaweza kutusaidia kutuelezea job descriptions za Rais na Mawaziri wake. Na ikiwapendeza mnaweza kuongezea na zile za Wakuu wa Mikoa na Wilaya zetu. Nauliza hivi ili tusiyojua, tujue ni nani tumpongeze au tumlaumu punde viongozi hawa...
  3. Uzi maalumu kuweka matokeo na msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara

    Naomba uzi huu tupeane matokeo ya ligi kuu pamoja na msimamo ulivyo kadri siku zinavyokwenda. Hapa jukwaani matokeo ya mechi za Simba na Yanga huwa yanakuwa mubashara lakini mechi nyingine inakuwa tabu kufahamu matokeo na msimamo wa ligi. Karibu tupeane taarifa.
  4. Ni Miaka ipi Watanzania mlikuwa mnapata vitu bure? Kwa mujibu wa Rais Samia

    Watu mna siri.... Nimeumia sana. Kumbe kuna kipindi mlikuwa mnapata vitu vya bure hata sisi wengine hamkutuambia? Ni miaka gani hiyo bandugu? Sisi tuliozaliwa early 70s nadhani hilo neno halituhusu. Maana sikumbuki mimi ni vitu gani tulipewa bure na sasa tunatakiwa kulipia. Sikumbuki kabisa...
  5. Ni ipi tafsiri ya picha hii?

  6. C

    Kuna Siku Itafika Kazi Zitakua Nyingi Hutajua Uchague Ipi

    Aaaa
  7. Hotel nzuri Ruaha National Park ni ipi?

    Wakuu, Msaada wenu naomba kujua hotel nzuri yenye view Kali, yenye kila kitu naweza nipate namba za Simu jina na maelezo ya ziada nahitaji kwenda kuanzia Dec 15 mpk 20 kabla ya kwenda kuhesabiwa Asante.
  8. Ushauri nichukue ipi kati ya Onkyo,marantz,Denon na Harman kardon

    Sony home theater bado haijakata kiu yangu katika ulimwengu wa muziki.nataka niruke na moja kati ya hizi music system Onkyo,Klipsch, marantz,Denon na Harman kardon. Nichukue brand ipi iwe alpha na Omega . NB:kwa ajili ya music tu sio movies
  9. M

    Mnaposema Dar es Salaam itapata maji 100% ni ipi hiyo? Ile ya Mabwanyenye wa CCM na washirika wao? Vipi madongo poromoka kama Buza na Mbagala?

    Nina hakika mtandao maji ya Dawasa haujtandaa Dar yote. Ni baadhi ya maeneo tu ndio kuna mtanado huo Sasa hao wanaokaaa madongo poromoka mnawafikiria vipi na wao? Mtakuwa mnajaza waterbowser na kuwapelekea? Ndiyo kusema mnaposema Dar mna maanisha mnapooshi nyie mabwanyenye?
  10. Mbegu zipi za mahindi za DK zinafanya vizuri?

    Wanajamii habari zenu wote. Polen wadau kwa Mihangaiko za hapa na pale, Ndugu zangu najua huku kuna wakulima wazuri japo wapo pia paper farmers lakini najua mkulima wakweli akitoa ushauri huwa tunamwelewa kwasababu huwa anatoa uhalisia wa mambo ambapo hata msomaji anarithika kabisa. Ndugu...
  11. Wavuta sigara tukutane hapa: unapenda sigara ipi, unapenda kuvutia mazingira yapi na una lipi la ziada ?

    hamuwezi kuamini hata rafiki zangu wa karibu na ndugu mpaka leo hawajui kama navuta 😂😂 nikiwa maeneo ya karibu na home napenda kuvuta kwa kujificha ila nikiwa mitaa ya mbali au nje ya mkoa naweza kuvuta wazi. Binafsi nimevuta sigara za aina nyingi kuanzia embassy, club, spoti, nyota, winston...
  12. Kibongobongo biashara ipi rahisi kutoka? Uzalishaji, Uchuuzi au Udalali?

    Howdy, Wakuu hivi tuseme ule ukweli, kibongobongo ni aina ya biashara ipi rahisi kutusua kati ya uzalishaji, uchuuzi(ulanguzi) au udalali? By kutusua simaanishi Levo za kina Mo na bakhresa. Namaanisha zile level za kujisustain middle income, nyumba kali ila sio mansion, ndinga kali ila siyo...
  13. Ni sahihi kuvaa jeans na raba Kanisani?

    Habarini. Ni sahihi kuvaa kofia, yaani cap church? wengi tunafahamu kuwa si sawa. Sasa vipi kuvaa jinsi na raba na tisheti church, ni sawa?
  14. Bei ya engineering compass ni ipi?

    Za muda huu? Engineering compass kwa ajili ya technical drawings ni bei gani? Nawasilisha.
  15. Ipi tofauti ya kumegwa kwa Crimea & Co na kumegwa kwa Kossovo?

    Wajuvi karibuni na wanahistoria tupate elimu. Historia ya kumegwa Kosovo toka Serbia kwa msaada wa NATO na kumegwa kwa CRIMEA&Co(Luhansk,Donetsk,Donbass) kwa msaada wa Urussi.Je umegaji upi ni sahihi na upi ulikuwa Si sahihi?, kwa hoja zipi?. Ya Ukraine tunayajua, turejee ya Serbia na Kossovo...
  16. Ipi simu nzuri kati ya iPhone 8 plus, iPhone X, iPhone XR, iPhone XS, iPhone SE na iPhone 11?

    Wakuu nahitaji kununua simu brand ya iPhone, kiukweli nimetarget kwenye efficiency ya camera, mana nafanya biashara mtandaoni so nahtaji simu yenye camera nzuri kwa picha na hata video. Kwa wale waliowahi kutumia hizi simu ipi ipo bora zaidi kati ya hizo nilizozitaja? Japo naona zote MP 12 ila...
  17. Nawapongeza wasabato kwa kanisa lao kutovuma kwa skendo na drama

    - Kila siku hujisomea somo la wiki, ikifika jumamosi wanakusanyika kwa masaa takribani mawili kwenye vikundi vidogo kufundishana waliyojifunza na baada ya hapo ndio huingia wote kanisani kwenye ibada, hii ni nzuri kuzidi kukaa wiki nzima hujajifunza chochote kwenye biblia unasubiri tu ifike...
  18. Nafasi ipi ni ngumu kuicheza katika soka?

    Me nafikiri ni nafasi ya kiungo mkabaji. Imagine unatakiwa ukabe, ufanye interception, ufanye blocking, tackling na bado uanzishe mashambulizi kwenda langoni kwa mpinzani wako. Ukizubaa ndio timu inaelemewa. Kwa upande wako ni nafasi/namba gani ni ngumu kuicheza kwenye football?
  19. Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (Tucta), Tumaini Nyamhokya, waliokumbwa na vyeti feki wanalipwa kwa formular ipi?

    Wakati Rais Samia anatangaza kuongeza watumishi mishahara kwa 23% wengi walifurahia ila mwishoni wengi waliambulia Tsh 12,000 kwenye mishahara yao baada ya kukatwa kodi. Sasa hii ya watumishi wenye kesi ya Jinai ya kufoji vyeti kulipwa mafao yao wafafanulie ni kiasi gani wanalipwa Ili...
  20. Kauli ya Rais ambayo ni sheria ni ipi?

    Kila siku huwa tunaambiwa na wapenda mamlaka ya Rais kwamba "Kauli ya Rais ni Sheria".. Hivi kauli ya Rais ili iwe sheria inatakiwa iwe na vigezo vipi ama kila akisemacho Rais ni sheria!!??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…