Kwa hapa Tanzania simu za Iphone ni za wasichana, tena waliotoka familia maskini

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,124
Hi gentlemen!
Hii kasi ya wadada wauza bar almaarufu barmaid, wadada wanaofanya kazi kwa Wahindi, wadada wanaofanya kazi za uwakala wa mitandao ya fedha, wadada wa saloon n k kumiliki simu za Iphone imekuwa kubwa sana.
Hizi simu za Iphone hapa Tanzania ni za wadada, hasa wale wanaopenda maisha ya kuigiza au kuiga.

Binti mmoja alikuwa field kazini kwetu, yaani kale kaposho kake kabana ili tu anunue iphone. Nilimuhurumia sana maana kwa hali ile akitokea mkaka amemwonyesha surprise hata ya Iphone 5, 6 au 7 atampa mpaka kwa mparange. Nikaamua nimpe free of charge 150000 aongezee atimize maono yake.
 
Mwanaume mzima unafuatilia mambo ya watu. Huyu avae vile, anatakiwa amiliki kile.
Huo muda wa kufuatilia mambo ya watu unaupata wapi?
Mimi hata tukisalimiana na mtu halafu baada ya dakika 10 ukiniuliza umevaaje hata sikumbuki maana nina vitu vingi sana natakiwa kufanya.
Bado una mambo ya kiswahili sana mtoa uzi. Acha kufuatilia maisha ya watu, utaishi kwa amani na furaha sana. Unajaza hasira na uso kukakamaa kwasbb ya mambo ya watu.
Amiliki asimiliki iPhone. Imekusaidia nini katika maisha yako?
 
Hi gentlemen!
Hii kasi ya wadada wauza bar almaarufu barmaid, wadada wanaofanya kazi kwa Wahindi, wadada wanaofanya kazi za uwakala wa mitandao ya fedha, wadada wa soloon n k kumiliki simu za Iphone imekuwa kubwa sana.
Hizi simu za Iphone hapa Tanzania ni za wadada, hasa wale wanaopenda maisha ya kuigiza au kuiga.
Binti mmoja alikuwa field kazini kwetu, yaani kale kaposho kake kabana ili tu anunue iphone. Nilimuhurumia sana maana kwa hali ile akitokea mkaka amemwonyesha surprise hata ya Iphone 5, 6 au 7 atampa mpaka kwa mparange. Nikaamua nimpe free of charge 150000 aongezee atimize maono yake.
Yaani sasa nikimwona mkaka ana iphone namwona kama shoga fulani hivi. Samahani.
Iphone mbona sio sim ya gharama kwa sasa laki3 4 au 5 unazipata used madukani. Pia kuna iphone feki siku hizi
Binafsi siwezi kabisa kutumia iphone sababu nahitaji uhuru
 
Hi gentlemen!
Hii kasi ya wadada wauza bar almaarufu barmaid, wadada wanaofanya kazi kwa Wahindi, wadada wanaofanya kazi za uwakala wa mitandao ya fedha, wadada wa soloon n k kumiliki simu za Iphone imekuwa kubwa sana.
Hizi simu za Iphone hapa Tanzania ni za wadada, hasa wale wanaopenda maisha ya kuigiza au kuiga.
Binti mmoja alikuwa field kazini kwetu, yaani kale kaposho kake kabana ili tu anunue iphone. Nilimuhurumia sana maana kwa hali ile akitokea mkaka amemwonyesha surprise hata ya Iphone 5, 6 au 7 atampa mpaka kwa mparange. Nikaamua nimpe free of charge 150000 aongezee atimize maono yake.
Yaani sasa nikimwona mkaka ana iphone namwona kama shoga fulani hivi. Samahani.
Tafuta pesa
 
Kuna demu ana iphone kali kichizi halafu mimi nnakiswaswandu eti analia anadaiwa elfu 30 nimsaidie ajabu hata vocha iana anategemea nimpe nkatemana nae kumbe ndo katoka chuo siku si nyingi hayajui maisha ya kitaa
 
Tamaa mbaya.
Mwisho wa picha ni mimba na baba anakimbia
 
Back
Top Bottom