Sio kila unachokipanga ndicho kitakacho kamilika
Msemo uo umemkuta waziri mkuu wa Canada Justin trudeau
Aliingia madarakani mwaka 2015
- mpaka sasa
Justin trudeau alivyoingia madarakani akaja na system yake ya immigration.
Kwa maono yake alikuwa anataka kuingiza temporary immigration kama...
SU VASTIKA SOLAR INVERTER
SU-VASTIKA
Inverter kutoka India zenya ubora wa hali ya juu
Kwa sasa zinapatikana dukani kwetu zipo size kwanzia 850VA hadi 5500VA
Warranty ipo.. karibu sana ndugu mteja
0653 615 773
Dunia inamaajabu yake na vituko kutoka kwa binadamu!
Sasa man anataka apate mtoto kwa kumeza kifaraga baada ya kuambiwa na mganga wa kienyeji. Ila hawa waganga wa kienyeji wa hovyo na wapumbavu si Afrika pekee duniani kote akili zao zinafanana ili kuwapoteza wajinga ambao wanaamini katika imani...
FILAMU YA “TANTALIZING TANZANIA” YAZINDULIWA RASMI NCHINI INDIA
Na Happiness Shayo - Mumbai, India
Filamu ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchini Tanzania ijulikanayo kama “Tantalizing Tanzania” inayomhusisha mwanamuziki wa India Shakti Mohan aliyepiga picha mjongeo katika hifadhi za...
1. Imekua kawaida Watanzania kwenda kutibiwa India kwa Kodi za wavuja jasho.
2. Hizi gharama CAG anaweza kuzikagua? Maana tunapanda nao Emirates wao wakitanua Business class na wasindikizaji huku walipa Kodi tukijilipia economy
Kwa walivyo na roho mbaya, wabaguzi, na wenye roho ya korosho, je kuna wabongo wanaoishi na kufanya biashara India? Kama wapo, nao wanatesa kama magabacholi wanavyofanya nchini?African victims of racism in India share their stories
Ifahamike kwamba, inaeezekana kabisa kuwachukia viongozi wetu kwa baadhi ya mambo hasa ya kisiasa ila si kuona wala kusikia wakifa mara tu wanapougua na kwenda India kwa matibabu
Kama Taifa, kweli kabisa hatuna uwezo wa kujenga miundombinu bora na vifaa tiba vyote vinavyokidhi ubora kama India...
Ndani ya kipindi cha wiki tatu tu Tanzania tumeshuhudia vifo vya viongozi wawili wa kitaifa wakifariki wakati wakitibiwa kisiri huko India kinaashiria bado huduma zetu za kiafya hapa Tanzania ni duni, mbovu au haziaminiki na watanzania walio wengi wakiwemo viongozi wakubwa wa kitaifa.
Taifa...
Fujo za kidini huko Palestina na India zimekuwa na athari kubwa kwa jamii ya Waislamu, zikichangia matatizo makubwa ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hali hizi ni matokeo ya mizozo ya muda mrefu, ambapo Waislamu mara nyingi wanajikuta katika hali ngumu ya kimaisha kutokana na changamoto za...
Japani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40.
Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena.
Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata...
Ni kitu kimeshitusha wengi baada ya India kukataa uturiki kujiunga ndani ya brics, kwa sababu uturuki na Pakistan ni kitu kimoja.
Hata hivyo Pakistan nayo iliomba kujiunga ila India ilikataa.
https://x.com/TimesAlgebraIND/status/1849545656525803745?t=uHWcI-n4FR2iMTGmlxgAfw&s=19
Hata raisi wa...
Mambo yanazidi kuwa moto kwenye baadhi ya mataifa. Matukio ya kuuwana yamendele kushika kasi sana
Watu wenye silaha wamewaua watu saba waliokuwa wakifanya kazi kwenye mradi wa ujenzi wa handaki muhimu katika eneo linalosimamiwa na India, Kashmir, na kuwajeruhi wengine watano, maafisa wanasema...
Mwanariadha kutoka tanzania Alphonce Felix Simbu anatarajia kushindana na manguli wenzake kama Joshua Cheptegei wa Uganda kwenye mbio za delhi half Marathon mapema leo jumapili tarehe 20/10/2024 huko New Delhi, nchini India.
Jumla ya Wahanga 94 wa Usafirishaji Haramu wa Binadamu wamerudishwa nchini kutokea India huku Serikali ikitoa wito kwa watu wanaotaka kwenda kufanya kazi nje ya nchi kufuata taratibu ikiwemo kufahamu kampuni wanazoendea kufanyia kazi kama zimesajiliwa kisheria.
Hayo yamesemwa na Afisa...
Morocco imeipiku China, Japani na India na kuwa msafirishaji mkuu wa sekta ya magari kwa Umoja wa Ulaya. Katika mwaka wa 2023, nchi hii ilipata dola bilioni 13.7 kutokana na usafirishaji wa magari.
Masoko makubwa ya magari yanayosafirishwa kutoka Morocco ni Ufaransa, Uhispania, na Italia...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania Nchini India . Ambapo Mzalendo huyu mwenye maadili na aliyenyooka kama rula.
Na ambaye amekuwa...
Mkurugenzi mkuu wa PPP-Cetre Tanzania Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa tweeter (X)
"Nilipomtembelea Mhe. Annisa Kapufi Mbega , Balozi wetu New Delh India. Tumezungumza kwa kina kuhusu namna ya kufanya zaidi kuvuta uwekezaji kwa UBIA( PPP) hasa kwenye Usafiri wa...
Wakuu habari za muda huu?
Naomba wauzaji wa tiles au yeyote mwenye kujua nani ambae ana hizi tiles za aina hii anijuze. Nimeshazitumia sehemu kubwa ila zimepelea kama box3 nimerudi kwa alieniuzia kamaliza. Mwenye nazo tafadhali sana naomba mawasiliano yako tufanye biashara.
Model yake ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.