BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,376
- 8,118
Leo Jumatatu Septemba 12, saa 2 Usiku, watumiaji wote wa iPhone 8 mpaka iPhone 14 wameanza kupata mfumo mpya wa iOS 16.
iOS 16 ni mfumo mpya wa iPhone za mwaka huu, na mwaka jana ilikuwa ni iOS 15.
๐๐๐ฎ ๐๐ณ๐๐ฝ๐ถ ๐ถ๐ข๐ฆ ๐ญ๐ฒ ๐ถ๐ป๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฑ๐ถ๐น๐ถ๐ธ๐ผ ๐๐ฎ๐ณ๐๐ฎ๐๐ฎ๐๐ผ:
๐ Mwonekano mpya
๐ Sehemu ya Lock Screen itakuwa na uwezo wa kubadilika kuendana na mtumiaji anavyotaka katika design mbalimbali. Kwa mara ya kwanza Apple inaweka option ya kubadilisha aina ya fonts za saa ya Lock Screen, unaweza kuweka emoji, weather na map kuwa wallpaper.
๐ Sehemu ya Lock Screen itakuwa inaonyesha Widgets
๐ Watumiaji watakuwa na uwezo wa kutengeneza Folder ya picha ambayo ipo shared kwa mtumiaji zaidi ya mmoja. Mfano folder ya familia
๐ iMessage ina uwezo wa ku-edit message
๐ iMessage ina uwezo wa kufuta message ambayo umeituma
๐ App ya Email ina uwezo wa kufuta email ambayo umeituma na kuchagua itume email muda ambao unataka wewe (schedule send)
๐ iOS 16 ina mfumo mpya wa Passkeys. Hii itasaidia kuingia katika website na akaunti zako bila kulazimika kutumia password
๐ Photo app ina uwezo wa kutengeneza PNG, unaweza ku-copy sehemu ya picha na inaweza kutambua watu na wanyama. Hivyo unaweza ku copy mtu katika picha bila kuchukua details za piembeni
๐ App ya Health ina sehemu ya kuweka kumbukumbu ya kukusaidia kukumbusha kumeza dawa - Medications.
๐ Ina uwezo wa kusoma vibao, kubadili currencies, na ina uwezo wa kusoma texts kwa watu wasioweza kuona.
๐ Mabadiliko mapya katika apps za Maps, Stocks, FaceTime na apps zote za iPhone.
Na mabadiliko mengi ambayo mengine sijayaweka hapa kwa sababu ni ya kawaida.
Tayari imetoka, jinsi ya kucheck nenda katika sehemu ya
Settings > General > Software Update
kisha utafuata maelekezo.