Wakuu niliambiwa TTCL Wana bundle mrua la data, nikaona isiwe tabu nikatafuta laini ya TTCL , cha ajabu Kwanza sjui hawana menu Wana application ya kujiunga na vifurushi na penyewe lazma uwe online
Application haina sehemu ya huduma Kwa wateja , ina mana kama huna kifurush cha data applctn...