internet

  1. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Je, Halotel Unlimited Internet ya 50,000 kwa mwezi ni nzuri?

    Kuna mtu kaniambia kuna halotel unlimited ila ikipita gb 24 inapungua spidi, je hiyo spidi ipoje baada ya 24gb.
  2. comte

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya internet imeyumba na kukwamisha mambo mengi Duniani leo Ijumaa Julai 19, 2024

    A major technology outage grounded flights, hampered public transit systems and disrupted operations at banks and hospitals around the globe Friday in an incident a cybersecurity firm blamed on a faulty system update. CrowdStrike, a U.S. firm that advertises being used by over half of Fortune...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, Hii Speed ya Internet ni nzuri?

    Wataalam. Ninatumia hii router ya Airtel 5G, sasa kwa hapa nyumbani nikirun test inanipa hizi download na upload speed: Je, ni speed nzuri? Nimelipia ile ya Elfu 70. Nikirun speed uwa inakuja 10Mbps hadi 15Mbps. Kwa YouTube 720p kwenye TV inaenda vizuri, buffering mara chache especially...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa pili sasa Na enjoy Dstv bure mahali popote kwa kutumia internet.

    Nimeifuta watu wanaweza kui abuse, nashukuru hata walioiona ni wachache
  5. Kijana mtafutaji

    JamiiForums Tanzania Hivi TCP na HTTPS, W.W.W zinafanyaje kazi?

    hivi vitu kidogo vimekuwa vinanichanganya katika operate yake tcp ina intaract vip na w.w.w.? na watu wanasema w.w.w. haiwez kufanya kazi bila http hii http ina uhusiana vipi na hapa? tukiiondoa w.w.w(world wide web) je tutaweza kupata intanet? intanet inatufikiaje sisi mbona tukitumia...
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto zima Internet vinginevyo unaondoka

    Mheshimiwa pona yako ili kubaki ikulu ni kuzima Internet kama Tanganyika 2020 ili hao Gen Zero wapotezane huko mtandaoni. Vinginevyo Julai haiishi unaondoka.. Linda cheo chako na washkaji zako. BTW Chebukati kaenda wapi?
  7. JAXPAROW95

    JamiiForums Tanzania Internet Sharing Point to Point

    Habari wadau, nahitaji msaada wa mtu mwenye utaalamu/ufahamu wa kufunga internet point to point, kwa maana kwamba Nina Fiber internet access kwenye ofisi yangu moja point A(Tandale Chama) na ofisi ya pili Iko Point B(Sinza Mugabe) kama 3KM hvi. Nataka kushare hii fiber connection kwenye ofisi...
  8. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwekeza kwenye matumizi ya vifaa vya sayansi na teknolojia pamoja na kuboresha matumizi ya (internet) mtandao kwa kuweka gharama nafuu kwa wananchi

    Mpaka hivi sasa watu wengi wanatumia vifaa mbalimbali vya sayansi na teknolojia katika kufanya shughuli zao. Ukuaji wa sayansi na teknolojia umekuwa hivi sasa kulinganisha na miaka kadhaa iliyopita. Uwekezaji katika matumizi ya vifaa vya sayansi na teknolojia utaleta matokeo chanya kwani dunia...
  9. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa intaneti kwenye simu yangu

    Yaani natumia mtandao wa tigo lakini nina bando 190mb lakini halisapoti chochote yaani hata sms au video halikubali nishafanya seting cm yangu lakini wapi, shida ni nini wadau?
  10. Mfugaji123

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Jinsi ya Kufanya Biashara kwenye internet ( Mtandaoni)

    Fursa muhimu sasa katika kufanya biashara ni kwa kwa kutumia mtandao wa internet.. Dunia inakadiriwa kuwa zaidi ya watu bilioni moja hununua kwenye internet. Hapa Tanzania kulinga na tovuti ya Statista hadi kufikia January 2024, karibu asilimia 18.9 ya watanzania walifanya manunuzi na kulipa...
  11. Musase Manoko

    JamiiForums Tanzania SoC04 Benet (ICT Tanzania Backbone): Free internet

    BENET (ICT BACKBONE) : Bridging the Digital Divide Gap in Tanzania by provision of Free Internet Accessibility. Introduction Benet is a forward-thinking company dedicated to transforming Tanzania’s digital landscape by providing widespread smart appliances and reliable free internet access...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bridging the Digital Divide: A Collaborative Approach to Free Public Internet in Tanzania

    The internet has become an essential tool for education, communication, and economic empowerment in the 21st century. However, a significant portion of Tanzania's population remains unconnected due to affordability challenges. This essay proposes a collaborative approach involving the Tanzanian...
  13. MIKAEL MTANZANIA

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tuachane na matumizi ya vocha, tulipie intanert kama ambavyo tunalipia bili nyingine mwisho wa mwezi

    Kwa mkono wa Mikael Mtanzania Tanzania ni moja ya nchi yenye gharama ndogo sana ya vifurushi vya internet kwani Gb 1 ambayo ni MB 1000 ya internet unaipata kwa elfu tatu ukweli ni jambo zuri na tunaweza kujipongeza kwa upungufu wa gharama hii. lakini ukweli ni kwamba bado tunayoshida ya...
  14. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Halotel bando lipo ila Internet [kasi] unajitafutia

    ...
  15. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Google Watangaza kujenga Mkonga wa Internet kuunganisha Africa na Australia. Tanzania haimo

    Wakuu nisiwachoshe.. habari ndiyo hiyo... Kufuatia ziara ya Ruto huko USA, Google wametangaza kujenga mkonga wa Internet toka Kenya kupitia Uganda, Rwanda, DRC, Zambia, Zimbabwe na South Africa hadi Australia huku Tanzania ikiwekwa kando. --- Today, Google announced new investments in digital...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Airtel internet ina tatizo gani? Siku nzima sipati internet kwenye simu yangu. Je, ni mimi tu ama na wengine pia?

    Habari wadau. Leo Airtel internet imenigomea kabisa. Je, ni simu yangu ndio ina shida ama wengi imewakuta hiyo hali ? Cha kushangaza simu hiyo hiyo nikiweka data line ya voda. Mtandao unafanya kazi vizuri
  17. A

    JamiiForums Tanzania Tupo wapi na Internet?

    On Sunday, Tanzania was plunged into an internet abyss due to damage to a submarine cable deep within the Indian Ocean. This outage, which affected Tanzania and 11 other African nations, exposed a troubling truth: Tanzania’s internet infrastructure was a house of cards, precariously balanced on...
  18. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Wadau mbona kama mitandao ya simu kuna mgao wa Internet ila hawasemi,vipi wengine mmegundua hili jambo

    Maana kama jana Kuna muda Vodacom na halotel Internet ilikata Tigo ilikuwepo,usiku hivi Tigo ilikata nayo nahisi kuna jambo ambalo linaendelea ila wanaficha kwa kumuhofia Waziri Nape
  19. D

    JamiiForums Tanzania Ewe Nape ukitaka kuvutia matumizi ya Simu janja weka Internet iwe bure siyo kuongeza kodi

    Nape huko vijijini vocha wanaweka mara moja kwa mwezi na wengine wanasubiri kupigiwa na ndugu zao wa mjini, nina uhakika hata kwenye jimbo lako wapo wengi wao. Usiongeze kodi kwenye vitochi hiyo smart ni kama kitochi bila Internet, kama kusudio ni kila mtu awe kwenye dunia ya kidijitali weka...
  20. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Internet wazidi kupaza sauti za Starlink

    Serikali kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano imetoa ufafanuzi juu ya ujio wa Starlink ikidai kuwa haijakataa ujio wao bali inasubiri kampuni ya Starlink itimize masharti yaliyowekwa
Back
Top Bottom