Ajira ya online: Unaweza kuandika Kiingereza, unayo laptop au computer na unayo access ya internet?

Android

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
970
1,207
Utangulizi
Ni kampuni ndogo ya IT inayojishughulisha na ku manage website na ku manage kurasa za mitandao ya kijamii ya makampuni na watu binafsi, hivyo tunahitaji kuongeza watu zaidi kwenye timu yetu kwa ajili ya kutusaidia shughuli za kila siku.

Ajira
Wanahitajika watu wanne kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye timu yetu, kwa shughuli za website na kurasa za mitandao ya kijamii tunayoisimamia.

Vigezo
-Awe na uwezo wa kuandika kingereza (Kama huwezi kuandika kingereza usiombe)
-Awe na laptop au computer na awe na uwezo wa kuvitumia
-Awe na access ya internet (kama huna hivi vitu usiombe)
-Uwe na uelewa na mitandao ya kijamii
-Ukiwa na laptop utapewa kipaumbele, yaani ni sifa ya ziada.

Elimu
-Elimu ni kuanzia kidato cha nne na kuendelea
-Sio lazima uwe umesomea IT

Majukumu
-Kushare website kwenye mtandao ya kijamii kwa ajili ya kuleta traffic
-Kupost makala au habari kwenye website
-Kusaidia kusimamia website au kurasa za mitandao ya kijamii
-Awe tayari kufanya kazi usiku na hadi muda wa ziada jumapili au sikukuku
-Usiwe na kazi nyingine maana hi kazi itakuhitaji 50% ya muda wako wa siku

Malipo
Kwa kuanzia Malipo yatakua ni Tsh50,000/= kwa wiki au 200,000/= kwa mwezi. Ukifanya kazi vizuri na ukiwa na bidii malipo yataongezeka hadi Tsh 70,000/= kwa wiki au zaidi, au 300,000/= kwa mwezi au zaidi..

Mengineyo
-Utapatiwa bando la Tsh 5,000/ kwa wiki au Tsh 30,000 kwa mwezi
-kutakua na training ya wiki moja usipofuzu training hutaajiriwa

Location
-Awe mkazi wa Dar es salaam

Mazingira ya kazi
-Utafanyia kazi asilimia 60 nyumbani utaonana na msimamizi wako mara 2 kwa wiki kwa ajili ya maelekezo na ukaguzi wa kazi
-Usiwe na kazi nyingine maana hii kazi itakuhitaji 50% ya muda wako wa siku

Namna ya kutuma maombi
Tuma maombi kwa email hisabati@gmail.com ukiambatanisha taarifa zako na namba za simu

Mwisho wa kutuma maombi
Watakaomba wa kwanza kupewa kipaumbele.
Mwisho wa kupokea maombi ni Jumatano tarehe 18/3/2020.
 
Kwa yeyote atakeomba hii kazi: Ukiambiwa lipia ada au fedha yoyote usikubali. Siku hizi kuna matapeli sana.
Utasema nimepaniki mbona unachafua uzi wangu??!! Nasisitiza na ikitokea kuna mtu ataombwa pesa kwa ajira hii alete mrejesho kwenye huu uzi kwa kukomenti akiwa na ushahidi!
 
Sijachafua ila nimetoa angalizo. Kama wewe hutaomba fedha yeyote huna sababu ya kushtuka. Waombaji ni wengi na utapata wanaohitaji kazi.
 
Nilijua tu utaongea haya mara nimeshtuka au sijui kupaniki, ulitaka nisikujibu ndio uridhike?
Kuchafua uzi unahamisha mjadala kutoka kwenye mada husika kwenda kwenye mada ingine, ni vile hujui tu inavyokera.

Najua una lengo zuri na kama una lengo zuri ni vizuri ukafungua uzi unaojitegema ukawaasa vijana kuhusu hilo, na sio kuchafua uzi ukawavunja moyo vijana kuomba na pia kuniharibia maana ya tangazo langu.

Ni vile hujui tu inavyokera.kuhamisha mjadala kutoka kwenye mada husika kwenda kwenye mada ingine!!
 
Utangulizi
Ni kampuni ndogo ya IT inayojishughulisha na ku manage website na ku manage kurasa za mitandao ya kijamii ya makampuni na watu binafsi, hivyo tunahitaji kuongeza watu zaidi kwenye timu yetu kwa ajili ya kutusaidia shughuli za kila siku.

Ajira
Wanahitajika watu wanne kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye timu yetu, kwa shughuli za website na kurasa za mitandao ya kijamii tunayoisimamia.

Vigezo
-Awe na uwezo wa kuandika kingereza (Kama huwezi kuandika kingereza usiombe)
-Awe na laptop au computer na awe na uwezo wa kuvitumia
-Awe na access ya internet (kama huna hivi vitu usiombe)
-Uwe na uelewa na mitandao ya kijamii
-Ukiwa na laptop utapewa kipaumbele, yaani ni sifa ya ziada.

Elimu
-Elimu ni kuanzia kidato cha nne na kuendelea
-Sio lazima uwe umesomea IT

Majukumu
-Kushare website kwenye mtandao ya kijamii kwa ajili ya kuleta traffic
-Kupost makala au habari kwenye website
-Kusaidia kusimamia website au kurasa za mitandao ya kijamii
-Awe tayari kufanya kazi usiku na hadi muda wa ziada jumapili au sikukuku
-Usiwe na kazi nyingine maana hi kazi itakuhitaji 50% ya muda wako wa siku

Malipo
Kwa kuanzia Malipo yatakua ni Tsh50,000/= kwa wiki au 200,000/= kwa mwezi. Ukifanya kazi vizuri na ukiwa na bidii malipo yataongezeka hadi Tsh 70,000/= kwa wiki au zaidi, au 300,000/= kwa mwezi au zaidi..

Mengineyo
-Utapatiwa bando la Tsh 5,000/ kwa wiki au Tsh 30,000 kwa mwezi
-kutakua na training ya wiki moja usipofuzu training hutaajiriwa

Location
-Awe mkazi wa Dar es salaam

Mazingira ya kazi
-Utafanyia kazi asilimia 60 nyumbani utaonana na msimamizi wako mara 2 kwa wiki kwa ajili ya maelekezo na ukaguzi wa kazi
-Usiwe na kazi nyingine maana hii kazi itakuhitaji 50% ya muda wako wa siku

Namna ya kutuma maombi
Tuma maombi kwa email hisabati@gmail.com ukiambatanisha taarifa zako na namba za simu

Mwisho wa kutuma maombi
Watakaomba wa kwanza kupewa kipaumbele.
Mwisho wa kupokea maombi ni Jumatano tarehe 18/3/2020.
Sina laptop ila hivo vingine NAWEZA vizuri tu
 
Sifa zote ninazo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom